Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?


Cc Pasco, Mzizi Mkavu, Sayed, Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
Viumbe visivyoonekana duniani vipo na dini zote wanakiri hivyo na ndio maana makanisani watu wanaombewa mapepo yatoke na yanatoka je ni nani aliewahi kuyaona mapepo hata kwa darubini?

Mkuu, hilo la kuwepo viumbe vinavyoonekana na visivyoonekana hapa duniani twakubaliana nalo na linafahamika. Swari ni je kuna possibility ya hizi sayari zingine nazo zikawa na viumbe?
Binaadamu ameweza kufika hadi mwenzini na mars lakini hakuna kiumbe kilichoonekana huko or any thing that can make a life existance kwa human being ndani ya hizo gigantic masses. Kama kuna viumbe visivyoonekana, je huoni kuwa kuna uwezekano wa hizo sayari zingine hivyo viumbe vikawepo huko kwa mifumo yao wenyewe ya kimaisha?
 
TRUTH
[h=3]Genesis 1:1-26[/h]King James Version (KJV)

1 In the beginning God created the heaven and the earth.
2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters.
3 And God said, Let there be light: and there was light.
4 And God saw the light, that it was good: and God divided the light from the darkness.
5 And God called the light Day, and the darkness he called Night. And the evening and the morning were the first day.
6 And God said, Let there be a firmament in the midst of the waters, and let it divide the waters from the waters.
7 And God made the firmament, and divided the waters which were under the firmament from the waters which were above the firmament: and it was so.
8 And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day.
9 And God said, Let the waters under the heaven be gathered together unto one place, and let the dry land appear: and it was so.
10 And God called the dry land Earth; and the gathering together of the waters called he Seas: and God saw that it was good.
11 And God said, Let the earth bring forth grass, the herb yielding seed, and the fruit tree yielding fruit after his kind, whose seed is in itself, upon the earth: and it was so.
12 And the earth brought forth grass, and herb yielding seed after his kind, and the tree yielding fruit, whose seed was in itself, after his kind: and God saw that it was good.
13 And the evening and the morning were the third day.
14 And God said, Let there be lights in the firmament of the heaven to divide the day from the night; and let them be for signs, and for seasons, and for days, and years:
15 And let them be for lights in the firmament of the heaven to give light upon the earth: and it was so.
16 And God made two great lights; the greater light to rule the day, and the lesser light to rule the night: he made the stars also.
17 And God set them in the firmament of the heaven to give light upon the earth,
18 And to rule over the day and over the night, and to divide the light from the darkness: and God saw that it was good.
19 And the evening and the morning were the fourth day.
20 And God said, Let the waters bring forth abundantly the moving creature that hath life, and fowl that may fly above the earth in the open firmament of heaven.
21 And God created great whales, and every living creature that moveth, which the waters brought forth abundantly, after their kind, and every winged fowl after his kind: and God saw that it was good.
22 And God blessed them, saying, Be fruitful, and multiply, and fill the waters in the seas, and let fowl multiply in the earth.
23 And the evening and the morning were the fifth day.
24 And God said, Let the earth bring forth the living creature after his kind, cattle, and creeping thing, and beast of the earth after his kind: and it was so.
25 And God made the beast of the earth after his kind, and cattle after their kind, and every thing that creepeth upon the earth after his kind: and God saw that it was good.
26 And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.

God created in that proper sequence
 
Sasa kama Mungu aliumba dunia vipi kuhusu mars,venus,pluto,mercury na sayari nyinginezo?
Je hizo nazo zina Mungu mwingine alieziumba?
 
Ninachokiamini ni kwamba viumbe visivyoonekana vipo hapahapa duniani na tunaishi navyo. Nahisi unahitaji kuwa kwenye ulimwengu wa roho kugundua hilo.
 
Sasa kama Mungu aliumba dunia vipi kuhusu mars,venus,pluto,mercury na sayari nyinginezo?
Je hizo nazo zina Mungu mwingine alieziumba?

