Are spies made or born?

Are spies made or born?

Mkuu inaweza kuplay both part
Made or Born.
Kwa nini nasema, kunawale kwa kutengeneza kwa njia ya kupandikiza mbegu ya raia wa nchi flani ili akizaliwa afanane nao na kupatiwa mafunzo, awajui ndugu zake na akienda kwenye mission anaofu toka mtoto mdogo anapewa sumu tu.
Unakupa mtoto anatengenezwa na kua agent wa nchi flani kwa kupandikiza mbegu za watu kama Japan. Na akitumwa Japan anaonekana kama raia wao. Na kuna wengi wanazaliwa na kupatia mafunzo.
 
Inategemea japo inawezeka ikawa Trained au upande wa kuzaliwa tu. Kila mwanadamu amepewa ujuzi wake wa kipekee hivyo wengine wako specialized kwenye kitengo hicho na si kama wanajitambua tu bali watu flani ndio hufanya kazi ya kutambua uwezo walio nao kwenye kitengo chao.

Hakuna lisilowezekana ikiwa mwalimu mwaminifu na mwanye msimamo darasani asiye na lugha mbili mbili akipewa mafunzo maalum yanayohusiana na kitengo hicho basi ule uaminifu wa utendaji kazi kwenye sekta ya Elimu unageuka kwenye sekta ya usalama maana Kilichopo ndani yake si fani tu ya ualimu bali ana uaminifu katika kazi anayoifanya hivyo ni kitendo cha kugeuza tu weledi wake wa kazi kutoka kufundisha na kuwa usalama.

Hakuna matangazo ya nafasi za kazi za usalama japo kuna waajiriwa wa sekta hio wengi sana, hii ikamaanisha hawa watu ni Trained baada ya kuonekana kuwa ndani wana sifa na weledi kwenye sekta hio, na hakuna aliezaliwa tu na kuwa tayari yeye ni usalama bali ni mpaka apewe muongozo wa namna Kitengo kinavyofanya kazi na kushughulika. Baada ya kugundulika kuwa in nature unafaa unapewa mafunzo maalum.
Are spies Born and made. Over
 
Mimi nadhani spy ama 'detective' au niseme majasusi na mashushushu HUZALIWA na wakipata fursa ya 'kuonwa' HUFUNZWA namna ya kufanya kazi kwa namna ambayo shirika au taasisi ya nchi husika inataka.

Kuna mambo ambayo LAZIMA yawe inborn kabisa kwa shushushu/jasusi yeyote; kama vile brilliant IQ, ability to sense beyond human nature, uvumilivu mkubwa na mambo kama hayo.

Mambo kama kujihami wanafundishwa mbinu zake, namna ya kupata taarifa ni mbinu za kufundishwa na kuzaliwa, kujiokoa pia ni kuchanganya na zako licha ya kufunzwa vyuoni nk..


Hivyo haya mambo kama zilivyo professionalism zote LAZIMA mtu azaliwe hivyo na pia AONGEZEE 'shule' ili hiyo professional yake iwe na nguvu zaidi!
 
Ninavoipenda hii kaZi cjui kwnn ckuonekana na mm muuza mchicha
 
.....
......kuna watu wako nje ya sistim lakini ni very potential. ...cha msingi ni MOYO WA UZALENDO

KUWA TAYARI MUDA WOTE NDANI NA NJE ..KWA MANUFAA YA TAIFA ..within nyanja mbalimbali
 
Back
Top Bottom