Argentina na Ufaransa kuiwakilisha nguvu ya Dunia Ulimwenguni

Argentina na Ufaransa kuiwakilisha nguvu ya Dunia Ulimwenguni

nimerud tena..mkuu much respect.. ni kweli kipind cha pili FRANCE walikuja vzr na walishambulia sana na nusura KOLO MUANI awape goli la 3 france wakati ule wa extra time basi ni vile tayari ilishaanza Kufika saa mbili muda wa upepo kuhamia Argentina na goli likashindikana...
Kwa haraka haraka unaweza fikili alikosa kumbe mbingu ilikuwa tayali imegeuka Hata iweje kwa muda huo Hata angefunga goli lisingekubaliwa yaani lazima yangetokea mauza mauza! Maana tayali nguvu ya Ulimwengu ilikuwa upande wa ARGENTINA kwa muda huo hadi mpira unaenda kwenye matuta bado ilikuwa ndani ya muda wa ushindi kama nilivyosema kwenye uzi
 
Back
Top Bottom