Are spies made or born?

Are spies made or born?

Bila shaka wote mu wazima wa afya. kama heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari na hizi attributes?

Ninawasilisha.

Mkuu habari yako kwanza. Naomba nikujulishe kitu kimoja hapa ya kuwa kuna baadhi ya watu wamezaliwa na uwezo na tabia ya UDADISI WA MAMBO. Si kitu walichokuwa inspired upon bali ni their innate nature. Those guys are BORN SPIES and once they are discovered and well trained, they become so so so TERRIBLE.
 
MTU Wa itikadi tofauti ya chama wanarecuit hapa kwetu?
Kwa sababu hamna asiye na itikadi ya chama kwa kipind hichi
 
MTU Wa itikadi tofauti ya chama wanarecuit hapa kwetu?
Kwa sababu hamna asiye na itikadi ya chama kwa kipind hichi

Kwa namna nyingine hapa unauliza kama hawa jamaa huwa wanapiga kura ama la???
 
Kwa namna nyingine hapa unauliza kama hawa jamaa huwa wanapiga kura ama la???

Kura najua wana haki kama raia mwengine..

Nachotaka kujua japo recruitment yao inabase kwa mwanachama aliye mlengo Wa chama kilicho madarakani?

Kwa hali ya kawaida kama watamrectuit MTU aliye mlengo hasi na chama kilicho madarakani huoni kama atavujisha baadhi za siri?
Just swali as layman tu
 
Kura najua wana haki kama raia mwengine..

Nachotaka kujua japo recruitment yao inabase kwa mwanachama aliye mlengo Wa chama kilicho madarakani?

Kwa hali ya kawaida kama watamrectuit (MTU aliye mlengo hasi na chama kilicho madarakani) huoni kama atavujisha baadhi za siri?
Just swali as layman tu

Mind the brackets......sasa hapa utakuwa unazungumzia usalama wa CHAMA na sio wa TAIFA. Vyama vina mifumo yao binafsi ya ulinzi na usalama wa viongozi na rasilimali zao ambayo haina mifungamano ya moja kwa moja na mifumo kamili ya usalama ya nchi/state security.
 
Spies are both made and born. Ila kunakuwaga na tofauti kubwa sana kati ya jasusi wa kutengenezwa tu na jule wa kuzaliwa kisha akapitia mafunzo linapokuja suala la BLENDING IN. A born spy is capable of melting into the targeted community without displaying any sort of fake or un-natural behavior ambayo watu makini ni rahisi sana kuweza kui-notice. Jasusi yeyote wa kutengenezwa tu ambaye hana wito wa kufanya kazi ya namna hiyo anaweza tu kufundishwa techniques za BLENDING IN ila kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuonesha tabia flani flani fake ama zisizo za asili kutokana na namna anavyoongea, anavyotazamana na watu na kucheka kwake pamoja na body language yake kwa ujumla, tabia ambazo watu makini wanaopambana na majajusi wa nchi za nje (counter intelligence/surveillance teams) ni rahisi sana kumuona na kuvijulisha vyombo vya usalama kama polisi ama idara ya uhamiaji.
 
Mkuu habari yako kwanza. Naomba nikujulishe kitu kimoja hapa ya kuwa kuna baadhi ya watu wamezaliwa na uwezo na tabia ya UDADISI WA MAMBO. Si kitu walichokuwa inspired upon bali ni their innate nature. Those guys are BORN SPIES and once they are discovered and well trained, they become so so so TERRIBLE.

mkuu kwenye spy lazima uwe "well trained" ndo utakuwa the beast.
 
You are who you are trained to be. Kuna vitu tunavyozaliwa navyo hivyo vinaweza kukusaidia kuwa exception au kuwa na uwezo wa ku influence watu kuliko mwingine.Lakini kufundishwa ni muhimu.Kwa mfano spy anaweza pata information kutoka kwenye kitu ambacho mtu mwingine wa kawaida anacho lakini hajui kama hicho kitu kinatoa information fulani.
Kama ambavyo mtu mmoja alichangia kwamba unaweza pata information kwa kuangalia nguo zinazoanikwa kwenye nyumba fulani,kutembelea jalala na kuangalia vitu vinavyotupwa.
 
Challenges kubwa ni Tech tu wakuu mana huwezi sema unatoa hard disc katika Mashine yako kila ukitoka unajuaje huyo manufacture hajapandikiza Chip umo? palikuwa na kesi marekani akilaumiwa kuweka firmware ktk hard disc kwa ajili ya kudukua wenzie Nadhani kama tunajilinda tunajilind ndani tu ila kwa kenya alivyo advance anaweza ata kutuingilia kimawasiliano Serikali ijikite kufundisha watu technology Hii itasaidia kusuka vifaa vya mawasiliano wenyewe ...C.I.A wapo top kwa vile ya Tech tu not man power All in all mbabe wa technology ndio mbabe wa dunia
 
"All in all mbabe wa technology ndio mbabe wa dunia"

Umeitimisha vizuri sana mkuu.
Tunapaswa tuwekeze kwenye technology.
 
If intelligent are born, then spies are born and made but if intelligent are made, then you don't need to born a spy to be a good spy coz' you'll be made, first to be intelligent and second to be spy!

Born= Bear
 
Back
Top Bottom