Arena maana yake nini?

Arena maana yake nini?

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,081
Reaction score
2,325
Wasafi Radio wana Sports Arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena?

Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo isiyotumia uwanja mkubwa. Hapa Tz tuna uwanja wa ndani wa uwanja wa taifa. Arena sio stadium. Vipi sisi kipindi cha michezo au jogging tuite arena?
 
S
Wasafi radio wana sports arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena?
Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo isiyotumia uwanja mkubwa. Hapa tz tuna uwanja wa ndani wa uwanja wa taifa. Arena sio stadium. Vipi sisi kipindi cha michezo au jogging tuite arena?
Allianz Arena
 
Arena haina maana moja tu mkuu, inaweza kumaanisha eneo ambalo watu wanakaa kwa ajili ya kubadilishana mawazo, kupiga story au shughuli yoyote. Kwa hiyo hao wanaosema sports arena wapo sawa kabisa.
 
Arena ni eneo kubwa kama ukumbi kwa ajili ya shows za wasanii na matukio mengine.. ni eneo kubwa kama uwanja wa mpira vile
 
Wasafi Radio wana Sports Arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena?

Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo isiyotumia uwanja mkubwa. Hapa Tz tuna uwanja wa ndani wa uwanja wa taifa. Arena sio stadium. Vipi sisi kipindi cha michezo au jogging tuite arena?
HEBU SOMA HIYOOO>
Arena -a level area surrounded by seating, in which sports, entertainments, and other public events are held
- a place or scene of activity, debate, or conflict.
 
Back
Top Bottom