Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Hii si jamii moja na Mwita Maranya?
hahahahahaha, sio ben saanane
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii si jamii moja na Mwita Maranya?
Duhh, Alien?? hata kama wanaume na wanawake wangeisha duniani.
mkuu historia ya uumbaji nk ni simulizi ambazo watu wa kale waliamua kuandika kwa namna ile ili kuweka kumbukumbu na mtiririko.but infact hakuna uhalisia wa kuwa Mwenyezi Mungu aliumba hiki siku ya kwanza na kile siku ya pili nk na siku ya saba akapumzika? hivi ulishawahi kujiuliza kama Mungu anachoka? kama ni kuchoka basi ilibidi achoke sasa kwa namna dunia ilivoharibika... pia je ulishawahi jiuliza nyoka baada ya kulaaniwa kuwa atatembelea tumbo,kabla ya hapo alikuwa anatembelea nini? mngongo? sijui...miguu? huyo sio nyoka ni mjusi nk....pia kuna historia mbili za uumbaji katika kitabu cha mwanzo....na tumfanye mtu kwa mfano wetu...mtu akawa.Pia alichukua udongo akaufinyanga na kupulizia pumzi ya uhai...so which will you take on? In fact ukidadisi sana mambo ya imani utakuwa kama kingunge...just believe what you believe.mi ni mkristo kuna fungu ambalo huwa nikilitafakari linanipa utata kwamba sisi wanadamu hatukuwa viumbe wa kwanza kuumbwa pale mwanzo adamu alipata watoto wawili wakiume kaini na mdogo wake kaini akamuua nduguye akakimbia kwao akaenda sehemu za mbali uko akapata mke akawa na kizazi sasa huyo mke alitoka wapi wakati kipindi hicho tunaweza kusema dunia ilikuwa na watu wanne tu sasa hao wengine je ni mwanzo 3 kwenye biblia.vilevile inawezekana hivi viumbe vikawa ni matokeo ya tafiti za wanadamu
kuna vitu tunapotoshwa na mungu aliliona wengi tutaangamia kwa kukosa maarifa huwa napenda kufatilia historia halisi za movie ninazozitazama ila huwa naishia kuumia sababu watu tunapotoshwa mfano kwa tuliobahatika kuiona TITANIC ni wangapi leo ukiwaambia titanic hakuna mwanaume aliyeokolewa ni wanawake na watoto hata chanzo cha ajali tukawekewa mapenzi yalimponza nahodha teknolojia ya gharama yeyote ile inatumiwa ili kuficha ukweli inaumiza tunadanganywa
Kumbe ndio maana kuna wanaosema Yesu ni Mungu, sasa nimeleewa maana hapo kwenye red ni lazima walikuwa ni wawili au zaidi ya mmoja.mkuu historia ya uumbaji nk ni simulizi ambazo watu wa kale waliamua kuandika kwa namna ile ili kuweka kumbukumbu na mtiririko.but infact hakuna uhalisia wa kuwa Mwenyezi Mungu aliumba hiki siku ya kwanza na kile siku ya pili nk na siku ya saba akapumzika? hivi ulishawahi kujiuliza kama Mungu anachoka? kama ni kuchoka basi ilibidi achoke sasa kwa namna dunia ilivoharibika... pia je ulishawahi jiuliza nyoka baada ya kulaaniwa kuwa atatembelea tumbo,kabla ya hapo alikuwa anatembelea nini? mngongo? sijui...miguu? huyo sio nyoka ni mjusi nk....pia kuna historia mbili za uumbaji katika kitabu cha mwanzo....na tumfanye mtu kwa mfano wetu...mtu akawa.Pia alichukua udongo akaufinyanga na kupulizia pumzi ya uhai...so which will you take on? In fact ukidadisi sana mambo ya imani utakuwa kama kingunge...just believe what you believe.
mina faidhina wabarakatuKumbe ndio maana kuna wanaosema Yesu ni Mungu, sasa nimeleewa maana hapo kwenye red ni lazima walikuwa ni wawili au zaidi ya mmoja.
I get the point now.
Hapa sasa umeniacha njia panda, mimi hii Lugha huwa naikariri siku za Mapilau ya Idd huku nikiwa na ndizi na pilipili kwenye koti langu.mina faidhina wabarakatu
mkuu sio kwamba hawapo ila taasisi zetu za elimu za juu ni viazi sana wenzetu wanatumia hizi taasisi kuuthibitisha ukweli au kutudanganya try to imagine watu wanaoweza kubadilisha gari ya mafuta iwe inatumia gesi wanatokea veta hakuna cha dit wala udsm ila wanashikilia mabango pale pana wasomi wamefanya nini cha kututhibitishia usomiSeems like Aliens are only interested with USA, maana always huko ndo wanakoonekana often "according to them". Why hawaj Bongo or Africa?
sio kweli hivo viumbe vipo hata nchi kama china australia malysia vimewahi kuonekana wenzetu hawakubali kubuluzwa na theories tha us wanafanya utafiti wao ila si waafrika tupo tena kama watanzania ndo kabisa hatupenda kuumiza vichwa vyetu kujibu maswali magumu afu na dini zimewakaa wasomi wetu balaa sipingi mungu ila zimewafanya watu wabwetekaGud argument!..hata me sijawahi kuskia habar za alliens place yoyote zaid ya USA!
Kweli kabisaanawawakilisha wapenzi wa BBA walioko TZ.
Sitashangaa siku akishinda akapokelewa na waziri
Duhh, Alien?? hata kama wanaume na wanawake wangeisha duniani.
wanazana ambayo leo ndo bango haki sawa kwa wote are men a free to do everything they want are people a are equal nani kakwambia mzee wa miaka 60 akawa sawa na kijana wa miaka 30 nani kakudanganya eti kila mtu akifanya atakalo tutakuwa salama hata mungu alisema walioukumiwa bila sheria watapotea bila sheria ni lazima kanuni taratibu na desturi za kutunza utu na hofu ya mungu ili tuwe salama aliyeiumba anasema pale wanaposema sasa ni amani kumbe ndipo chukizo la uharibifu litakuja let us be aware and care