Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
hapana. Du ila noma hii haifai.Freelancer uliipata hii habari hapa chini;
Russian spies risk Putin after FSB spook graduates filmed themselves in Moscow | Daily Mail Online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana. Du ila noma hii haifai.Freelancer uliipata hii habari hapa chini;
Russian spies risk Putin after FSB spook graduates filmed themselves in Moscow | Daily Mail Online
Freelancer uliipata hii habari hapa chini;
Russian spies risk Putin after FSB spook graduates filmed themselves in Moscow | Daily Mail Online[/QUOTE
Nikiiangalia kwa undani nahisi kama wanaweza itumia kwa upande wa pili ambao ni muhimu sana, yaani hapo watawafukuza baadi kuonesha kukelwa na kitendo hicho [ ila ndani ya ofisi zao/mioyoni mwao] ila bado wakawatumia sehemu mbalimbali kupata taarifa kwa kuaminisha umma na jamii yao kuwa waliwafukuza kazi. Na hadi nje ya nchi zao pia watawatumia vilevile huku watu wakiamini kuwa sio FSB tena.
Kwa hiyo mi naona kwa upande mwingine unawezaa ukawa ni ujanja mkubwa sana wa kupata taarifa.
Najaribu kuwaza tu.
Kama nakosea nahitaji kuelewa zaidi toka kwenu wadau.
Asanteni.
asante sana kaka. umefafanua vizuri sana tu...
Spies are like entrepreneur, some are born while others are made.
Kitambo sana mkuu, karibu tena jamvini!Once again. . . . . .
Mkuu ulipotes sanaOnce again. . . . . .
shukraan mkuu, tuendelee kuombeanaKitambo sana mkuu, karibu tena jamvini!
Nipo kakaMkuu ulipotes sana
sidhani kama swali lako linauwiana na maudhui ya mada hiiJe sokoine aliuliwa?
mkuu Nalt upo kweli? mbona kimya sanaaWanajua wao wanawatrain muda gani, mtu unaandaliwa kufanya kitu fulani mapema, ndio maana form three unachagua science, form five unachukua PCB ili Chuo ukasomee Udaktari, uwezi ukachukua HGL form five Chuo ukataka ukasomee Udaktari, maandalizi ni mapema, ingawa kwa hawa watu ni wao wanaokuappriciate na kukuingiza humo taratiibu mpaka unaiva na kuwafaa, sio unajiingiza mwenyewe, unaamua kusomea mwenyewe au kama unavyoenda kuomba kazi Bank, no, unaweza ukawa hata mtu mwenye Masters, wasikufagilie, kwa kuwa hauwafai, lakini wakamtrain form four leaver akawafaa, but unafuatiliwa muda sana mpaka kuingizwa huku, hawakurupuki, yawezekana anayekufuatilia ni mwanafunzi mwenzako ama Mwalimu wako ambaye naye yumo tayari
nadhani ni katik thread hii niliwahi kutaja sifa za mtu anaefaa kuwa jasusi..nitazirejea kwa kifupi..
1. jasusi lazima awe na kumbu kumbu..hii ni sifa muhimu sana lazima akili yake iwe ina rekodi kila jambo na kila hatua anayopitia na kwa usahihi..kuanzia asubuhi ambo yoote unayofanya/unakpita unarekodi kisha jioni unaandika report ya kika kitu bila kuacha..na pia ukiulizw ajambo lililotokea wiki mbili zilizopita ulikumbuke kwa usahihi na kwa mapaa yake..kuna watu hawana kumbu kumbu yaani hat kushika namba5 za simu hawezi..binafsi sina jina la mtu yeyote kwene simu yangu bali namba tu na ninajua namba hii ni ya nani na hata kuitaja..niliifundisha akili katika hilo..so kumbu kumbu ni sifa muhimu
2.. lazima jasusi afikiri kuwa mantiki (logic)...lazima ujiulize kwa nini hik kiko hivi na ninaweza vipi kukibadilisha katika muonekano huu na kikawa kitu kingine, kufikiri kwa logic ni muhimu sana, na katika kufikiri lazima ujiulize , why, who, where, what etc...ukiwa mtu wa kukurupuka lazima uumie..
