Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,081
- 2,325
Wasafi Radio wana Sports Arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena?
Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo isiyotumia uwanja mkubwa. Hapa Tz tuna uwanja wa ndani wa uwanja wa taifa. Arena sio stadium. Vipi sisi kipindi cha michezo au jogging tuite arena?