Are spies made or born?

Are spies made or born?

If intelligent are born, then spies are born and made but if intelligent are made, then you don't need to born a spy to be a good spy coz' you'll be made, first to be intelligent and second to be spy!

[/Color=red]Born= Bear[/color]
 
Spies are both made and born. Ila kunakuwaga na tofauti kubwa sana kati ya jasusi wa kutengenezwa tu na jule wa kuzaliwa kisha akapitia mafunzo linapokuja suala la BLENDING IN. A born spy is capable of melting into the targeted community without displaying any sort of fake or un-natural behavior ambayo watu makini ni rahisi sana kuweza kui-notice. Jasusi yeyote wa kutengenezwa tu ambaye hana wito wa kufanya kazi ya namna hiyo anaweza tu kufundishwa techniques za BLENDING IN ila kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuonesha tabia flani flani fake ama zisizo za asili kutokana na namna anavyoongea, anavyotazamana na watu na kucheka kwake pamoja na body language yake kwa ujumla, tabia ambazo watu makini wanaopambana na majajusi wa nchi za nje (counter intelligence/surveillance teams) ni rahisi sana kumuona na kuvijulisha vyombo vya usalama kama polisi ama idara ya uhamiaji.

I start feeling too skeptical of your writings mkuu. Where do you really get these info from???
 
There are born spies and trained ones,but those who are born and trained are the best ones!
 
Kama
Mawazo yetu yangekuwa kama ya nasdaz uzi usingekuwepo kwan ndio ukwel
Jasus n mwerevu Kwa iq zaid ya 120

Hata marekan wanaajir Kwa kiwango chako cha uelewa na ndio maana wanaajir had wagen
Tz mpango ilikuwa hivyo zaman but not now na ndio maana taasisi inakosa credible
Being spy man
Need a higher reasoning capacity
Under 100 iq sio spy ni wajibu tu unatimizwa
 
Kama
Mawazo yetu yangekuwa kama ya nasdaz uzi usingekuwepo kwan ndio ukwel
Jasus n mwerevu Kwa iq zaid ya 120

Hata marekan wanaajir Kwa kiwango chako cha uelewa na ndio maana wanaajir had wagen
Tz mpango ilikuwa hivyo zaman but not now na ndio maana taasisi inakosa credible
Being spy man
Need a higher reasoning capacity
Under 100 iq sio spy ni wajibu tu unatimizwa

Learn from this guy point of view
 
Training means what? There a good person appeared in this land of live but they did not get such training
Intelligent people need a pen and paper only that anything can be seen
Try to learn any material concerning gifted children and their educational matters
Intelligent need resources only,through that can make a way for his her own
 
Mkipata bahati ya kukipata hiki kitabu kimejaribu kuelezea in deep kidogo na hapo mtajua kuwa are they born or trained and who are they ImageUploadedByJamiiForums1446914120.519198.jpg
 
Darasa liendelee.
Binafsi,ICT ni changamoto kwa mfumo wa sasa thus it either assist them or make their task become difficult.
Mfano,nchi husika kukosa Owned Cellular/Mobile Company....kutegemea ya wawekezaji.
 
Back
Top Bottom