3.lazima awe mtu wa kuchunguza (observation)..haijalishi mahali alipo lazima achunguze mazingira na nini kinaendelea..ukiingia ndani ya nyumba lazima uichunguze kwa mda mfupi na kwa umahiri mkubwa ujue ina milango migapi, madirisha, nk nk..akili lazima iwe inarekodi..na lazima uangalie escape route iwapo kutatokea shida..mlango lioingia sio wa kuutegema sana..
4..jasusi lazima ajue kubadilika kulingana na mazingira au eneo alilopo..awajue watu wanaomzunguka wanataka nini na ni wa aina gani..jasusi laizma ajue kucheza na hisia za watu(sifa muhimu sana hii)
5..jasusi lazima ajue kusikiliza milango yote 7 ya fahamu(sio 5 ni 7)..katika ubongo wa mwanandam kuna maelekezo mengisana yanayomuonya mtu juu ya jambo flan.(wengine wanaita machale) machale haya humuonya mtu juu ya hatari iliyo mbele so ni lazima jasusi ajue namna ya kusukiliz amilango yake yote na kuchukua hata inayostahili kama yu katika hatari
hapo ni baadhi ya sifa anazopaswa kuwa nazo jasusi..sasa ukiangalia sifa hizo hakuna hata moja hapo ianayofundishwa darasani zote ni za kuzaliwa...na kwa kweli wote tunazaliwa tukiwa pure isipokuwa tunajaza uchafu mwingi kwenye ubongo na kuharibu nguvu ya akili...hata katika maisha ya mtu wa kawaida tu sifa hizo hapo juu ni muhimu sana..huwezi kuyatawala mazingira kama huna utulivu wa akali.... The mind is a good servant but a terrible master...lazim akili yako uitawala na uitume ifanya jemabo flani sio yenyewe ikutme wewe kufanya jambo flani..
sasa ukiw ana sifa hizo hapo juu na zingine ambazo sijazitaja kisha ukaingizwa darasana na kunolewa sawa sawa lazima ufnay mambo makubwa..
ndugu zangu mambo haya huwa hayaji hivi hivi ni lazima ujitume katika kuhakikisha akili yako inakuwa sawa mda wote na u-keep low profile,upayukaji hauhusiki, majigambo,nk...ukiishi kama mastaa wa movie hwezi chukua round ktik game hii...
kwenda kwenye vyuo vya mafunzo haya ,,,huko unaongezewa mbinu mfano za kutumia silaha za aina zote, namna ya kujihami, namna ya kugoma kuhojiwa iwapo utakamatwa....
mazingira ya ujasusi yamezungukwa na hatari, ukiwa, upweke na kivuli so nilazima jasusi ajifunze mbinu zoe za awali za kazi hii (tradecraft)...
kwa hiyo naweza kusema kuwa watu hawa sifa kubwa ni zile za kuzaliwa kisha wanaingizwa darasan/vyuoni ili kupewa mafunzo kufit mahitaji yaliyopo...
nimalize kwa kunukuu maneno ya mwalimu wangu:
1 when you control your thoughts, you control your mind, when you cotrol your mind you control your life; and once you reach a stage of being in total contolof your life you become the master f your own destine.
2..Alwys life favors the prepared mind
3.. in life there is no mistakes but lessons...sometime pain can be a good teacher
NB: mwambieni Invisible auweke uzii huu sticky maana kuna mda nautafuta siupati
Infantry Soldier Kila taifa lina utaratibu wake na sheria zake za namna ya kuingia kwenye nchi nyingine hasimu kwa lengo la kukusanya taarifa...kupenyeza mtu mpaka akaingia ndani kabisa katika utawala wa nchi hasimu ni jambo linalofanyika na kupangwa kwa umakini mkubwa...
