Are spies made or born?

Are spies made or born?

Kuna kituo cha watoto yatima ambacho huwa kinatoa usalama wa taifa wengi(msije pm kuniuliza kuhusu hiki kituo maana sitawajibu) wale watoto wanakua well trained na mafunzo mbalimbali ya kiusalama kuanzia wakiwa wadogo sana hii hupelekea kuwa expatriates katika nyanja hiyo. Mfano mzuri wa jambo hili ni movie moja inaitwa SALT ya Angeline Jolie.
 
hakuna spy anayeruhusiwa kuandika mada za espionage kwenye mitandao ya kijamii kama jamiiforums. Huyu mleta mada ni mtoto wa secondary inaonekana ndio anajifunza udadisi wa taaluma za watu wazima
Kinachojadiliwa hapa ni common sense au ni common knowledge, yaani mtu yeyote mwenye bidii ya kutafuta maarifa anaweza kukijua, sasa hizi taboo zenu za kutoongelea taaluma ya ujasusi zinatoka wapi? Kuna kitu gani hapa ambacho ni threat au classified ambacho hakipaswi kuzungumziwa in public? Vitabu vya espionage vimeandikwa vingi tu kama mtu ni msomaji anaweza jua yote haya yanayoongelewa hapa ni ya kawaida sana.. Na hakuna specific organization iliyotajwa bali tunaongelea spies in general kwa hii topic ina cover global issues haipo tied kwenye intelligence organization yeyote. Hata wewe tu kitendo cha kuja hapa na kuongea uliyoongea inaonyesha tu kwamba you are trying to pretend something you are not.. Try again...
 
Ramark do you know this Girl Next-door personally?
FACTS ONLY...

Hakuna mwanamke wa rahisi rahisi na hakuna mwanaume mpumbavu. Mwanamke ambae umemfukuzia kwa takribani miezi 12 alilala na Boyfriend wake siku ya tatu tu baada ya kukutana.

Mwanamke ulielala nae wiki moja tu baada ya kuanza mahusiano nae ujue kuna mwanaume mwingine anamfukuzia mwaka wa pili huu na hajampata. Kama amekupenda na ameona quality anazozihitaji kwako usisimame na kusema 'she is CHEAP' au 'maharage ya Mbeya'.

Na kwa Wanawake: Mwanaume ambae amejipinda amekununulia Iphone au chochote kile hajawahi kumnunulia hata hereni mpenzi wake wa zamani. Kama umebahatika ujue anakupenda, usidhanie kuwa yeye ni mpumbavu, bwege au wa kumchuna.

Usimchukulie kirahisi rahisi, usimuone kama ni bwege fulani, mtu kuwa mkarimu kwako haimaanishi ni bwege. Wote tujifunze kuheshimu na kuzikubali zile jitihada zinazooneshwa na wenzetu katika mahusiano.

Ladies are not cheap and guys are not fool!!

Unakubaliana na hayo?

[HASHTAG]#SeeYouAtTheTop[/HASHTAG]

The girl next door
 
Ramark Freelancer
Kwani watumishi wote wa state house ni maafisa wa usalama wa taifa? Au ni fikra tu za watu?
Du hili gumu..Nashauri tusiliongelee kama ni kweli ama si kweli..Ila nachoweza kusema ni kwamba mtu yeyote anayefanya kazi kwenye ikulu yeyote duniani yupo vetted kwa kiwango cha juu. Kwa maana anatakiwa awe mtu anayeaminika.. Sasa whether huyo mtu ni spy au si spy au mwajiriwa wa protection services it is beyond our knowledge..Kwa hiyo nisingependa kulijibu moja kwa moja ila ningependa twende kwenye mfano wa jeshini. Jeshini wapishi, madaktari, na kada zingine wanakuwa wanajeshi..Kwa hiyo it very possible mtu akawa muajiriwa wa taasisi fulani kama dereva, mpishi, au daktari kisha akawa posted somewhere...Kwa kusema hivi sio kwamba nimesema ndio au hapana. 😀😀😀
 
Kinachojadiliwa hapa ni common sense au ni common knowledge, yaani mtu yeyote mwenye bidii ya kutafuta maarifa anaweza kukijua, sasa hizi taboo zenu za kutoongelea taaluma ya ujasusi zinatoka wapi? Kuna kitu gani hapa ambacho ni threat au classified ambacho hakipaswi kuzungumziwa in public? Vitabu vya espionage vimeandikwa vingi tu kama mtu ni msomaji anaweza jua yote haya yanayoongelewa hapa ni ya kawaida sana.. Na hakuna specific organization iliyotajwa bali tunaongelea spies in general kwa hii topic ina cover global issues haipo tied kwenye intelligence organization yeyote. Hata wewe tu kitendo cha kuja hapa na kuongea uliyoongea inaonyesha tu kwamba you are trying to pretend something you are not.. Try again...
Edmundo NyakwarChief anataka kutujengea impression kuwa he work for those guys? Try again later kaka
 
