Argentina ni lazima ashinde kombe la dunia, hizi hapa facts za ajabu

1784546692406.jpg
 
Hizi Ndizo "Facts" 12 za Ajabu Zinazowashangaza Wengi Kabla ya Fainali ya Kombe la Dunia 2026 zikionyesha kwamba argentina atakuwa bingwa mwaka huu

Facts hiz ni mfululizo wa coincidences, historia na ulinganifu wa namba (numerology) ambao umevutia mjadala mkubwa miongoni mwa wapenzi wa soka.

Mimi ni shabiki wa Argentina na Hispania, hivyo katika kufuatilia safari ya timu hizi nimekutana na mambo mengi yanayostaajabisha.

Je, ni bahati tu... au kuna jambo kubwa zaidi?

...Twende pamoja.

1️⃣ Argentina imefunga 19, imefungwa 7

Kabla ya fainali ya Kombe la Dunia 2026 itakayochezwa jumapili hii

Argentina imefunga mabao 19 na kufungwa mabao 7. Cha kushangaza zaidi, fainali yenyewe inachezwa tarehe 19/7.

2️⃣ Messi, Yamal na namba 19

Miaka 19 iliyopita Lionel Messi alipiga picha maarufu akiwa amembeba mtoto Lamine Yamal.

  • Messi alikuwa anavaa jezi namba 19 , mwaka 2007
  • Leo Yamal sasa hivi ana miaka 19.
  • Yamal pia anavaa jezi namba 19 kwa uhispania
  • Fainali inachezwa 19/07.
  • Tofauti ya siku kati ya tarehe za kuzaliwa za Messi (24 Juni) na Yamal (13 Julai) ni siku 19.

Coincidence nyingine ya kushangaza.

3️⃣ LAMINE ndani ya jina la Lionel Messi

L(I)ONEL

A(N)DRES

M(E)SSI

Herufi zilizopo kwenye mabano zinaunda jina:

LAMINE

4️⃣ Messi na tarehe 19 Julai

Lionel Messi amefunga jumla ya mabao 4 katika mechi alizocheza tarehe 19 Julai katika maisha yake ya soka.

Sasa fainali ya Kombe la Dunia 2026 inachezwa tena tarehe 19/07, huku Argentina ikisaka Kombe la Dunia la 4.

5️⃣ Arsenal, Italia... na sasa Argentina?

Mara ya mwisho Arsenal ilipopoteza fainali ya UEFA Champions League ilikuwa mwaka 2006.

Mwaka huohuo Italia ilitwaa Kombe la Dunia na kuweka nyota ya nne kwenye jezi yake.

Mwaka 2026, Arsenal imefika tena fainali ya Champions League na kupoteza.

Hii inaonyesha Argentina atashinda Kombe la dunia la nne .

6️⃣ Mwamuzi mwenye umri wa miaka 47

Argentina ilipotwaa Kombe la Dunia mwaka 1986, fainali ilisimamiwa na mwamuzi wa Brazil Romualdo Arppi Filho, aliyekuwa na umri wa miaka 47.

Fainali ya mwaka 2026 inasimamiwa na mwamuzi wa Slovenia Slavko Vinčić, ambaye pia mwaka huu anatimiza miaka 47.

7️⃣ Scaloni na Bilardo

Kocha wa Argentina wa saaa Lionel Scaloni ana umri wa miaka 48.

Carlos Bilardo pia alikuwa na miaka 48 alipoiwezesha Argentina kutwaa Kombe la Dunia mwaka 1986.

8️⃣ Namba 52

Fainali ya mwaka 2022 ilichezwa tarehe:

18/12/2022

18 + 12 + 22 = 52

Fainali ya mwaka 2026:

19/07/2026

19 + 7 + 26 = 52

Coincidence nyingine.

9️⃣ FIFA Ranking

Argentina mpaka leo inaongoza FIFA World Ranking ikiwa na pointi 1970.37.