Infiltration za namna hiyo hupangwa kwa kupelekea mtu mmoja mmoja,au kikundi cha watu (spy ring) wakaingia nchi hasimu na kutapakaa kila mmoja akifanya kazi yake lakin wakawa na namna wanavyokutana na kupeana taarifa au inaweza kuwa ni hizo kampuni zikaingia na kufungua miradi lakini kukawa na lengo hilo...
Ntatoa mfano mmoja wamarekan wakati wakimtafuta osama huko pakistan walimtumia dada mmoja anaitwa jane aliyefanya kazi shurika la save the children..alifanya kazi nzuri sana mpaka akajua nyumba anayoishi osama na akapanga jiran na nyumba hiyo na kuchukua taarifa zote mpaka mheshimiwa akauawa...
Ujasusi Wa kuingia nchi hasimu lazima upangwe vizuri maana jasusi akikamatwa hukp madhara yake ni makubwa..
Sasa basi jambo la kwanza ni kuangalia viongozi wa nchi hasim wanapenda nini..kila binadamu ana udhaifu wake..njia nzuri inaweza kutumia jasusi wa kike anapandikizwa nchi hasim na kwa siri anajipenyeza mpaka anakuwa na uhusiano na mmoja wa viongozi serikalini toka nchi hiyo hasimu...anaweza akaolewa kabisa na akakaa huko na kwa kumtumia huyo mumewe akazijua siri,taarifa na mipango yoyote inayoendelea kuhusu taifa la jasusi nae akaweza kutoa taarifa..
Wanawake ni wazuri katika hilo,zipo mbinu wanapewa namna ya kupata siri hasa mwanaume anapokuwa amemaliza kupizi...lakini pia zipo dawa wanazopewa ni maua flani huko iringa ni mengi sana..mwanamke akijipaka mkononi maji maji ya maua hayo na kisha kumtomasa mwanaume sehem ya sikio na shingoni mara moja mwanaume akivuta hatufu ya maua hayo atapata hisia za kufanya mapenzi....na hapo mwanamke atatumia mwanya huo kupata taarifa...kumbuka for a woman to have sex she must have a reason but for man to have sex he just need a place to do that...
Kwa nini majasusi wa kike ni wazuri kwa infiltration za namna hiyo?...zipo sababu kadha wa kadha..kwanza ni kwamba inaaminika mwanamke amezaliwa na extra strand kwenye DNA yake..they are born spies...women are better at playing roles and superior to men when it comes to suppressing their ego in order to attain the goal...they are gifted at deciphering sitiation contary to steriotypes...when they are good,they are very good...
Tofauti na mwanaume..mwanaume anaweza kujionyesha sana...men can fidget around with gadgets but women have an antenna inside them....
Hizo ndizo sababu kwa nini wanawake ni wazuri eneo hilo...sisemi wanaume hawafi wanafaa inategemea na mission yenyewe...
Sasa ukifanikiwa kuruhusu kunguru wako azaliwe kwenye jamii ya njiwa yapo mambo ya kuzingatia kwa huyo kunguru wako ili abaki huko kwa mda mrefu na hata siku moja njiwa wasishtuke na kujua wanaishi na kunguru...jasusi wako akofika huko ni lazima muangalie au aangalie nyumba ataksyofikia..aangalie vitu vilivyomo ndani kama taa,saa ya ukutani nk..aangalie na ajiridhishe kuw vifaa hivyo havijapandikizwa vinasa sauti..
Wakati wa kupiga simu au kupokea simu ya nyumbani awe makini kusikiliza kelele zisizo za kawaida isije kuwa kuna mtu wa tatu anasikiliza mazungumzo...
..tv,radio hasa zilizo ndani ya gari atakalokuwa akitumia awe nakini kusikilza mwingiliano wa mawimbi usioekeweka huenda akawa amepandikiziwa wireless microphone inayonasa mawasiliano yake...
Lazima jasusi(kunguru)awe mwangalifu anapopewa vitu bure mfano kalamu,saa nk..huwenda vitu hivyo vikawa na chip zinazonasa mawasiliano au kumtrack kunguru kila anakoenda..
