Are spies made or born?

Are spies made or born?

Mkuu zile ni fictitiously thrilling movies...lakini najua wenyewe wazee wa jando wapo humu!
Nchi zilizoendelea wanatoa movie kulibgana na uhalisia wa kitu. Unaweza kusema ni story ya kutunga ila pale kuna kitu wanakuonesha.
Kwa mfano miaka ya 70 mpk 80 Serikali ya Marekani ilikuwa ina find baadhi ya movie ili kuonesha dunia how powerful they are. Mf. Movie za Rambo pale alikuwa anaonesha jinsi gani askari wa Kimarekani anaweza kupambana peke yake na jeshi la adui na kuwateketeza wote.
Sasa unapoambiwa tazama movie fulani itazame halafu fatilia uhalisia na uwezo wa intelejensia husika.
 
Freelancer hata hao watoto wako (kama unao) kuna umri ukifika wanaweza kutumiwa kukuzunguka vizuri sana, bila wao kujua kama wanafanya kazi ya ujasusi. Kuna namna ya kuwa seduce kisha wakajaa kwenye kumi na name za wazee wa kazi wakijua wanaongea na jirani ama rafiki kumbe wanatumika kumsaliti baba yao unknowingly......
cc: de'levis
Heri ya mwaka mpya analyst..
 
Nimemiss de'levis jamani cjui kapotelea wap
 
Je nikikataa je nn kitafuata?
Siyo rahisi kukataa. Unashauriwa na mtu wako wa karibu. Anaweza hata kukupa mifano ya watu waliofanikiwa kupitia njia hizo. Imagine unashauriwa na mtu aliyekulipia ada na good still anachokushsuri unakimudu?
 
Freelancer de'levis Yericko Nyerere
Are all diplomats spies too?!!!!
Some of the activities they conduct could be some form of espionage.. But within diplomatic community there are those who are spies by professional like being there at their diplomatic post is solely for espionage mission. But the rest of the diplomat could be also conducting espionage in an implicit fashion,because some of the reports they compile could be interpreted as doing espionage indirectly. For example those cables that are wired by American diplomats are one of the ways of gathering intelligence be it political or economical..
 
kaingia mitini...
uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
 
Kwa hiyo kwa sasa upo bustanini.?
 
hahahahahaaaaa mkuu comandante de'levis punguza comedy mkuu. Wewe na kilimo wapi na wapi kaka?
 
uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
Walah nimekuelewa sana mkuu
Umezungumza kwa lugha mficho ni wale waekao mazingatio tu ndo watakuelewa.

Mkuu nakutakia kazi njee bustanini
 
Back
Top Bottom