Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume

Mama Faiza shikamoo, kitambo kweli kweli natamani japo kusikia maoni yako juu ya Rais wetu mwanamke mwenzio katika mwenendo wa uongozi wake generally
 
Kinachofanya hizi habari zienee sana elewa Kanisa Catholic ni taasisi pana inayohusu mataifa yote tofauti na uislam au madhehebu mengine (na ni vizuri zienee ili watu waovu wazidi kujulikana),mara ngapi tunasikia watoto kulawitiwa madrassa!unataka uthibitisho?

Ni vile watu hawajali humu kungejaa mada hizo kama unavyojisikia wewe kupandisha jukwaani habari za upande fulani wa kwako unauacha kwa umri wako ilibidi ukemee kote maana akinajisiwa mtoto wa kiislam ni tendo baya pia kwa jamii yoyote iliyostaarabika.
 
Mama Faiza shikamoo, kitambo kweli kweli natamani japo kusikia maoni yako juu ya Rais wetu mwanamke mwenzio katika mwenendo wa uongozi wake generally
Huyo angekuwa Mkristo angekuwa na mengi sana ya kumuelezea lakini muislam mwenzake atakwambia subiri muda wake uishe ndo umuulize hilo swali huku kichwani anajua kabisa wakati huo hutataka jibu la hili utakuwa na mengine zaidi ya hili.
 
Huna jipya wewe, udini tu unakusumbuwa.
 
Vyovyote upendavyo, kumbuka tu, uozo huo ni makanisa makubwa yote sio la kikatoliki tu.

Ulishawahi kuisoma hii ya Tanzania: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
 
Huna jipya wewe, udini tu unakusumbuwa.
Mwenye udini mimi au wewe?

Wapo watoto wananyanyasika vibaya huko madrassa hapo Zanzibar mwaka jana mwishoni ustaadh kaharibu mtaa mzima ila hiyo hukuona umuhimu wa kuipandisha hapa leo unakuja mbio kwa sababu siyo upande wako!

Haya em jibu swali uliloulizwa hapo juu japo utajibu tofauti na ungejibu kabla hujaiona post yangu.
 
Vyovyote upendavyo, kumbuka tu, uozo huo ni makanisa makubwa yote sio la kikatoliki tu.

Ulishawahi kuisoma hii ya Tanzania: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Siyo makanisa tu hata kusikokuwa na makanisa huu ujinga upo unajitia upofu kubishana hapa na Kanisa lipo wazi haliwalindi watenda maovu yumkini uislam duniani kote ungekuwa unatoa arifa kwa wakati kama hivi ungechutama kwa aibu usingekuwa hapa unakaza shingo muda huu.

Acha ushambenga.... nani anamzidi mtume wenu kwa liwati?
 
Bi Faiza kaleta habari, kosa lake nini? maana naona anashambuliwa balaa.... kwahiyo kwasababu yeye ni Muislamu akiona habari inayohusu ukristo asiilete?...

Kama kuna habari zinazohusu Uislamu, ni vyema zikafunguliwa thread nyingine ila kwa sasa ikadiliwe hii iliyoko mezani kuliko kumshambulia mleta maada na dini yake... Au hii habari ni uzushi?
 
Yaani unajaribu kutetea Padre kulawiti watu??
Acha huo ujinga haraka Sana.
 
Kila mwaka tunaona maustadh wa madrasa wanalawiti watoto.. mbona hilo hugusii?
 
Wakristo wenzangu wanajaribu kuficha maovu ya padri ngoja siku walawiti watoto wetu huko kwenye mafundisho ya vipaimara ndio watakuja kulalamika humu....Hili suala Ni baya na ukiwa timamu huwezi kutetea huu Upuuzi kisa kasemwa padre
 
Sijaiona kabisa, wacha kuuona umuhimu wake, mimi nimeyaona haya malalamiko ya Umoja wa Mataifa kwa kanisa...

Mpaka Umoja wa Mataifa wanayakalia vikao na kuilalamikia lawiti na kuharibu watoto kwa mapdri na makasisi kulawiti na kulawitiwa makanisani.

Usijidai kutafuta mchawi wakati wewe mwenyewe ndiye mchawi mwenyewe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…