Kama mahali anapoishi panahitaji ukarabati basi mafundi wote wafanye kazi chini ya uangalizi maalumu wasije wakapandikiza vitu vya kunasia sauti..
..iwapo jasusi atapanda tax kuelekea kwake basi ashuke njian mahali atakapoona panafaa na atembee kwa miguu kwenda kwake..si kila tax dreva ni dreva...
..ndani ya nyumba afunge kamera zitakazokuwa zikirekod masaa24..
Ahakikishe nyaraka na taarifa zilizo ndani ya komputa haziibiwi..akifika kwako atoe hard disk na kuihifadhi sehem salama..
...jikon pawe na vifaa maalum au chumbani kwae vitakavtonsaidia kutengeneza bomu la haraka iwapo atakuwa katika hatari nandani humo pawe na silaha za kutumia iwapo atapata hatari na ulazima...
..lazima awe na begi la all in one..akipata dharura anabeba begi na kusepa sio kuanza kukusanya vitu ..
Asiache chochote chenye maandishi ndani ya gari na kila anapotaka kuwasha gari alikague tair zote isije kuwa tair moja imepachikwa reflector itakayowapa nafasi mahasimu kumfatilia mienendo yake....
Pia lazima akieep profile yake low
Hayo na mengine ni mambo ya muhimu ambayo jasusi anapaswa kuyafanya awapo ugenini...kila jambo lifanyike kwa tahadhari...
Sasa anapotaka kutuma taarifa kwa wakubwa zake lazima afanye kwa umakini ..njia za kisasa za tech ni hatari maana mahasimu wanaweza kufatilia na kusikiliza..kumbe njia nzuri ni kumpa taarifa mtu wako mwingine (handler) ambaye atazifikisha huko kwa wakubwa...
Sheria za majasusi wanapokutana ugenini na kutaka kupeana taarifa ni hizi:
Kwanza lazima wahakikishe hakuna anayewafatilia,kipengele hiki ni muhimu wakazingatia maadili ya kazi...
Lazima wakubaliane juu ya eneo makutano yao..na lazima wapeane ishara za utambuzi ili kufahamiana pasipo kutambuliwa kwa mtu yeyote..
1 kila mmoja afike eneo walilokubaliana kwa mda wake
2.kabla ya kufika eneo walilokubaliana lazima wapeane ishara ya kuonyesha kuwa kila mmoja amemuona mwenzake..ishara hiyo yaweza kuwa kunyanyua gazeti toka upande mmoja kwenda mwingine au kuwasha sigara..ishara hiyo lazma iwe ishara mtembeo ambayo haitavuta hisia za watu wengine..na wakti hili linafanyika wotw wawili wawe makin kujua na kuona kama wanafatiliwa..
3.ishara ya utambuzi ikishafanyika mbeba taarifa ataanza kutembea kuelekea eneo la makutano huku mchukua taarifa akimfata kwa umbali unaofaa....hii ni kuhakikisha mbeba taarifa yuko salama na hafatiliwi
4.mchukua taarifa akijiridhisha kuwa mbeba taarifa yiko salama atamuonyesha ishara iliyozoeleka katika mazingira ya kawaida mfano kufunga kamba za viatu,kushika miwan nk..baada ya hatua hiyo mbeba taarifa nae sasa lazima ahakikishe kwamba mchukua raarifa yuko salama na hafatiliwi...nae ataonyesha ishara mfano kufikicha jicho nk..
5.mbeba taarifa akijiridhisha kwamba wote wawili wakp salama ataonyesha ya kukutana mfano kupandisha suruali ikae vizuri kiunoni....then watakutana na kuepeana taarifa..hakuna mazungumzo kati yao..
Iwapo mbeba taarifa au mchukua taarifa atahisi wanafatiliwa basi watavunja makutano na kila mmoja ataondoka kwa njia yake...watakutana na kujadili yaliyojir na nini kifanyike na safari ya pili wakikutana lazima wawe na backup ya watu wengine au plan ya ziada...
Najisikia kiu