Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,390
- 2,396
viumbe inawezekana japo sio asilimia zetu inasemekana hata kifo cha princess diana wa uingereza aliyefia paris ufaransa chanzo kilikuwa ni kutoa siri kubwa ya utawala wa kifalme kwamba ukoo ule sio watu wa kawaida na hii ni baada ya malkia mwenyewe kumuonyesha diana namna wanavyoweza kubadilika na kuwa reptile au reptiliani jambo hili aliambiwa akitoa siri atakufa na watakuwa wanamsikia kwa kila anachoongea na watu uzalendo ulimshinda akamdokeza rafiki yake na kesho yake akafa kwa ajali ya gari