Mungu ndiye aliyeumba zote hizo angalia anapoumba nyota, jua na mwezi....duniani pia ameumba viumbe (huwezi kuvitaja vyote kwa majina)
 
Mungu ndiye aliyeumba zote hizo angalia anapoumba nyota, jua na mwezi....duniani pia ameumba viumbe (huwezi kuvitaja vyote kwa majina)

Mkuu ngoja nikwambie kitu kimoja hapo. Jua ni moja[ The biggest star] na kila star inazungukwa na planets nyingi kuizunguka hiyo star [Solar system]. Milky way galaxy ya kwetu, jua ndio star yetu tunalizunguka. Kwahiyo hizo stars unazoziona zimezungukwa na bilions of planets. Sasa hizo planets zingine zina viumbe?
Mimi naamini Mungu aliumba dunia, jua na mwezi na vitu vyote vilivyomo as well as mbingu
 

Haya, Haji Salum, Basi changia wewe ambaye hukusoma shule za kata, Mbona unambwelambwela tu!
 
Last edited by a moderator:

Ili na wewe usiwe miongoni mwa hao, tupe maoni yako.

Nimesikia (hear say) familia za kifalme ni miongoni mwa viumbe hao ingawa tunawaona kama binadamu wenzetu, ndio maana wanaoana familia zao tu. Hata Dodo na Diana waliwa..... kwa sababu alikaribia kuchafua mlolongo huo.
 

Sure, we believe the same. Anything not mentioned during creation can not be big or that important. Ndiyo maana watu, wanyama, jua n.k vinatajwa. Other imaginary things may confuse our understanding. Ndiyo maana sasa watu wanaanza kuamin alien has taken Malaysian plane to another planet.
 

Badala ya kuchangia hoja wewe ndo kabisa unaonyesha UTUTUSA wako!
 
Unataka tujiulize 'swari' gani tena?

Wee plasmodiun au amoeba unamuona kwa macho uc.hi?
 
Kwani kuna mtu kabisha kuwa hakuna uwezekano wa kuwa na maisha sehemu nyingine katika universe?

 
Shetan alipotupw aliend kwnye mfumo wote wa galaxies kuenez chuk zake.mifumo yote walimkataa akafanikiw kwnye mfumo wetu
 


mkuu,kuhusu uwepo wa viumbe visivyoonekana hilo mimi ninauhakika sana maana limeelezwa sana kwenye vitabu vitakatifu na hata sayansi.swali gumu ni hilo la paragraph yako ya 1 juu ya viumbe ktk galax nyingine,hapo ndipo patamu mkuu.mimi naamini wapo viumbe tena probably wanaendana na wanadamu kwasababu lazima zipo sayari zenye distance from those suns equivalent to earth and thus life is supported.
 
Nimewahi kusikia waislamu wakizungumzia hili jambo Ila sikupay Antetion coz nilikua tyt... Ni kama katika vitabu vyao vitakatifu wanazungua hili jambo.... Kwa anayejua plz.... With reliable sources....

Hata ktk radio moja ya kisabato ilishawahi kuzungumzia uwepo wa viumbe wengine nje ya dunia kwa kunukuu biblia na tafiti za kisayansi
 
Inasemekana ktk imani yakikristo kuwa kuna malaika walitembea na wanawake wa duniani na kutoa watoto nusu binadamu nusu malaika walikuwa magiants ktk gharika la nuhu mungu aliangamiza kizazi hiki kwani hakukupa mpango wa mungu kilianza kuvuruga amani ya wanadamu walioishi nao wakati huo.lakini viumbe hawa(nephelim) ktk biblia wanaitwa wanefili hawakufa walikwenda kuishi sayari zingine .hivyo yawezekana ndio hao wanaosadikika kuwa aliens
 
Jambo ninalojiuliza ni je sayari ngapi wataalamu wetu kutoka duniani wamezifikia na kuzichunguza kwa kina na muda wa kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…