Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Lugha gani tena hiyomina faidhina wabarakatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha gani tena hiyomina faidhina wabarakatu
Nna mashaka,huenda viumbe hivi ndio vilee ambavyo vimepewa jina la Unidentified Flying Object (UFO).kama ndio hivi basi serikali ya Marekani iliwahi kutenga trilions of money kwa ajili ya utafiti wake ila ilishindwa kupata jibu kamili la viumbe hivi na ikasitisha utafiti wake
Mkuu, viumbe visivyo onekana ni Malaika na MajiniUmesahau kuwa biblia inasema kuwa wakati huo wanefeili walikuwepo tayari duniani. who is wanefili? lakini pia katika sala ya imani ya mitume kwa baadhi ya madhehebu ya kikristo inasema kwa viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana, viumbe visivyoonekana ni viumbe gani?
Ndio maana kumbe ulikuwa unamtetea mliberali Loveness Mamuya kumbe na wewe unaupenda huo mchezo!!?
mi ni mkristo kuna fungu ambalo huwa nikilitafakari linanipa utata kwamba sisi wanadamu hatukuwa viumbe wa kwanza kuumbwa pale mwanzo adamu alipata watoto wawili wakiume kaini na mdogo wake kaini akamuua nguguye akakimbia kwao akaenda sehemu za mbali uko akapata mke akawa na kizazi sasa huyo mke alitoka wapi wakati kipindi hicho tunaweza kusema dunia ilikuwa na watu wanne tu sasa hao wengine je ni mwanzo 3 kwenye biblia.vilevile inawezekana hivi viumbe vikawa ni matokeo ya tafiti za wanadamu
kwa taarifa nilizonazo,ni kweli kwamba hawa viumbe wapo na inasemekana teknolojia yao iko juu,kuna hata shuhuda mblmbl..nchini marekani watu kadhaa tofauti wamekaririwa wakisema wamekutana na hao viumbe kla mmja kwa wakt wake,na kwa video za satellite zinazotumika kimeshaonekana kimoja kikipita kuzunguka dunia,na kuna taarifa za vyombo kama visahani kutua duniani na kuondoka kwa mwendo kasi sana na vingine vilitoa moto..hivyo vinasadikiwa kuendeshwa na hao viumbe wa ajabu.kulikuwa na mgogoro marekani,watu kadhaa wakiishutumu kwa kuficha siri fulani kuhusu hawa viumbe..unaweza kwenda google na andika neno ufo..halafu angalia video zake za you tube,utafunguka kwa kiasi kikubwa.
Hao si ndio kama wale tuliokuwa tukiwaona kwenye ile series ya world final conflict?
Kuhusu hoja ya kaini kuoa mke asiyejulikana chanzo chake,nilimuuliza kiongozi mmoja wa dini na akadai kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa kaini alimuoa dada/mdogo wake,kwani watoto wa kike hawakuwa wakihesabiwa nyakati hizo,sikuamini jibu hilo moja kwa moja ila pia sikuwa na uwezo wa kulipinga kwani ni suala lisiloweza kupata ushahidi kiurahisi.
Seems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?
Unajua hakuna watu wajinga kama watu tunaojiita wasome. Tukishapata diploma,BA/B Com au Ph D we think we know every thing.The truth is that we know very little.Ni kwamba hiki ulicho ambiwa kuhusu Aliens ni kweli and there is nothing knew about it.Kwa bahati mbaya wewe ni Tomaso.Ila nikukatie kidogo tu.Mikataba mingi inayohusu tekinolojia imesaniwa kati yao na Wamarekani na technologies nyingi tunazotumia ni as a result of collaborative work between them and the Americans.Kwa bahati mbaya ni kwamba mikataba híi ina masharti mengi mabaya ambaya yameshatuathiri sana and the worst is still to come. Unaweza kuamua kuamini au kutoamini,lakini huo ndio ukweli.
Kuna makala fulani nilibahatika kuipitia, wanasema hawa viumbe huwa wanakwenda mahala ambako kuna teknolojia ya kiwango cha juu sana, na si Marekani tu, hata Russia walionekana Uingereza na Japan sijaona sehemu zingine zaidi ya kutaja hizo nchi nilizotaja hapo juu, sasa kwa Russia kuna alien mmoja alikutwa kwenye msitu fulani huko Russia ambapo huyo mkaazi alimwona kiumbe cha ajabu kimelala chini kama vile amekufa na kweli alifariki yule alien na picha nilibahatika kuiona (ningeipata ningeupload hapa ila siikumbuki link), ndipo alitoa taarifa juu ya kiumbe alichokiona, na hiyo picha ya huyo alien aliyekufa hana tofauti na hizo picha za mtoa mada hapo juu!
Kwa sifa ni kwamba body structure zao ni tofauti na zetu sisi hasa kwenye mfumo wa mifuma na miundo wake yaani tofauti sana nao...ila bado kitendawili ni kwamba hawa viumbe wanatokea wapi????
samahani ndugu yangu mimi ni mbishi kweli kwanini iwekama hadithi za kusadikika kuwapo wahivi viumbe??!!kweli kunabaadhi mmetoa tathimini kitaalam kabisa lakini ziko ki imagination zaidi