Are spies made or born?

Pole sana.
 
Nimemaliza kupitia uzi wote muda huu. Well done kwa wale waliochangia nakutoa elimu ya ziada.

Ila kuna jamaa alisema ataelezea jinsi alivyodakwa akidhaniwa ni jasusi. Aliingia kwa mbwembwe ila mpaka sasa ni kimya
 
Mkuu nakumbuka mwaka flani niliwahi KUFANYA online scheme ya uandishi wa habari ' online newspapers " na academy moja ya South London wakati ule nilikua kidato cha tatu.Nakumbuka nilipata nafasi ya kukutana na Mchungaji mmoja ambaye alinambia alikua mhandisi huko UN ila akawwa na wito wa kuwa mchungaji akanambia nchague zawadi nkamwambia laptop akaniletea Lenovo mpyaa ndani ya siku tatu mbele ikapta miaka kama miwili tunawasiliana Kwa simu tuu nakumbuka nilifatwa na watu watatu ambao umri wao ni mkubwa wakanipigia simu nionane nao nikakubali wakaja hadi sehemu nilipokua wakanambia kuna MTU wanamtafuta



Nikawauliza Kwa ujasiri nani? Wakanipa namba ya simu wanasema tunamtafuta huyo MTU nikashtuka nikawambia simfahamu baada yakuweka namba ktk simu na kukutana haipo kwenye phonebook yangu wanasema asante wakaondoka ila ajabu mwaka huu nmekutana na yule Mchungaji akaniuliza chuo naenda kusomea nini. Nikamjibu faculty ya Engineering sita itaja tafadhali ila akanambia "mbonaa unaenda nje ya malengo unakumbuka ile CV ya uandishi ulioipata kutoka Kwa wale wazungu wa south London ?" Mh nkashangaa sana kwamba hadi leo anakumbuka nikamjibu ila akawwa ajarzika na majibu.
 
Mimi mwenyewe ni meshawahi kutokewa na tukio kama hilo mkuu lakini nothing went on.
Unafikiria nini baada ya ushauri (kutoridhia taaluma hiyo)wa mchungaji?
 
Mimi mwenyewe ni meshawahi kutokewa na tukio kama hilo mkuu lakini nothing went on.
Unafikiria nini baada ya ushauri (kutoridhia taaluma hiyo)wa mchungaji?
Mkuu mimi nilitaka nisomee IT mana nilikua PCM na yeye alishawahi kuniuliza nataka nisomee nini nikamjibu Telecom engineering akashangaa sana.Hivi juzi adi akalalamika sana ila nidhafanya chaguo tayari na nimeipenda,aliuliza maswali mengi sana kabla sijaondoka likiwemo "unaonaje ukajakuwa na charity yako?" Na mengine magumu tuu.Huwa amekua akifatilia sana progress yangu hata Nilipopangwa JKT mujibu alifurahi sana akaniadisia hata experience yake wakat alipppita huko miaka ya 80's
 
Mkuu, unahisi unachakupoteza kutoka kwenye chaguo lako (Telecom engineering)
Hiyo 'charity' ulielewa kamaanisha nini mkuu,
 
Mkuu, unahisi unachakupoteza kutoka kwenye chaguo lako (Telecom engineering)
Hiyo 'charity' ulielewa kamaanisha nini mkuu,
Apana Mkuu Kwa sasa akili imesha tune huku nilipo kaka hivyo sitaweza kuchange tena,ila kuhusu charity Kwa kweli sikuelewa aliwaza nini mpaka akaniuliza hilo swali tena akitaka majibu ya hapo hapo huku akiisoma saikolojia yangu nikamchomolea akuamini.
 
Mimi nilipo kuwa nashindwa kujibu alikua akiniambia "you are too young to understand"
 
Nimeelewa vitu hapa............ Dhambi ya uongo hutegemea na sababu iliopelekea uongo kutendeka (imani yangu)
 
Sasa nimeanza kupata picha kwa mbaaaali lakini bado ninajiuliza how do they get to train teenagers? Au hawa wanafunzi wanakuwa recruited unknowingly?
Saikolojia ni pana sana mkuu.
Jua kwamba,kila mtu au akili ya mtu ni kifaa,kibaweza kutumika vyovyote.

Iwe kwanzia una umri wa miaka sita au ishirini kuendelea.

UNAFIKIRI NINI LENGO LA SCOUT?
UNAFIKIRI NINI MALENGO YA MAFUNZO YA WATOTO YA HALAIKI?
 
Spies si lazima awe ni spies in nature ila wanaofit vzur niwale ambao ni born in nature kwamba wana element izo damuni na hii si kwa spies tu bali specilization zote zina watu ambao ni born in nature na wapo wazamiaji pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…