Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

You sound desperate

Forget about arabuni

Hata hapa bongo tu mashoga mengi yana majina ya mlengo mmoja

Anyways…. Have a good day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Elimu inahitajikà zaidi kwa viongozi wetu hawa wa kiroho, ifike mahali kanisa lione umuhimu wa kuwaruhusu kuoa Ili kupunguza hizi kashfa, nao ni binadam waliokamilika
Waruhusiwe tu kuoa itasaidia kupunguza tatizo
 
Sijaona sehemu hata moja uliyozungumzia kujibu hoja zaidi ya mioasho kwa mtoa mada.

Yeye ameleta habari kama ilivyo sasa ni wajibu wako kumjibu kwa hoja sio mashambulizi.
 
Nimesoma mafundisho ya dini zote

Sometimes it’s better to shut your wide behind
Eti mesoma "mafundisho ya dini zote" ! Mwenye kusoma anajisifu, kwa hilo tu ushajulikana ni poyoyo, kawadanganye mapoyoyo wenzako.
 
Waalimu wa madrasa wanapowafi..ra watoto huwa uko kimya hukemei...kemea maovu yote kuanzia kwako bibi
 
Waalimu wa madrasa wanapowafi..ra watoto huwa uko kimya hukemei...kemea maovu yote kuanzia kwako bibi
Hapo inaonesha umekasirika. Inauma lakini ipokee tu, tartiiiibu. tayazoea tu. Au ndio wale wale?
 
Hapo inaonesha umekasirika. Inauma lakini ipokee tu, tartiiiibu. tayazoea tu. Au ndio wale wale?
Kwanza mimi sio mkatoliki.
Lakini nafuatlia sana tabia yako ya kuegemea upande wako...huwezi kuwa mtu wa haki.

Mimi kawaida yangu hata baba yangu akikosea huwa namkosoa.

Tunazipenda dini lakini hatuishi kwa kuzifuata.
Wewe mwenyewe ni muislamu jina tu au nikuite mpambe tu.
 
Eti mesoma "mafundisho ya dini zote" ! Mwenye kusoma anajisifu, kwa hilo tu ushajulikana ni poyoyo, kawadanganye mapoyoyo wenzako.
Funga your wide behind scrape

It’s over now

Past your prime
 
Sasa wewe jiulize, dini ya mwenzako wewe inakuuma nini? Au hujapenda walioandika kuwa bishop amelawiti/lawitiwa na watoto?

Au hilo nalo kivyako ni dini?
 
Hatari sana
 
Hatari sana...hata hawa watu wa madrassa wanawaingilia sana watoto
 
Hatari sana...hata hawa watu wa madrassa wanawaingilia sana watoto
Tatizo la kanisa ni dunia nzima mpaka Umoja wa Mataifa imepiga kelele.

Mpaka Rais wa Ufilipino ikabidi afunguke alivyofanyiwa utotoni shule ya kanisa, ikamfaya alichukie kanisa.

Kama hiyo haitoshi, kuna mtu Tanzania katoa siri ya Fathee Kit Cunningham na wenzake wamewalawiti/lawitiwa na wanafunzi wote wa shulle St Francis.

Unayajuwa hayo, au unataka ushahidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…