Are spies made or born?

Are spies made or born?

Hatimaye nimemaliza page zotee..
Shukrani ziende kwaa..
De'levis
Freelancer
Sulphur nini lijina ligumu..
Olesaidimu
Ramark
Infatry soldier
Na baadhi nimewasahau majina..
 
Mkuu Yericko Nyerere kuna uzi fulanii ulielezea kuhusu mambo ya ujasusi please naomba link..
Mambo yote yamo huku....
Vitabu vya Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, na Strategy: The Road to Power, sasa vinapatikana kwa Dar es Saalam duka la House Of Wisdom, Posta, Samora, NHC House.

STRATEGY: Kitabu maalumu kwa wagombea wa urais, ubunge na udiwani, ni shilingi laki saba (700,000/=)

UJASUSI: Kitabu cha watu wote waliopevuka kiakili ni shilingi elfu themanini (80,000/=)

Nunua pia kupitia mitandao ya amazon.com, ebay.com au simgazeti.com

Piga simu sasa popote ulipo utaletewa...

Mawasiliano +255715865544
+255755865544
IMG_20171020_192859_727.jpg

IMG_20171103_012637_894.jpg
 
Ahsante sana mkuu, lkn mkuu sema hatujuani tu but I cant afford it
Mambo yote yamo huku....
Vitabu vya Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, na Strategy: The Road to Power, sasa vinapatikana kwa Dar es Saalam duka la House Of Wisdom, Posta, Samora, NHC House.

STRATEGY: Kitabu maalumu kwa wagombea wa urais, ubunge na udiwani, ni shilingi laki saba (700,000/=)

UJASUSI: Kitabu cha watu wote waliopevuka kiakili ni shilingi elfu themanini (80,000/=)

Nunua pia kupitia mitandao ya amazon.com, ebay.com au simgazeti.com

Piga simu sasa popote ulipo utaletewa...

Mawasiliano +255715865544

View attachment 623113
STILL am unemployed
 
So, for what i know, spies can be born and raised to be one since their childhood and they are measured their IQ from the early stages, but others are made (artificial intelligencies) these people are always loyal and they do whatever they are asked to. I hope my opinion would help something [emoji4]
 
Huu uzi mzuri sana ila nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka sijaona jasusi humu nimeona wanausalama toka PT,JW(MI).Kingine mliotumia zaidi ya I'D moja jueni kuwa mmeuharibu uzi
 
Mkuu Infantry Soldier mi naweza kidogo nikazungumzia suala la Edward snowden na U.S,binafsi naona U.S wametumia mbinu ya tujidhalilishe kwa hiki kitu kidogo ili tupate kitu kikubwa,kwa maana hiyo snowden kuondoka na kuachia siri ambazo wengi wakidhani ni jinsi gani zile taarifa zinaweza kuathiri taifa hilo kubwa lakini kumbe U.S ndo wamepanga iwe hivyo kwa mtizamo wangu snowden kutangaza vile ni kuteka concetration za mataifa yaliyokua yamekusudiwa ikiwa ni china,Russia,North korea,iran...ili atakapoingia nchi kati ya hizo awape zile taarifa ambazo U.S wamedhamilia na hazina madhara makubwa kwao kisha snowden achukue taarifa ambazo zimekusudiwa kisha aondoke mara1 au kuwatumia haraka,kwahiyo U.S walifahamu na walipanga mchezo mzima wa Snowden ili wapate wanachokihitaji,SO
IN THE EYES OF U.S SNOWDEN IS NOT ATRAITOR BUT THROUGH MEDIA SNOWDEN IS A TRAITOR.
Snowden is a fugitive. He never had a chance to meet with any foreign intelligence agencies. His life was in Hotels before he disappeared into Russia
 
Back
Top Bottom