Ikulu sio jeshi LA wanachi LA Tanzania ambao hawana watumishi RAIA
Japo polisi walikuwepo japo wamefutwa kazi na magu
Majeshi mengi dunian hutumia RAIA ktk utumishi wao had wa mikataba ili kurahisisha kazi

Ikulu ni ofisi ya serikali kama nyingine

Babu yangu walikuwa mpishi ikulu tangu wakati wa nyerere kastaafu 20--- lkn hana chembe ya izo

Ikulu inaajir watu wengi kwa malengo tofaut

Ikulu inatengeneza watu ambao ni watumishi ili wawe pia sehemu ya usalama wa ikulu
Ikulu INA miiko na restrictions kwa baadhi ya maeneo kulingana na MTU

Kipind cha kikwete waliajiriwa weng na hawakuwa uslm

Kikubwa kinachotazamwa ni restrictions sa MTU mmoja mmoja ili asiwe sehemu ya loopholes kwa watu

Jaribu kufikir said
Nimekusaidia tu ili ufikir tu
 
Du hili gumu..Nashauri tusiliongelee kama ni kweli ama si kweli..Ila nachoweza kusema ni kwamba mtu yeyote anayefanya kazi kwenye ikulu yeyote duniani yupo vetted kwa kiwango cha juu. Kwa maana anatakiwa awe mtu anayeaminika.. Sasa whether huyo mtu ni spy au si spy au mwajiriwa wa protection services it is beyond our knowledge..Kwa hiyo nisingependa kulijibu moja kwa moja ila ningependa twende kwenye mfano wa jeshini. Jeshini wapishi, madaktari, na kada zingine wanakuwa wanajeshi..Kwa hiyo it very possible mtu akawa muajiriwa wa taasisi fulani kama dereva, mpishi, au daktari kisha akawa posted somewhere...Kwa kusema hivi sio kwamba nimesema ndio au hapana. 😀😀😀
Si kweli kuhusu jeshi,umedanganya umma!
 
Si kweli kuhusu jeshi,umedanganya umma!
Inategemea umeelewa nini katika nilichoongea...Tatizo unapiki tu mstari mmoja wa kuanzishia ligi. Nilivyoongelea jeshi umejua naongelea jeshi la nchio gani au kujishaua tu....Unadhani sijui kama JWTZ kuna civilian? Acha ubwabwaa...Hebu soma kuanzia mwanzo mpaka mwisho uelewe nachokiongea, sijaongelea popote kuhusu jwtz au chombo chochte cha ulinzi cha Tanzania..Au wewe ukisikia jeshi unajua JWTZ tu..Hata hivyo JWTZ nayo wameweka msisitizo kuajiri wanajeshi katika fani zote ingawa bado civilian wapo..
 
Tulia dogo hujui kitu acha mipasho utaolewa!
 
Irrelevant post samahanini kidogo:

Nikiwa ninasafiri kwa safari ya siku kama 4 I left my laptop with Barack and his wife nikiwa nimeizima nikiamini they are good family friend kumbe nilikosea sana aisee.

Lakini wao waliiwasha wakaangalia na ku copy documents na picha zangu zote, wakasoma posts na username yangu ya JF pamoja na Facebook kisha wanaanza kunitukana na kunisimulia kwa watu.

On top of that this man works for the telecom company so anasoma sms zangu na kusikiliza all my calls.

Ninafikiria kuitelekeza hii account.
 
Inasemekana mgawanyiko uliokuwepo baina ya weupe na weusi ingekuwa ni loophole nzuri kwa specialists wa KGB kuweza kuwatumia black Americans kama agent provocateurs na kuweza kuleta machafuko within the United States?

Inasemekana ndio sababu iliyowalazimu CIA kumleta Obama madarakani as a means to reconcile racial identities? Msaada please
Freelancer Ramark Infantry Soldier de'levis
 
Kisa unachokianzisha hakikuwa hivi kilianzia kwa wajamaa dhidi ya mabepari baba yao marekani
Ukirudi nyuma kisa hiki kinajipambanua wakati wa cuba vs marekani wakati wanaanzisha miami for

Ilitabiriwa to be the generation to come on power
Ukichuka zaid wakati wa wazee wetu na wazungu kule Philadelphia ina eleza wazi juu ya usawa wa rangi

Nimedonoa nikijaribu msela wangu@girlnextdoor
 
Irrelevant post samahanini kidogo:

Nikiwa ninasafiri kwa safari ya siku kama 4 I left my laptop with Barack and his wife nikiwa nimeizima nikiamini they are good family friend kumbe nilikosea sana aisee.

Lakini wao waliiwasha wakaangalia na ku copy documents na picha zangu zote, wakasoma posts na username yangu ya JF pamoja na Facebook kisha wanaanza kunitukana na kunisimulia kwa watu.

On top of that this man works for the telecom company so anasoma sms zangu na kusikiliza all my calls.

Ninafikiria kuitelekeza hii account.
Unaogopa nn
Vumilia mpaka utakapo waaibisha

Kufuatilia mawasiliano ya mtu kazi na hafanyi mtu mmoja pekee tena mwenye familia

They can hunt you but they can't catch you
Be a man
 
Back
Top Bottom