Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
[emoji14] [emoji14]Tumefunga shule mzee,it's holiday season!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji14] [emoji14]Tumefunga shule mzee,it's holiday season!
Sidhankwa hiyo ramadhani ighondu ni intelligent!!!!
Bothare mafisadi made or born
Hahah et sidhanSidhan
Halafu hilo jamaa nanga kinoma ID zake lazima zijulikaneHuyo sio mrembo,ni dume anaitwa ibrahim au infantry soldier
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bado nasoma nipo form three
Hahahaaaa!!!Tumefunga shule mzee,it's holiday season!
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?
Ninawasilisha mjadala.
==========
Mchango kutoka kwa mdau
ana google huyo wala hata usipate hofu.. wanaogoogl utawajua tuMkuu hata wewe yawezekana upo kazini. Maana maswali yako yanachembe chembe ya kile unacho kiuliza zaidi ya wale wanao papasa na kujaribu kukupa majibu kulingana na mambo wanayo sikia vijiweni au kuona kwenye muvi za kijasusi.
well said........chukua soda hapoSpecial thread for discussing espionage business and other closely related issues:
Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.
Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?
Ninawasilisha mjadala.
==========
Mchango kutoka kwa mdau
Thanks
HASA KUNA MWANAFUNZI MMOJA KATIKA SHULE YA SEKONDARI -------------- MKOA WA GEITA WILAYA YA MBOGWE HUWA SIMWELEWI KAMA ANATEMBEA UPANDE UPANDE VILE HUWA NAMHISI