Kama ingekuwa kama unavyofikiria, JPM asingekutwa na yaliyomkuta kwa namna ile...My Friend....usicheze na dola,chezea ndevu tu.
Hao wamekuwa screened in and out na hakuna lolote baya wanaweza lifanza huko Ikulu...my friend Ikulu kitu ingine bwanaaaa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Master of the game ni Mama mwenyewe, kafanya pre emptive strike ya pili within a week. Mama anaupiga mwingi anaweza akabadirisha formation katikati ya mchezo,kutegemea na hali harisi ya wakati huo.Anachojali ni matokeo tu.
Hilo halina shaka , lakini mtu huyo anaungwa mkono na akina nani ?Sidhani kama hizi Move ni Brain Child ya Mama..., (Kutokana na kwamba kuna mambo yanafanyika ni kama Gwiji wa kucheza mchezo wa Siasa na mengine yanafanyika unaona ni tofauti) kwahio huenda zile move kali za Kisiasa (hata kama hazina mashiko long term) nahisi ni za mtu anayejua Siasa na yupo kwenye Team ya Mama...
[emoji38][emoji38][emoji38]Haitakaa itokeee Mbowe afungwe Mama siyo mjinga saivi anabuy time wa hili Vuguvugu lao lipite lile la katiba mpya kuna kete anataka kuicheza tusubili tuone.Toka naanza kujitambua akili yangu inaniambia Mbowe ni kitengo cjui kwann !!
Duh! Nachukia mtu anayeandika kwa mafumbo. Wengi si werevu wa kutambua mafumbo na mazindiko. Nadhani ukija hapa wee tapika tu!Kuna mambo yanayofanyika ni kama yanakinzana, kuna decisions ukiziona au kauli ukizisikia unaweza kudhani labda mtu huyu anataka achukiwe au anashauriwa vibaya (anatengeza image mbovu kwa wapiga kura / wananchi).... Sidhani kama analiweza game la Propaganda.
Ila kuna move nyingine ukiziona ni kama vile unaangalia Movie ya The Godfather ile take over ya The Five Families ya Michael Corleone, yaani the thinking beyond the thinking ni long term (playing the long game)
Mfano yaliyotokea leo kama kweli waliovutwa Ikulu walikuwa maadui au wana agenda zao ni kuwakata mabawa (even just for now) na kuweka ile plausible deniability kwamba mimi sio mbaya na tupo pamoja.
Kwahio kwa ufupi huenda aliyepo kwenye hii team he/she knows politics inside out; huenda asifanye mtu apendwe ila agenda zake zikapita no matter ni agenda gani hizo..., In short there might be a Political Maestro who is the Master of the Game.
Just an opinion from an Outside Observer....
Hana ukongwe wowoteUkongwe wa kabudi ndani ya siasa ni upi???
Rizimoko mkongwe kuliko kabudi
Hakuna siri yeyote, zaidi ni kuwa Marehemu ndiye kafichiwa siri, alikufa na Corona, wao wanaleta blah blah, mara moyo na mambo mengineKwann adili na wafuasi wa Magu ? Kwan kapindua nchi ? Hizi kauli zitakuja kufuchua siri tu baadae
unajua kujikomba!Kiukweli nimemvulia kofia Mama Samia tangu interview yake na Kikeke.
She is smart, very smart and she knows when to switch and when to stick. She is a political Maestro.
Viva Mama Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Amir jeshi mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama ya Tanzania na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi
Huwezi kujibu swali langu basi kaa pembeni usinipotezee muda na maswali yako ya kiufipa ufipa
Ahsante mkuu.unajua kujikomba!
hongera