Are spies made or born?

Wanakuwa trained, but talent nayo ni added advantages
 
Utulivu (wa akili) ni muhimu sana, maana humpa mtu uwezo wa kuchakata taarifa (kuunganisha dots, nk.). Lengo kuu la ujasusi ni kuzuia jambo hasi/hatari isitokee na/au kupunguza madhara.
 
Utulivu (wa akili) ni muhimu sana, maana humpa mtu uwezo wa kuchakata taarifa (kuunganisha dots, nk.). Lengo kuu la ujasusi ni kuzuia jambo hasi/hatari isitokee na/au kupunguza madhara.
Bila shaka wewe pia ni jasusi..
 
Wanakuwa trained, but talent nayo ni added advantages
Nini hatma ya maafisa usalama wa Syria waliokuwa kwenye undercover missions nje ya nchi pamoja na nchi jirani??

Je, utawala mpya wa Syria utaanza tena kutengeneza network mpya ya Intelligence Officers katika nchi jirani??

....and how costful will it be??
 
Uzi uko very shalow sana kuhusu hiyo mada. Spies wapi?
 
Unaelewa maana ya mapinduzi?
Litafakari hilo neno kwa utulivu alafu jibu utalipata.
 
Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!
Hapa Tanzania ukiwa mbea tu na punguani kama Steve Nyerere CCM inakupa mafunzo ya ukuwadi ili unadi wake za watu mitandaoni na wakihitaji mademu unawapelekea wabunge machangu Dodoma.
 
Mimi Nina hizi attributes

Namjua mtu mbaya Kwa kumsikiliza tu.

Nina hiyo inaitwa machale

Nina uwezo wa kumuelewa mtu nia yake kwangu .

N.k
 
Wengi ni wanafiki tu, wanazaliwa hivyo kuwa wanafiki na ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kuwa majasusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…