Are spies made or born?

Are spies made or born?

Hivi wanafanya kazi kwa miongozo gani mkuu???!!
Wana "underperform" sababu hawakuzaliwa spies au hawakutengenezwa au hawakuwezeshwa kuwa spies mkuu??!!
hawakuzaliwa kuwa maspies, kwani njia ya kuwapata alizo taja pale zinatoa nafasi kubwa ya kupata watu sahihi. Kama tulionao wanafanya chini ya kiwango basi njia hizo hazikuzingatiwa!
 
hawakuzaliwa kuwa maspies, kwani njia ya kuwapata alizo taja pale zinatoa nafasi kubwa ya kupata watu sahihi. Kama tulionao wanafanya chini ya kiwango basi njia hizo hazikuzingatiwa!

Hivi unapomwita "fundi akafanya wiring" kwa nyumba halafu mtu mkaazi wa nyumba hiyo akaacha pasi on ikaunguza nguo ya ironing board na kusababisha moto hata nyumba kuteketea, bado tu lawama ni kwa "fundi"???!!
 
Mkuu, Gestapo walikuwa ni secret police wa NAZI Germany. Secret police wa East Gemany walikuwa wanaitwa STASI

STASI--Staatssicherheit (state security) na GESTAPO--Geheimestaatspolizei (secret state police) ni idara mbili tofauti zilizokuwa chini ya idara kuu ya SS--SchutzStaffel...sawa boss wangu???!!!
 
apakak na Bundensnachrichtenamt pamoja na kuona haya yote kama mifano hai!!!!

Mmesimamia wapi??!!
 
Last edited by a moderator:
apakak na Bundensnachrichtenamt pamoja na kuona haya yote kama mifano hai!!!!

Mmesimamia wapi??!!

Kwa upande wangu mimi ninasimamia pale ambapo wengi wamekuwa wakisimamia na ndio ukweli ya kwamba:
a good spy must be born with handful of the right attributes and then well shaped and equipped so he could fit the mould of the typically professional spy.
...and that's the ground i'm standing for, boss!!!
 
Same boat!!!
 
Spies can be trained as well as having some traits of spyism.

....and that's exactly what i have been insisting here comrade. There is no way you can put someone on tediously extensive espionage drills without being pretty sure if their brains could afford all that. So they must be born with those unique elements then be honed to perfection!!!
Sawa bosi wangu???!!!
 
Good brains, extensive drills and crafts, "unique elements" and a very good consitution of course!
 
Here rises another mistery wakuu!! Does this principle apply to "assassins" as well??? Are assassins also made or born cuz getting rid of someone you are not in standoff with but just at the behest of your superiors, is no easy task brothers.
Pagumu hapa mmmhh!!!
 
These can "easily" be made!!!
Wengi wanakuwa hata hawajui kama wanataka kuuwawa labda!!
Wakihisi pia hawana jinsi kubwa sana ya kujitetea!!!
Hawa wanakuwa "soft targets"!!!!!

Ila inapokuja issue ya target ngumu hapa watatakiwa wale sasa ambao wana attributes zaid ya wengine!!!!

So hata humu lazima kuna ambao watatakiwa kuwa na attributes fulani fulani au labda moja ni subset ya nyingine!!!!

All beautiful are good but not all good are beautiful sort of a thing!!!!
 
Back
Top Bottom