Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuna mambo yanayofanyika ni kama yanakinzana, kuna decisions ukiziona au kauli ukizisikia unaweza kudhani labda mtu huyu anataka achukiwe au anashauriwa vibaya (anatengeza image mbovu kwa wapiga kura / wananchi).... Sidhani kama analiweza game la Propaganda.
Ila kuna move nyingine ukiziona ni kama vile unaangalia Movie ya The Godfather ile take over ya The Five Families ya Michael Corleone, yaani the thinking beyond the thinking ni long term (playing the long game)
Mfano yaliyotokea leo kama kweli waliovutwa Ikulu walikuwa maadui au wana agenda zao ni kuwakata mabawa (even just for now) na kuweka ile plausible deniability kwamba mimi sio mbaya na tupo pamoja.
Kwahio kwa ufupi huenda aliyepo kwenye hii team he/she knows politics inside out; huenda asifanye mtu apendwe ila agenda zake zikapita no matter ni agenda gani hizo..., In short there might be a Political Maestro who is the Master of the Game.
Just an opinion from an Outside Observer....