Argentina National Football Team (La Selección) Special Thread

Group stage tunaiua mapema sana hatucheki na nyani
 
Friendly match on yesterday
Emirates 0-5 La Seleccion
Alvarez ⚽️
Di maria ⚽️⚽️
Messi ⚽️
Correa ⚽️
 
Hakuna wa kutuzuia kombe letu hili tumengoja kwa mda mrefu Sana Sasa ni zamu yetu... Pengine tujiandae kuzuia kutokwa na machozi ya furaha siku mfalme wa soka Lionel Messi atakaponyanyua ndoo akilia kwa hisia baada ya kudhihakiwa kwa mda mrefu sasa
Asee fingers ziko crossed sana mkuu.. Kama Mungu anasikia maombi yetu bas ni wakati wetu Pa1 na mchezaj bora wa Dunian wa mda wote kushinda kila kitu kwny maisha yake wkt ndo sasa na tupambana kwa jasho la damu.
 
Argentina and Saudia, 13:00 saa saba kamili mchana wa leo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…