Are spies made or born?

Are spies made or born?

de'levis Freelancer
diplomatic bags huwa hazikaguliwi kwenye entry points za nchi kama mipakani na airports? Does this pose any threat kwa nchi mahasimu kuingiza let's say silaha ama vitu hatari kwa usalama wa nchi?
 
de'levis Freelancer
diplomatic bags huwa hazikaguliwi kwenye entry points za nchi kama mipakani na airports? Does this pose any threat kwa nchi mahasimu kuingiza let's say silaha ama vitu hatari kwa usalama wa nchi?
Hazikaguliwi lakini nchi husika lazima iwe makini sana kwenye hili. Unaweza kufanya tu upelelzi wako wa chini kwa chini na si kubweteka tu na kuwaamini watu kwa migongo ya kidiplomasia. Hili la Halotel kama limefanyika through diplomatic cover nia aibu kwa ile nchi na aibu kwa nchi yetu pia linapaswa kufatiliwa na pengine tujitafakari uhusiano wetu wetu na hao wa Vietnam..Maana kama hilo limetokea ina maana hawatuheshimu sasa kwanini sisi tunaendelea kuwaheshimu. Nafikiri ni udhaifu kwa upande wetu tunaaamini labda kupitiliza. Lakini the fact kwamba vifaa vimegundulika kuingia sivyo kihalali naweza nikawapongeza kwa upande wa nchi yetu pia. Ila wamechukua muda sana kulingamua hili maana ingekuwa ni kitu chenye madhara kwa muda wote huo kingekuwa kimeshaleta madhara makubwa
 
de'levis Freelancer
wakuu vp kuhusu air hostesses pamoja na members of diplomatic community. Wahudumu wa ndege wanaweza kuwa spies/informers pamoja na watumishi wa ujumbe wa kidiplomasia?
 
I.Q level inategemea na mahitaji ya idara husika. Haihitaji mtu mwenye PHD kuweza kufanya undercover border patrol ama border surveillance
Hey Girl next na ww ni mmojawapo wa usalama nn. Huo ni uchochezi wa kusema eti PhD [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
Jitahidi utoe miche iliyo madhubuti mkuu.
Siunaona miti inavyodumaa shambani saivi?
Ni matokeo yenu watunza bustani ktokuipa udongo wenye rutuba pamoja na mbolea za kutosha
 
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:

Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.

Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?

Ninawasilisha mjadala.

Naomba kuwasilisha
Freelancer Mr Q de'levis Yericko Nyerere Matola
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
 
Ukiwa na MTU wa kukupigia debe unapata kazi hapa afrika
 
Back
Top Bottom