Are we witnessing a political maestro?

Actions Speaks Louder than Words in the beginning maybe..., but as things go now she is turning into a politician (Politics changes people)...

Even Hitler may have started not to be as Hitler, (he had his Manifesto which in his own eyes was meant to do good)..., Whichever the leaders do they always console themselves that its for the bigger goal (the end justifies the means) and if you are surrounded with Yes people you will reach a journey to a different You sooner than you think

Current Politics is politics of now in which people don't plan long term (politics of survival and politics of attack) its hard to do the things you personally believe in a democratic world (especially in 10 years term) that's why when most recognize that they change their means which are justified by the end....

Anyway that's why I personally believe Democracy as we know it today in the whole world needs changing, unless otherwise nothing will ever be done and most time will be spent on campaigns, attacks and defense between polarized society

Reactions: Ame
Mkuu kipindi hiki tuleteeni mtu imara hawa watu watiwe adabu, yaani hata Ile wakiweka ule wizi, Kura zao wakute zinapelea Tu!
 
Zinaplaniwa kwingine, mama yeye anakuja Tu kuzi paste! Wanao cheza huu mchezo wapo
 
Master of the game ni Mama mwenyewe, kafanya pre emptive strike ya pili within a week. Mama anaupiga mwingi anaweza akabadirisha formation katikati ya mchezo,kutegemea na hali harisi ya wakati huo.Anachojali ni matokeo tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwann adili na wafuasi wa Magu ? Kwan kapindua nchi ? Hizi kauli zitakuja kufuchua siri tu baadae
 
Kujisafisha tu
 
Mama anajua siasa kuliko tuvyotarajia
 
Mbowe na system ni waaarabu wapemba wanajuana kwa vilemba vyao, basi tu jiwe aliamuaga kumtesa kwa kutokujua, mbowe ataachiwa free na atabadeal gear angani kywazuga mashabiki wake
Umetumia akili au mkono kuandika huo utumb ? [emoji3][emoji3]
 
Mama anajua siasa kuliko tuvyotarajia
Ni yeye ? Binafsi nadhani naturally kwa haiba yake Mama sio Mwanasiasa ila mazingira yanambadilisha (Baptism of Fire) ila nyuma yake au kwenye washauri wake kuna watu wanaoijua siasa fika....
 
Ni yeye ? Binafsi nadhani naturally kwa haiba yake Mama sio Mwanasiasa ila mazingira yanambadilisha (Baptism of Fire) ila nyuma yake au kwenye washauri wake kuna watu wanaoijua siasa fika....
Tangu huu uzi umeanza mkuu naona umeshkilia sio yeye sio yeye. Hivi mkuu unajua mama yupo kwenye game kitambo???

Mkuu unajua figisu za haroun Ali Suleiman na wahindi wenzie kule Makunduchi ni hatari na bado mama alitoboa??
 
Ukongwe wa kabudi ndani ya siasa ni upi???

Rizimoko mkongwe kuliko kabudi
Mkuu leo umevuta cha Arusha?. Kabudi kazaliwa 1956-57 Ridhiwani kazaliwa 1979.

Kabudi ni mwalimu wa sheria chuo kikuu aliyechukuliwa na hayati JPM afanye kazi serikalini wakati huo Ridhiwani akipigapiga meza bungeni.
 
Mkuu kipindi hiki tuleteeni mtu imara hawa watu watiwe adabu, yaani hata Ile wakiweka ule wizi, Kura zao wakute zinapelea Tu!
Atatoka wapi? Mpaka sasa walio imara wapo tu wale walioandaliwa na baba wa Taifa...Sijaona mwingine, kila anayejaribu anaharibu kuliko wa kwanza
 
Atatoka wapi? Mpaka sasa walio imara wapo tu wale walioandaliwa na baba wa Taifa...Sijaona mwingine, kila anayejaribu anaharibu kuliko wa kwanza
Duh! Hpo ndo tuna kazi sasa
 
Wanawake hawajawahi kupendana. Kuhusu kuwawini wananchi haijawahi kutokea tanzania sanduku likatoa matokeo. Kwa hiyo mama akishinda huko anakopambana atatoboa tu.ndipo mpambano halisi ulipo. Ccm kwa Ccm ndio uhasimu halisi ini KUSADIKIKA.
 
Master of the game ni Mama mwenyewe, kafanya pre emptive strike ya pili within a week. Mama anaupiga mwingi anaweza akabadirisha formation katikati ya mchezo,kutegemea na hali harisi ya wakati huo.Anachojali ni matokeo tu.
Unaamini yule mkurya snitch alikua na madhara kwa bi mdashi?

Inshort gari tulilopanda ni bovu, either tutalala porini/tutachelewa kufika au safari imeishia hapo.
 
Tangu huu uzi umeanza mkuu naona umeshkilia sio yeye sio yeye. Hivi mkuu unajua mama yupo kwenye game kitambo???

Mkuu unajua figisu za haroun Ali Suleiman na wahindi wenzie kule Makunduchi ni hatari na bado mama alitoboa??

Unavyosema ni yeye una maanisha anavyofanya ni sawa ama si sawa
 
Anavyofanya vipi??

Mama anafanya mengi tu, hebu dadavua aiseee.

Wewe ndio useme..

Unaambiwa sio yeye kuna mtu anampa maelekezo wewe unasema ni yeye…

Inamaanisha hicho anachokifanya kwako wewe ni sawa ama si sawa
 
Wewe ndio useme..

Unaambiwa sio yeye kuna mtu anampa maelekezo wewe unasema ni yeye…

Inamaanisha hicho anachokifanya kwako wewe ni sawa ama si sawa
Huwezi kujibu swali langu basi kaa pembeni usinipotezee muda na maswali yako ya kiufipa ufipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…