Mimi nadhani spy ama 'detective' au niseme majasusi na mashushushu HUZALIWA na wakipata fursa ya 'kuonwa' HUFUNZWA namna ya kufanya kazi kwa namna ambayo shirika au taasisi ya nchi husika inataka.
Kuna mambo ambayo LAZIMA yawe inborn kabisa kwa shushushu/jasusi yeyote; kama vile brilliant IQ, ability to sense beyond human nature, uvumilivu mkubwa na mambo kama hayo.
Mambo kama kujihami wanafundishwa mbinu zake, namna ya kupata taarifa ni mbinu za kufundishwa na kuzaliwa, kujiokoa pia ni kuchanganya na zako licha ya kufunzwa vyuoni nk..
Hivyo haya mambo kama zilivyo professionalism zote LAZIMA mtu azaliwe hivyo na pia AONGEZEE 'shule' ili hiyo professional yake iwe na nguvu zaidi!