Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #541
Hazikaguliwi lakini nchi husika lazima iwe makini sana kwenye hili. Unaweza kufanya tu upelelzi wako wa chini kwa chini na si kubweteka tu na kuwaamini watu kwa migongo ya kidiplomasia. Hili la Halotel kama limefanyika through diplomatic cover nia aibu kwa ile nchi na aibu kwa nchi yetu pia linapaswa kufatiliwa na pengine tujitafakari uhusiano wetu wetu na hao wa Vietnam..Maana kama hilo limetokea ina maana hawatuheshimu sasa kwanini sisi tunaendelea kuwaheshimu. Nafikiri ni udhaifu kwa upande wetu tunaaamini labda kupitiliza. Lakini the fact kwamba vifaa vimegundulika kuingia sivyo kihalali naweza nikawapongeza kwa upande wa nchi yetu pia. Ila wamechukua muda sana kulingamua hili maana ingekuwa ni kitu chenye madhara kwa muda wote huo kingekuwa kimeshaleta madhara makubwade'levis Freelancer
diplomatic bags huwa hazikaguliwi kwenye entry points za nchi kama mipakani na airports? Does this pose any threat kwa nchi mahasimu kuingiza let's say silaha ama vitu hatari kwa usalama wa nchi?
ThanksThey are of both characteristics of born and made. Kiufupi ni kwamba hawa watu wana IQ kubwa kwa kweli
ThanksThey are born.
I.Q level inategemea na mahitaji ya idara husika. Haihitaji mtu mwenye PHD kuweza kufanya undercover border patrol ama border surveillanceThey are of both characteristics of born and made. Kiufupi ni kwamba hawa watu wana IQ kubwa kwa kweli
Hey Girl next na ww ni mmojawapo wa usalama nn. Huo ni uchochezi wa kusema eti PhD [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I.Q level inategemea na mahitaji ya idara husika. Haihitaji mtu mwenye PHD kuweza kufanya undercover border patrol ama border surveillance
Hujaelewa,jaribu kufikiria kwa makini alichomaanishahahahahahaaaaa mkuu comandante de'levis punguza comedy mkuu. Wewe na kilimo wapi na wapi kaka?
Sulphur Hexafluoride amekurupuka kutoka usingizini akaingia JF kichwa kichwaHujaelewa,jaribu kufikiria kwa makini alichomaanisha
Me nimemuelewa sanaSulphur Hexafluoride amekurupuka kutoka usingizini akaingia JF kichwa kichwa
Jitahidi utoe miche iliyo madhubuti mkuu.uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
mahakama za namna hiyo wanapelekwa wanajeshi tu mdogo wangu. endelea kujifunza utajua zaidi. niliiona sana hiyo mada yakoMr Q
Siku hizi huwa ninavamiaga jukwaa la siasa kisha wanafungia mada zangu.
Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall
Freelancer Mr Q de'levis Yericko Nyerere MatolaSpecial thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?
Ninawasilisha mjadala.
Naomba kuwasilisha