Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

Tatizo la kanisa ni dunia nzima mpaka Umoja wa Mataifa imepiga kelele.

Mpaka Rais wa Ufilipino ikabidi afunguke alivyofanyiwa utotoni shule ya kanisa, ikamfaya alichukie kanisa.

Kama hiyo haitoshi, kuna mtu Tanzania katoa siri ya Fathee Kit Cunningham na wenzake wamewalawiti/lawitiwa na wanafunzi wote wa shulle St Francis.

Unayajuwa hayo, au unataka ushahidi?
Hebu leta ushahidi hapa bibi, lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mama Faiza shikamoo, kitambo kweli kweli natamani japo kusikia maoni yako juu ya Rais wetu mwanamke mwenzio katika mwenendo wa uongozi wake generally
Akati ndo yeye mwenyewe chief hanganya, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hebu leta ushahidi hapa bibi, lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Naanza na hii ya Rais wa Ufilipino...

Rodrigo Duterte, rais wa Ufilipino, anasema msukumo wa kuzuiliwa kwake kikatili na dawa za kulevya unatokana na kunyanyaswa kingono na kasisi wa Kikatoliki alipokuwa mtoto.

Mzee huyo mwenye umri wa miaka 71 amevutia hisia kwa msako mkali dhidi ya biashara ya dawa za kulevya nchini Ufilipino ambao umeshuhudia takriban watu 4,000 wakiuawa na polisi na magenge ya watu waliokuwa makini tangu aingie madarakani tarehe 30 Juni.

Chanzo: Philippines president reveals he was abused by priest as a child
 
Hatareeeeh mno.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Elimu inahitajikà zaidi kwa viongozi wetu hawa wa kiroho, ifike mahali kanisa lione umuhimu wa kuwaruhusu kuoa Ili kupunguza hizi kashfa, nao ni binadam waliokamilika
Elimu gani inayohitajika, walio oa wenyewe wanaacha wake zao na kuzaa na wake wawenzao, viongozi hao wanaingia kwenye maisha hayo wakiwa watu wazima hivyo wanajitambua sema ibilisi yupo kazini kama kina Baba wanavyo baka watoto wao wakuwazaa
 
Wanapewaga mimba wale.
Lakini wale wanamikataba mitatu 1 ukifikisha miaka kadhaa kama sikosei 5yrs unatudi tena kuweka nadhiri baada ya hapo , wa tatu ndiyo utaamua kama kuacha au daima, usione katoka ukajua katundikwa mimba.
 
Lakini wale wanamikataba mitatu 1 ukifikisha miaka kadhaa kama sikosei 5yrs unatudi tena kuweka nadhiri baada ya hapo tatu ndiyo utaamua kama kuacha au daima, usione katoka ukajua katundikwa mimba.
Kumbe!I didn't know that....Kama Ni hivyo Basi sawa
 
Roman toka zamani mi nawaonaga ka wapiga hela tuu ..
Hakuna cha maadili wala nn maana hiz kesi hazijaanza juz wala jana ..
Kweli dini ni kwaajili ya wajinga
Hilo kanisa ni lapopote hivyo linakusanya kila aina ya watu na tabia zao na makuzi tofauti, hivyo hivyo vitu kuisha kabisa ni ngumu sana, Wewe kanisa lipo dunia nzima, ni sawa na kuchukua mtoto aliyekulia MASAKI, ILALA ,MANZESE BUGURUNI, BUZA, KWAMTOGOLE SINZA, AU MBEZI BEACH, USEME TABIA ZAO ZITAKUWA SAWA, UTAWAFUNDISHA SAWA LAKINI ZILE ASILI ZITABAKIA DAMUNI
 
Back
Top Bottom