Tzabway
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 262
- 170
Nchi zilizoendelea wanatoa movie kulibgana na uhalisia wa kitu. Unaweza kusema ni story ya kutunga ila pale kuna kitu wanakuonesha.Mkuu zile ni fictitiously thrilling movies...lakini najua wenyewe wazee wa jando wapo humu!
Kwa mfano miaka ya 70 mpk 80 Serikali ya Marekani ilikuwa ina find baadhi ya movie ili kuonesha dunia how powerful they are. Mf. Movie za Rambo pale alikuwa anaonesha jinsi gani askari wa Kimarekani anaweza kupambana peke yake na jeshi la adui na kuwateketeza wote.
Sasa unapoambiwa tazama movie fulani itazame halafu fatilia uhalisia na uwezo wa intelejensia husika.