jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Eeeh, nitumikie taifa kabla nguvu hazijaishamhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh, nitumikie taifa kabla nguvu hazijaishamhhh
Wanakuwa trained, but talent nayo ni added advantagesSpecial thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?
Ninawasilisha mjadala.
==========
Mchango kutoka kwa mdau
Bila shaka wewe pia ni jasusi..Utulivu (wa akili) ni muhimu sana, maana humpa mtu uwezo wa kuchakata taarifa (kuunganisha dots, nk.). Lengo kuu la ujasusi ni kuzuia jambo hasi/hatari isitokee na/au kupunguza madhara.
Nini hatma ya maafisa usalama wa Syria waliokuwa kwenye undercover missions nje ya nchi pamoja na nchi jirani??Wanakuwa trained, but talent nayo ni added advantages
Unaelewa maana ya mapinduzi?Nini hatma ya maafisa usalama wa Syria waliokuwa kwenye undercover missions nje ya nchi pamoja na nchi jirani??
Je, utawala mpya wa Syria utaanza tena kutengeneza network mpya ya Intelligence Officers katika nchi jirani??
....and how costful will it be??
Hapa Tanzania ukiwa mbea tu na punguani kama Steve Nyerere CCM inakupa mafunzo ya ukuwadi ili unadi wake za watu mitandaoni na wakihitaji mademu unawapelekea wabunge machangu Dodoma.Mkuu wale jamaa kwa nchi za wenzetu huwa wanazaliwa wakiwa na baadhi ya attributes/tabia fulani hivi kisha wanaongezewa tradecraft/ujuzi wa kimafunzo...baada ya hapo weeee wanakuwa ni moto wa kuotea mbali...!
Wengi ni wanafiki tu, wanazaliwa hivyo kuwa wanafiki na ndiyo maana inakuwa rahisi kwao kuwa majasusiSpecial thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?
Ninawasilisha mjadala.
==========
Mchango kutoka kwa mdau