Spies are both made and born. Ila kunakuwaga na tofauti kubwa sana kati ya jasusi wa kutengenezwa tu na jule wa kuzaliwa kisha akapitia mafunzo linapokuja suala la BLENDING IN. A born spy is capable of melting into the targeted community without displaying any sort of fake or un-natural behavior ambayo watu makini ni rahisi sana kuweza kui-notice. Jasusi yeyote wa kutengenezwa tu ambaye hana wito wa kufanya kazi ya namna hiyo anaweza tu kufundishwa techniques za BLENDING IN ila kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuonesha tabia flani flani fake ama zisizo za asili kutokana na namna anavyoongea, anavyotazamana na watu na kucheka kwake pamoja na body language yake kwa ujumla, tabia ambazo watu makini wanaopambana na majajusi wa nchi za nje (counter intelligence/surveillance teams) ni rahisi sana kumuona na kuvijulisha vyombo vya usalama kama polisi ama idara ya uhamiaji.