Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Mimi nawafuga shambani kwangu, hivyo ukija kuiba tu unakula mkong'oto bila kujuwa hao aliens wametokea wapi. Wangu mimi hawajamzoea mtu yeyote bali mimi tu, na wanakula mara moja kwa siku tena usiku.
 
Jamani tuelewe kitu kimoja sio kila kilicho kwenye internet after umekigoogle au kipo youtube ni cha kweli hata mimi naweza weka story yangu ya uzushi kwenye net aimanishi kuiweka kwenye net ndio imekua ukweli, mambo ya royal family kubadirika kuwa reptilians au mambo ya presence of aliens ni uzushi tu wa watu flani ili eitheir kuuza movies zao zinazorelate na story hizo au vitabu, kwa wafuatiliaji wa TV series za zamani watakumbuka zamani ITV wakilikua wanaonesha series moja ya BABYLON 5 yenye kuonesha maisha yanavyoendelea outer space na aliens.
Kwa ufupi vampires, Aliens, super heros na zingine ka hizo ni bed time stories so far hakuna kiumbe kingine kilichogondulika nje ya sayari hii dunia, sema kuna makisio uwenda sayari zingine kunauwezekano wa kuwepo na uhai kulingana na hali ya hewa na dalili ya uwepo wa maji ingawa bado hijadhibitishwa 100% mfano Mars.
hizo picha na video tuzaoneshwa za aliens ni maendeleo tu ya kisayansi ndio maana hollywood wameendelea sana, mambo mengi ni fiction and more Computerized .


Mkuu mbona inasemekana Diana aliuwawa kwa sababu alibeba mimba ya yule Dodi ambaye siyo mzungu na ikaonekana ni kashfa kwa Royal Family kuzaliwa Muhindi?
 
Ukweli ni kwamba kuna meli ya kifahari iliyopewa jina la TITANIC ilizama baada ya kufanya safari yake ya kwanza na maelfu kwa maelfu ya watu walifariki, na kilichotengenezwa kwenye movie ni story ambayo imeusishwa na kuzama kwa meli hiyo sio kwamba ni kweli hicho kisa cha kweli bali kimeingizwa kunaogesha movie, na siwezi sema kama tumedanganywa perse ila ndio sanaa na ubunifu vinavyokua,sijui nimeeleweka mkuu

tumedanganywa nini katika Titanic? na ukweli ni upi?
 
wakuu nawasalimu wote!
Kuna uvumi na tetesi katika vyombo mbalimbali vya habari kuwa aliens wapo na wanaishi.
Wana jamvi kuna ukweli juu ya hili unaothibitisha hili...
 
nipo maeneo ya 'boma ng'ombe' muda huu wa usiku, angani hakuna mawingu wala mwezi angani, bali kunakitu kama wingu limetokea jeupe sana lenye mwonekano wa round (katika hali isiyoyakawaida angani) wingu hili limekuwepo kwa dakika kadhaa likaanza kusogea huku likipoteza ile round then lika-disolve na kutoweka muda huuu wa usiku. wengine waliesema lilikuwa lilikuwa linaondoka.!!sio filamu ya fiction wala sci fi movie. na nimewaita watu makini wakiwemo doctor mmoja wakakiri halikuwa wingu wala kitu cha kawaida. muda huu napoandika limeshatoweka. kama kuna mtu aliyeko arusha ama moshi ama uwanja wa ndege wa KIA anaweza kukukiri kuona kitu hiki kisicho cha kawaida especially aliyepata muda wakutazama hewani yamkini ameliona. nikajikuta nakumbuka zile story za Unidentified Foreighn Objects (UFO), kwani ndizo zinazoelezea mambo ya extraterestial zaidi.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa kuhusu alliens na UFO lakini sijaelewa vizuri asili ya viumbe hawa alliens na UFO, mission yao duniani, . Inasemekana kuna nchi imeanzisha idara rasmi inayoshughulikia mahusiano ya hivi viumbe na wanadamu. Ninaomba anae elewa chochote kuhusu viumbe hawa na mahusiano yao na binadamu, ahsanteni


 
Wakuu nimekuwa nafuatilia kuhusu alliens na UFO , inasemekana kuwa hawa viumbe wanafanya ziara duniani na kuna nchi imeanzisha exopolitics department ku deal na issue za hawa viumbe ,niani, kuna mambo mengi bado sijayaelewa vizuri kama mission yao duniani, dinadamu wananufaikaje na ujio wao , threats wanazoweza kusababisha nk, naomba michango yenu , ahsante
 
kuna thread moja humu ndani ilishawahi kuanzishwa juu ya mambo hayo...itafute utaona watu wameiongelea kwa undani tu..
 
Mkuu aliens wapo, vyombo vyao vya anga vimeonekana kwenye picha za satelite mbalimbali inasemekana kuna mahusiano ya siri kati ya serikari ya Marekani na viumbe hivyo
 
hawa ni viumbe wa advance races from other planets.... kuna more than 10 million planets in the milky way so obvious kuna some form of life somewhere...... hawa ndio waliotuletea civilization hii tuliyonayo... wali intermarry na primitive humans ndo race yetu ikaanza hata kwenye bibles kuna endless examples ya ujio wa hawa watu!!!
 
UFOs are just a fabrication from technological experiments by American scientists so much hidden from the public. Just ask yourself, why no clear account of UFOs and why not being seen in Africa, Asia or elsewhere, save one incidence in UK, but in the USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…