Curiosity ilimuua paka.. Kemea hilo pepo la uchunguzi...Tatizo naloliona ni moja ni kwamba wewe huna training ya surveillance sasa unaweza ukaingia kwenye mdomo wa mamba katika kumchunguza ndugu yako. Ndugu yako anaweza akawa anafuatiliwa mienendo yake. Sasa na wewe kujiingiza katika kumchunguza unaweza ukaonekana kwenye macho ya wanafuatilia miendendo ya ndugu yako na yakakukuta makubwa huku ndugu yako asipate kujua.. Kuwa makini itakula kwako..😀😀😀. Ili uweze kumchunguza ndugu yako unapaswa na wewe uwe na uwezo wa kugundua watu wengine wanaofuatilia miendendo ya ndugu yako, kitu ambacho si rahisi kiivyoo