Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

UFO Nilishawahi kuiona mgololo iringa kwenye msitu wa mikusu.
Sema ndio hivo te skuwa na camera
Wii musugu nzao. Inafananaje kwa mfano? Haya mambo mengine huwa naona tunapigina saundi humu eti UFO .
 
Kwani kila siku lazima wawe NASA?
Nchi yenu haiwez kutoa taarifa?
ha ha.. mkuu panapowashwa ndipo panapokunwa!
NASA kwasababu wana uwezo mkubwa ktk shughuli za anga zaidi ya mataifa mengine ingawa hata mataifa mengine wamo lkn NASA ndio kinara wa mambo ya anga...

ndugu nchi yetu tuko nyuma juu ya haya mambo...haya mambo ni gharama,bora hiyo pesa kwanza isomeshe watu hapa hayo mengine baadae,mwaka 2022 kuna safari imeandaliwa ya kupeleka watu mars ningependelea walau kama taifa tupeleke hata mtu mmoja aje atushuhudie ya huko,hii inaweza amsha shauku ya kutaka kujua mengi kuhusu anga...
 
Braza hapo kwenye speed km 11 kwa sekunde.... hatujadanganyana kweeli..... mmmh. Na mtu yumo ndani...mmh... hapana braza nahitaji darasa zaiid...

Sina shule ila uweZo wangu wa kuchambua umefika kikomo...
Hio speed ni ya kawaida sana kwa space craft zinazoelekea anga za mbali , Umesoma physics mkuu? Ili tu chombo kiweze kuiacha gravity kinahitaji ku maintain speed ya 11 km per second Escape velocity ili kichomoke apa sasa imagine huko juu hamna atmosphere wala nini yani kama Vacum tu kwanini speed isizidi apo
 
Braza hapo kwenye speed km 11 kwa sekunde.... hatujadanganyana kweeli..... mmmh. Na mtu yumo ndani...mmh... hapana braza nahitaji darasa zaiid...

Sina shule ila uweZo wangu wa kuchambua umefika kikomo...
Unakumbukaga ule mziki wa kijana wa marekani chric
Don't judge me basi watu kama wale ndo wanaenda
 
Kuhusu ndege nadhani haiathiriwi na speed ya dunia kwa sababu hata inapokuwa imeruka, bado inakuwa ipo kwenye atmosphere ya dunia, hivyo itaendelea kucheza muziki wa dunia mpaka mwisho.
mziki wa dunia ndiyo nini?

Ukiruka angani maana yake uko juu ya dunia ebu tafakari, Kama dunia inakimbia km 30 kwa sekunde, ndege inakimbia km ngapi?
na hao waliogundua vyombo vinavyosafiri anga zajuu kabisa wangeshindwa kuunda chombo cha kuruka juu na kuganda kwa kuisubiri nchi inayohitajika ifike ndiyo kitue?
 
Wii musugu nzao. Inafananaje kwa mfano? Haya mambo mengine huwa naona tunapigina saundi humu eti UFO .
Aaah Hili tatizo letu mitanzania,sasa kwa cmnt yako hiyo hata nikikwambia kinafananaje huwezi kusadiki.
 
Sio lazima ushikiwe akili na NASA au mtu yeyote it doesn't make any sense that we are alone in this huuuge galaxy which is in the clusters of galaxies which are in vast amounts of clusters just make a single milky way WE ARE NOT ALONE GUYS.
 
Interesting, like miezi miwili iliyopita pia kwenye international space station ilionekana UFO karibu kabisa na station, na wakatuma kavideo kadogo ila hadi leo NASA hawakutoa maelezo tena... nazidi kufuatilia kuona kama watasema chochote.. Pia usiache kufuatilia safari ya New horizon kwenye Kuiper belt baada ya kumaliza kutuma data za Pluto..
 
Acha kua kudanganywa wewe, tafuta kwenye google "Area51" wewe unadanganywa tu, wa mrkni wanazuga watu tu, kikubwa ni Ni establishment ya N.w.O ndo inawapa hedeq ni namna vp wa apply we una haha na UFO, ivyo ni vitu vya kutengeneza na wakija kutangaza BebeCee wewe utaingia mkenge kasome tena
 
Ndio wanaficha kwani madhara ya kukubali uwepo Wa ufo .bila kujua chanzo chake halisi ni sawa na kubadilisha historia ya imani duniani dhidi ya mwanadamu .kinachofanyika sasa hivi ni uchunguzi na zaidi kutoka vyanzo katika biblia juu ya historia na michoro inayopatikana ndani ya biblia na vitabu na michoro viusianavyo. Na hii ni baada ya kugundulika historia na michoro inayo ashiria uwepo Wa UFO toka enzi ya adamu na ataa zaidi .kwa ajili hiyo itabakia kuwa UFO hakuna .mpaka itakapo julikana Kama Mungu aliliweka wazi na analielewa ni nini ,vinginevyo kutambua uwepo Wa UFO bila chanzo chake kuhusika na kujilikana na Mungu, haitakuwa ajabu binadamu kuanza kutengeneza chombo cha kwenda huko UFO zinakotoka,na wakaachana kabisa na habari ya makanisa na miskiti kuabudu .maana madereva Wa UFO kwa Maelezo yao kufa mwili hawajali ni swala la kuhamia mwili mwingine.ni sawa na sisi binadamu tunavyo amini roho kwenda peponi lakini ikiwa ni siri tusio ijua. tofauti yao viumbe hao madereva Wa UFO sio siri kwao wanajua wazi mwili ukifa wanahamia mwili mwingine ,habari zaidi Google: UFO documentaries
 
Wazungu kitambo sana wanayatafuta makazi ya M/Mungu, soma vitabu vya dini utanielewa tu, Area 51 ipo na kazi yao kitanbo ndo hiyo kuzuga wale wote wasiyo na imani, shetani ananguvu nyie watu, nawashangaa sana mnavyokurupuka nakua fwatilia hawa wazungu, Nasa ni illuminati we unafkiri unadanganywa vp wewe, soma sana, kuna jamaa alienda mwizini na alivyorudi nasa walimficha mpaka mauti yalipomfika akiwa na 67yrs unajua ni kwanini? Kasome wacha kua mtumwa
 
kama ni utumwa basi wewe umejifunga nira ya kwanza kabisa maana yaonyesha unaamini zile riwaya zao ambazo chimbuko ni haohao!
 
kama ni utumwa basi wewe umejifunga nira ya kwanza kabisa maana yaonyesha unaamini zile riwaya zao ambazo chimbuko ni haohao!
Heheheheheheh!!! Riwaya kama wasingekua wanawaficha watu ili wasiseme ukweli, kila unachokiona ni illusion, Mungu wa kweli ananguvu sana na ndo maaana anatuonyesha kila utundu wa shetani kila siku anapojaribu kutuvua imani,, urongo wa hawa jamaa, wewe umeshikwa! Amka bado shimo ulilomo wanakula panya wabichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…