Argentina: Kiongozi wa Kanisa mahakamani kwa kuwanyanyasa kijinsia wanaume


Kwa hisani ya Christine Rousselle
Washington, DC Chumba cha Habari, Mar 4, 2022 / 09:14 am

Askofu Gustavo Zanchetta alihukumiwa kifungo cha miaka minne na nusu jela Ijumaa, Machi 4, baada ya mahakama ya Argentina kumpata na hatia ya kuwanyanyasa kingono waseminari.

Zanchetta, mwenye umri wa miaka 58, alikanusha mashtaka ya "kuchochea unyanyasaji wa kingono uliotekelezwa na waziri wa dini anayetambuliwa" mnamo Februari 21. Alishutumiwa kwa kuwanyanyasa waseminari wawili, ambao walitambuliwa na vifupisho "G.G.F.L." na "C.M."

Chanzo: Argentine Bishop Zanchetta convicted of sexually abusing seminarians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…