Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

Again… you sound desperate and hating

Hapa bongo mashoga wengi wako dini fulani, na watu wa ukanda fulani ulioharibiwa na culture ya watu fulani
 
Vip na yule mwl wa madrasa kule indonesia umeipata? Yeye kawapiga 30.
 

Acha tuteseke ulimwengu ututese watu watusimange watunenee mabaya kamwe hatutouacha ujasili wetu tutaendelea kumfuata yesu. Huujui ukristu wala huyajui mafunzo ya ukatoliki na Biblia takatifu,

wewe ni Muslim baki na uislamu wako haya ya ukatoli tuachie sisi acha kujipa majukumu yasiyo yako we ukiona ukatoliki sio njia sahihi basi baki na imani yako unayoiamini .......
 
Habari kama hii ya dini isiyi yako huwa unaifurahia sana .
Ikiletwa habari ya ostazi kalawiti watoto madrasani huko huwa unapita kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari hatuifuraii ndio maana inatangazwa Kimataifa.

Watu waelewe uchafu uliopo makanisani, ukipeleka mwanao huko uelewe ni nini kinaendelea.
 
Ukionaga habari za kiroma na mafather wao zile mbovu mbuvu unatutumka kweli!!!?
 
Naskia uarabuni ndio mchezo wao full time
Lakuambiwa chaganya na lako.

Habari za hapa si za kuambiwa, ni habari nzito iliyopo mahakamani Argentina na kwengine kwingi duniani ni haya haya ya kanisa kuharibu watoto tu.

Kama ni mfuasi wa kanisa anza kujifikiria wewe.
 
Habari ni mkuu wa kanisa na ushoga wake na kuharibu watoto.

Upo hapo ulipo? Au na wewe ni walewale?
Inasikitisha sana hii issue ya viongozi wa dini kubaka na kulawiti

Bahati mbaya Iko dini zote tu
 
Mimi ni mkristo ila siamini kabisa Imani ya kiroma yaani ni full ushetani sijui kuwazuia wanaume na wanawake wanaowaita watawa wasioe au kuolewa wametoa kwenye andiko gani


Kwa mujibu wa Biblia Yesu hakuoa na ndio maana hao Mapadri na Maaskofu wanamfuata Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…