Coincidence nyingine hii:

  • 1970 → 19/7 (tarehe ya fainali)
  • 37 → 7 − 3 = 4

Na hapo inaonyesha Argentina inaenda kutwaa Kombe la Dunia la 4.

🔟 Picha ya Julián Álvarez akiwa mtoto

Katika picha yake ya utotoni:

  • Nyuma yake kuna jezi ya Hispania.
  • Kuna nakala tatu za Kombe la Dunia.
  • Mikononi mwake ameshika kombe la nne.

Leo hii Argentina inakutana na Hispania katika fainali ikiwa na nafasi ya kutwaa taji lake la nne.

1️⃣1️⃣ Safari ya Brazil na Argentina

Kabla Brazil haijawa timu ya mwisho kutwaa Kombe la Dunia mara mbili mfululizo, ilipitia safari hii:

🇧🇷 1950 — Ilifika fainali lakini ikapoteza.

🇧🇷 1954 — Ikatolewa kabla ya fainali.

🇧🇷 1958 — Ikawa bingwa wa dunia.

🇧🇷 1962 — Ikalitetea taji.

Argentina nayo imepitia safari inayofanana:

🇦🇷 2014 — Ilifika fainali lakini ikapoteza.

🇦🇷 2018 — Ikatolewa kabla ya fainali.

🇦🇷 2022 — Ikawa bingwa wa dunia.

🇦🇷 2026 — Imefika tena fainali ikiwa na nafasi ya kutetea ubingwa.

1️⃣2️⃣ Namba 4, 19 na 7 ( Miaka yote argentina iliyoshinda kombe)

Katika picha za ushindi wa Argentina za mwaka 1986 na 2022, kuna wachezaji waliovaa jezi namba:

4, 19 na 7

Baada ya filimbi ya mwisho walionekana wakikumbatiana wakisherehekea ubingwa(1986&2022)

Katika nusu fainali ya mwaka 2026 dhidi ya England, wachezaji waliokuwa wakiingia kama mabadiliko walikuwa:

  • Gonzalo Montiel — 4
  • Rodrigo De Paul — 7
  • Nicolás Otamendi — 19

Na fainali ya mwaka huu inachezwa tarehe 19/7, huku Argentina ikisaka Kombe la Dunia la 4.

Ya mwisho : Argentina 🇦 ilipata kipigo chake cha mwisho kwenye Kombe la Dunia dhidi ya Saudi Arabia .

Ushindi wa kwanza wa Hispania 🇪 kwenye Kombe la Dunia 2026 ulikuwa dhidi ya Saudi Arabia 🇸🇦 tarehe 21/06, ambayo pia ni siku ya kuzaliwa ya kocha Luis de la Fuente.

Finalissima kati ya Hispania 🇪🇸 na Argentina ilikuwa imepangwa kufanyika 27/03/2026—tarehe ambayo ilikuwa miezi 2, wiki 3 na siku 4 kabla ya siku ya kuzaliwa ya Luis de la Fuente.

Cha kushangaza zaidi, hiyo ndiyo pia tarehe ambayo Hispania iliifunga Argentina 6-1 mwaka 2018.

Na mwisho, Saudi Arabia 🇸 ndiyo mwenyeji wa Kombe la Dunia 2034.

Hitimisho

Je, hizi ni coincidences za kawaida?

Je, ni numerology?

Je, ni historia inayojirudia?

Au ni bahati tu?

Tupe maoni yako.

Los Originales !Maestro
Umekubali numerology yako imebuma?
 
😹😹😹😹😹😹
 
Ukiona mtu anaongea sana, anajitetea sana, ujue huyo n tapeli tuu.

Angalia ngonjera za huu uzi afu angalia ule uzi jamaa aliyesema Spain atashinda
 
Akili za mtoa mada ukizitumia kuvukia barabara, lazima ugongwe
 
Uzuri n kwamba jamaa alijihami mapema, amesema n facts za ajabu.

Hvy zinaweza kubadilika mana n za maajabu 😂
 
Back
Top Bottom