Are we witnessing a political maestro?

Are we witnessing a political maestro?

My Friend....usicheze na dola,chezea ndevu tu.
Hao wamekuwa screened in and out na hakuna lolote baya wanaweza lifanza huko Ikulu...my friend Ikulu kitu ingine bwanaaaa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama ingekuwa kama unavyofikiria, JPM asingekutwa na yaliyomkuta kwa namna ile...

Hiyo unayofikilia ilikuwa ni miaka ile enzi za mwalimu.

Hawa wa leo wavaa suti....
 
Master of the game ni Mama mwenyewe, kafanya pre emptive strike ya pili within a week. Mama anaupiga mwingi anaweza akabadirisha formation katikati ya mchezo,kutegemea na hali harisi ya wakati huo.Anachojali ni matokeo tu.

Kubadilisha badilisha maamuzi in a short span of time is indicative that she does not analyze issues deeply before making decisions. Ndio maana leo anasema Hivi halafu kesho anarudi anasema vitu vingine kuhusu jambo lile lile. Anawapa nafasi watu kutafsiri kuwa hayo maamuzi hafanyi yeye bali hufanyiwa!!
 
Sidhani kama hizi Move ni Brain Child ya Mama..., (Kutokana na kwamba kuna mambo yanafanyika ni kama Gwiji wa kucheza mchezo wa Siasa na mengine yanafanyika unaona ni tofauti) kwahio huenda zile move kali za Kisiasa (hata kama hazina mashiko long term) nahisi ni za mtu anayejua Siasa na yupo kwenye Team ya Mama...
Hilo halina shaka , lakini mtu huyo anaungwa mkono na akina nani ?
 
Haitakaa itokeee Mbowe afungwe Mama siyo mjinga saivi anabuy time wa hili Vuguvugu lao lipite lile la katiba mpya kuna kete anataka kuicheza tusubili tuone.Toka naanza kujitambua akili yangu inaniambia Mbowe ni kitengo cjui kwann !!
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna mambo yanayofanyika ni kama yanakinzana, kuna decisions ukiziona au kauli ukizisikia unaweza kudhani labda mtu huyu anataka achukiwe au anashauriwa vibaya (anatengeza image mbovu kwa wapiga kura / wananchi).... Sidhani kama analiweza game la Propaganda.

Ila kuna move nyingine ukiziona ni kama vile unaangalia Movie ya The Godfather ile take over ya The Five Families ya Michael Corleone, yaani the thinking beyond the thinking ni long term (playing the long game)

Mfano yaliyotokea leo kama kweli waliovutwa Ikulu walikuwa maadui au wana agenda zao ni kuwakata mabawa (even just for now) na kuweka ile plausible deniability kwamba mimi sio mbaya na tupo pamoja.

Kwahio kwa ufupi huenda aliyepo kwenye hii team he/she knows politics inside out; huenda asifanye mtu apendwe ila agenda zake zikapita no matter ni agenda gani hizo..., In short there might be a Political Maestro who is the Master of the Game.

Just an opinion from an Outside Observer....
Duh! Nachukia mtu anayeandika kwa mafumbo. Wengi si werevu wa kutambua mafumbo na mazindiko. Nadhani ukija hapa wee tapika tu!
 
Kwann adili na wafuasi wa Magu ? Kwan kapindua nchi ? Hizi kauli zitakuja kufuchua siri tu baadae
Hakuna siri yeyote, zaidi ni kuwa Marehemu ndiye kafichiwa siri, alikufa na Corona, wao wanaleta blah blah, mara moyo na mambo mengine
 
Kama Lukuvi ananisikia mwambieni atangaze nia ya kugombea uraisi 2025 mapema kabisa kama Mama alivofanya!!!!atapata uungwaji mkono mapema Sana !!tena aseme wazi Kama CCM haitompa fomu ataipata kwa chama kingine cha siasa!!!Uamuzi huo utaisaidia the state kumuweka mtu wao kwenye madaraka wanaemtaka!!najua mama sio chaguo lao bali ni la msoga!!Mwambieni Lukuvi Atangaze nia sasa hivi na Atangaze Sera zake wazi wazi watanzania wajue ataifanyia nini watz!!ili apambane na Mama mapema kabisa na watz wamuunge mkono mkono najua Lukuvi anasifa zote za uchapakazi na anatoka Dini kubwa tena ya warumi!!Mwambieni Atangaze nia na sera zake mapema ili KU pre empty matarajio ya team Mama!!!na the state wamlinde Lukuvi dhidi ya wahuni kama kete muhimu ya kusaidia kuingiza wanaemtaka ikulu ambae sio Mama!!!!Lukuvi nisikie ujue huna cha kupoteza!mama asikutumie kama dekio tu hapo ikulu we tangaza nia kabisa sasa!!!
 
Kiukweli nimemvulia kofia Mama Samia tangu interview yake na Kikeke.

She is smart, very smart and she knows when to switch and when to stick. She is a political Maestro.

Viva Mama Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama ya Tanzania na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
unajua kujikomba!
hongera
 
Back
Top Bottom