Mkuu mbona inasemekana Diana aliuwawa kwa sababu alibeba mimba ya yule Dodi ambaye siyo mzungu na ikaonekana ni kashfa kwa Royal Family kuzaliwa Muhindi?viumbe inawezekana japo sio asilimia zetu inasemekana hata kifo cha princess diana wa uingereza aliyefia paris ufaransa chanzo kilikuwa ni kutoa siri kubwa ya utawala wa kifalme kwamba ukoo ule sio watu wa kawaida na hii ni baada ya malkia mwenyewe kumuonyesha diana namna wanavyoweza kubadilika na kuwa reptile au reptiliani jambo hili aliambiwa akitoa siri atakufa na watakuwa wanamsikia kwa kila anachoongea na watu uzalendo ulimshinda akamdokeza rafiki yake na kesho yake akafa kwa ajali ya gari
Mkuu mbona inasemekana Diana aliuwawa kwa sababu alibeba mimba ya yule Dodi ambaye siyo mzungu na ikaonekana ni kashfa kwa Royal Family kuzaliwa Muhindi?
Nakubaliana na wewe kwa 100% kuna uchafu mwingine unaitwa BBA eti mtoto wa Kitanzania naye anakubali kwenda kupigwa akuku danger huku camera zinammulika na wazazi wake wanaona pamoja na Family Member, i see nashindwa kuamini maana mimi hiyo BBA huwa naskip siangalii hata kwa bahati mbaya.movies ni janga hizo vampire tunazoziona naapa mbele za mungu itafikia tu stage binadamu anamuuma mwenzie na hatushangai sababu mindset zetu zilishakiona hicho kitu common kumbuka ubongo unavyoweza kutunza vitu kwanza ulipoona movie ya kwanza ulitetemeka hata kulala hamna ila ulivoona ya pili ya tatu nakuendelea unaona kawaida sana simple logic mbwa mwenye kichaa akiuma wenzie au binadamu na we unaanza kuuma
saiv vitabu ni vingi mitandao ipo tafuta kwenye mitandao kuhusiana royal family kuwa reptilian lakini ni vema kitabu nitakutafutia link mkuu usihofu dunia ina mengi tusiyoyajua ila ukichunguza taarifa nyingi zinazotolewa na watawala juu ya kashfa zao ni uongo
| Notable Reptilians: George Bush Sr., George Bush Jr., Richard Cheney, Al Gore, Colin Powell, Queen Elizabeth and all 4 sons including Prince Charles and Prince Andrew |
Leo nimetumiwa makala narafiki yangu ikiwa imechapishwa katika mtandao mmoja wa kijamii hapa tanzania,ukielezea kuwapo kwa viumbe hawa waliopewa jina la Aliens.
Stori kama hii ya kuwepo viumbe kama hawa nilisha wahi kudokezewa kwa kuwa mimi huwa mgumu wa kukubali mpaka uthibisho nipatiwe ndio itakuwa rahisi kunibadili mawazo kwajambo au mada utayoleta,kiujumla sikubaliani kuwepo na viumbe kama hawa walio umbwa na Mungu na kuishi katika sayari tofauti na hii,mimi na choamini nikuwa eneo salama kwa viumbe hai ni duniani pekee,baadhi ya taarifa nilizowahi kupewa nikuwa hawaviumbe ni hodari kitechnologia kuliko sisi,pia eti wanaakili kutushinda nawao hutushangaa kama baadhi yetu waliowahi kuwaona nakuwashangaa..Sasa basi ningependa tujuzane ukweli wa hivi viumbe kama kweli vipo au niuzushi wabaadhi ya watu kujitengenezea pesa,kwamfano kuna film ilitoka miaka ya 90 au 2000 hivi ilikuwa inawahusisha viumbe kama hawa...
View attachment 104680View attachment 104681View attachment 104682View attachment 104683
SHUKRANI
viumbe inawezekana japo sio asilimia zetu inasemekana hata kifo cha princess diana wa uingereza aliyefia paris ufaransa chanzo kilikuwa ni kutoa siri kubwa ya utawala wa kifalme kwamba ukoo ule sio watu wa kawaida na hii ni baada ya malkia mwenyewe kumuonyesha diana namna wanavyoweza kubadilika na kuwa reptile au reptiliani jambo hili aliambiwa akitoa siri atakufa na watakuwa wanamsikia kwa kila anachoongea na watu uzalendo ulimshinda akamdokeza rafiki yake na kesho yake akafa kwa ajali ya gar/Malkia wa uingereza ni freemason ktk degree ya 33 ambayo humuwezesha kujibadili ktk umbo lolote atakalo pia ni matron wa lodges #s zote duniani