Kinachojadiliwa hapa ni common sense au ni common knowledge, yaani mtu yeyote mwenye bidii ya kutafuta maarifa anaweza kukijua, sasa hizi taboo zenu za kutoongelea taaluma ya ujasusi zinatoka wapi? Kuna kitu gani hapa ambacho ni threat au classified ambacho hakipaswi kuzungumziwa in public? Vitabu vya espionage vimeandikwa vingi tu kama mtu ni msomaji anaweza jua yote haya yanayoongelewa hapa ni ya kawaida sana.. Na hakuna specific organization iliyotajwa bali tunaongelea spies in general kwa hii topic ina cover global issues haipo tied kwenye intelligence organization yeyote. Hata wewe tu kitendo cha kuja hapa na kuongea uliyoongea inaonyesha tu kwamba you are trying to pretend something you are not.. Try again...hakuna spy anayeruhusiwa kuandika mada za espionage kwenye mitandao ya kijamii kama jamiiforums. Huyu mleta mada ni mtoto wa secondary inaonekana ndio anajifunza udadisi wa taaluma za watu wazima
FACTS ONLY...Ramark do you know this Girl Next-door personally?
Sio wote,exclude wale wanaomlinda tu! Wengine pale wafagiaji,wapishi,wafua nguo n.kRamark Freelancer
Kwani watumishi wote wa state house ni maafisa wa usalama wa taifa? Au ni fikra tu za watu?
Du hili gumu..Nashauri tusiliongelee kama ni kweli ama si kweli..Ila nachoweza kusema ni kwamba mtu yeyote anayefanya kazi kwenye ikulu yeyote duniani yupo vetted kwa kiwango cha juu. Kwa maana anatakiwa awe mtu anayeaminika.. Sasa whether huyo mtu ni spy au si spy au mwajiriwa wa protection services it is beyond our knowledge..Kwa hiyo nisingependa kulijibu moja kwa moja ila ningependa twende kwenye mfano wa jeshini. Jeshini wapishi, madaktari, na kada zingine wanakuwa wanajeshi..Kwa hiyo it very possible mtu akawa muajiriwa wa taasisi fulani kama dereva, mpishi, au daktari kisha akawa posted somewhere...Kwa kusema hivi sio kwamba nimesema ndio au hapana. 😀😀😀Ramark Freelancer
Kwani watumishi wote wa state house ni maafisa wa usalama wa taifa? Au ni fikra tu za watu?
Edmundo NyakwarChief anataka kutujengea impression kuwa he work for those guys? Try again later kakaKinachojadiliwa hapa ni common sense au ni common knowledge, yaani mtu yeyote mwenye bidii ya kutafuta maarifa anaweza kukijua, sasa hizi taboo zenu za kutoongelea taaluma ya ujasusi zinatoka wapi? Kuna kitu gani hapa ambacho ni threat au classified ambacho hakipaswi kuzungumziwa in public? Vitabu vya espionage vimeandikwa vingi tu kama mtu ni msomaji anaweza jua yote haya yanayoongelewa hapa ni ya kawaida sana.. Na hakuna specific organization iliyotajwa bali tunaongelea spies in general kwa hii topic ina cover global issues haipo tied kwenye intelligence organization yeyote. Hata wewe tu kitendo cha kuja hapa na kuongea uliyoongea inaonyesha tu kwamba you are trying to pretend something you are not.. Try again...
Si kweli kuhusu jeshi,umedanganya umma!Du hili gumu..Nashauri tusiliongelee kama ni kweli ama si kweli..Ila nachoweza kusema ni kwamba mtu yeyote anayefanya kazi kwenye ikulu yeyote duniani yupo vetted kwa kiwango cha juu. Kwa maana anatakiwa awe mtu anayeaminika.. Sasa whether huyo mtu ni spy au si spy au mwajiriwa wa protection services it is beyond our knowledge..Kwa hiyo nisingependa kulijibu moja kwa moja ila ningependa twende kwenye mfano wa jeshini. Jeshini wapishi, madaktari, na kada zingine wanakuwa wanajeshi..Kwa hiyo it very possible mtu akawa muajiriwa wa taasisi fulani kama dereva, mpishi, au daktari kisha akawa posted somewhere...Kwa kusema hivi sio kwamba nimesema ndio au hapana. 😀😀😀
Inategemea umeelewa nini katika nilichoongea...Tatizo unapiki tu mstari mmoja wa kuanzishia ligi. Nilivyoongelea jeshi umejua naongelea jeshi la nchio gani au kujishaua tu....Unadhani sijui kama JWTZ kuna civilian? Acha ubwabwaa...Hebu soma kuanzia mwanzo mpaka mwisho uelewe nachokiongea, sijaongelea popote kuhusu jwtz au chombo chochte cha ulinzi cha Tanzania..Au wewe ukisikia jeshi unajua JWTZ tu..Hata hivyo JWTZ nayo wameweka msisitizo kuajiri wanajeshi katika fani zote ingawa bado civilian wapo..Si kweli kuhusu jeshi,umedanganya umma!
Tulia dogo hujui kitu acha mipasho utaolewa!Inategemea umeelewa nini katika nilichoongea...Tatizo unapiki tu mstari mmoja wa kuanzishia ligi. Nilivyoongelea jeshi umejua naongelea jeshi la nchio gani au kujishaua tu....Unadhani sijui kama JWTZ kuna civilian? Acha ubwabwaa...Hebu soma kuanzia mwanzo mpaka mwisho uelewe nachokiongea, sijaongelea popote kuhusu jwtz au chombo chochte cha ulinzi cha Tanzania..Au wewe ukisikia jeshi unajua JWTZ tu..Hata hivyo JWTZ nayo wameweka msisitizo kuajiri wanajeshi katika fani zote ingawa bado civilian wapo..
Matusi ya nini sasa?Tulia dogo hujui kitu acha mipasho utaolewa!
Kwa mfano hapa bongo, huchukuliwa kutoka shule za.vipajaSasa nimeanza kupata picha kwa mbaaaali lakini bado ninajiuliza how do they get to train teenagers? Au hawa wanafunzi wanakuwa recruited unknowingly?
Mbona hunip jibuOne of the best threads I love reading
Kisa unachokianzisha hakikuwa hivi kilianzia kwa wajamaa dhidi ya mabepari baba yao marekaniInasemekana mgawanyiko uliokuwepo baina ya weupe na weusi ingekuwa ni loophole nzuri kwa specialists wa KGB kuweza kuwatumia black Americans kama agent provocateurs na kuweza kuleta machafuko within the United States?
Inasemekana ndio sababu iliyowalazimu CIA kumleta Obama madarakani as a means to reconcile racial identities? Msaada please
Freelancer Ramark Infantry Soldier de'levis
Unaogopa nnIrrelevant post samahanini kidogo:
Nikiwa ninasafiri kwa safari ya siku kama 4 I left my laptop with Barack and his wife nikiwa nimeizima nikiamini they are good family friend kumbe nilikosea sana aisee.
Lakini wao waliiwasha wakaangalia na ku copy documents na picha zangu zote, wakasoma posts na username yangu ya JF pamoja na Facebook kisha wanaanza kunitukana na kunisimulia kwa watu.
On top of that this man works for the telecom company so anasoma sms zangu na kusikiliza all my calls.
Ninafikiria kuitelekeza hii account.
Aisee yule Dada ni nyoko,Tafuta movie ya SALT ya Angeline Jolie uanzie hapo!!!!!