Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Wewe nothing you know.
Portugal ht Ronaldo akiwa nje wana nidham ya mpira inayoendana na ktk mpira wanaelewana.
Angalia Argentins mpira unaingizwa kat forwards wako nyuma hakuna wa KUMALIZIA .
Embu fuatilia mpira usilete habar zako za gongo hp
We mpira hata huujui na zaidi umeanza fatilia karibuni.. UNASEMA ARGENTINA HAINA CHEMISTRY NZURI KULIKO PORTUGAL??
MKUU ACHA UZWAZWA
 
Best in laliga ilhali anayeongoza kwa golden boot za laliga ni messi?!
Umekunywa gongo nn?!
Hapo Spain ndipo Ronaldo amebeba d'or 4, .. top scorer wa UEFA hadi leo na kesho.
Ana LA LIGA
Ana EPL
Ana SIRIE A
Ana UEFA
Ana EURO
Ana UEFA NATIONAL LIEGE
... Kuhusu Golden boot sio za kuuliza kwa huyu jamaa, kwa ufupi hana WC tu ambayo hata Messi hana na COPA Imemshinda.
 
Wewe nothing you know.
Portugal ht Ronaldo akiwa nje wana nidham ya mpira inayoendana na ktk mpira wanaelewana.
Angalia Argentins mpira unaingizwa kat forwards wako nyuma hakuna wa KUMALIZIA .
Embu fuatilia mpira usilete habar zako za gongo hp
Hizo lawama umpe Messi na Argentina yake.. timu inacheza fainal 3 inatoka kapa unasema haina nini?
 
Unajua team ikiwa na mastaa wengi chemistry huwa inapotea???? Kila mtu anacheza anavyoona yeye ni sahihi..
Ni moja ya kisingizio tu ndugu..
Mfano pale Barca anacheza/Amecheza na wabovu?... PIQUE, XAVI, ALVES, ETOO, INIESTA, ALBA, ZLATAN, BUSQUET, RAKITIC, SUAREZ, PEDRO, NEYMAR, PUYOR, ABIDAL, CESC, HENRY, SANCHEZ N.K
Hao sio mastaa mkuu..?
 
Umeongea urongo
Spain laliga anaeongoza kwa golden boot za laliga ni messi hubishi hukatai
 
Halaf ww hujui mpira huyo puyol,abidal,Sanchez wanachexa barca sasa hv?
Au njaa inakusumbua?!
Ni moja ya kisingizio tu ndugu..
Mfano pale Barca anacheza/Amecheza na wabovu?... PIQUE, XAVI, ALVES, ETOO, INIESTA, ALBA, ZLATAN, BUSQUET, RAKITIC, SUAREZ, PEDRO, NEYMAR, PUYOR, ABIDAL, CESC, HENRY, SANCHEZ N.K
Hao sio mastaa mkuu..?
 
Haina chemistry nzuri.
We tizama ni nan aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuipeleka Argentins fainal hzo tatu km sio messi
Hizo lawama umpe Messi na Argentina yake.. timu inacheza fainal 3 inatoka kapa unasema haina nini?
 
Multiple winners
Lionel Messi is the only player to win the award six times, all with Barcelona. Messi holds the all-time record for goals in a single season with 50 in 2011–12; it also accumulated to a record 100 points. Messi was also the youngest player to win the award for a 2nd, 3rd, 4th, 5th and 6th time. Bayern Munich's Gerd Müller was the first player to win the award twice, in 1969–70 and 1971–72. Messi was the first player to win the award three times,
Cristiano Ronaldo was the first player to win the award four times, and Messi again was the first, and so far only, player to win it five and six times. Only Lionel Messi (2016–17, 2017–18, 2018–19) has won the award for three years in a row. Ally McCoist (1991–92, 1992–93), Thierry Henry (2003–04, 2004–05), Lionel Messi (2011–12, 2012–13 and 2016–17, 2017–18, 2018–19), and Cristiano Ronaldo (2013–14, 2014–15) have won the award in consecutive years. Diego Forlán (Villarreal ,
Atlético Madrid ), Luis Suárez ( Liverpool , Barcelona),
Mário Jardel ( Porto, Sporting CP ) and Cristiano Ronaldo ( Manchester United , Real Madrid) are the only players to have won the award with two clubs.
Multiple European Golden Shoe winners
Player Birthdate No. Seasons Age making record
Lionel Messi 24 June 1987 6 2009–10, 2011–12, 2012–13, 2016–17, 2017–18, 2018–19 2, 3, 4, 5, 6 golden shoe when 24, 25, 29, 30, 31 years old, respectively
Cristiano Ronaldo 5 February 1985 4 2007–08, 2010–11, 2013–14 (shared), 2014–15 2, 3, 4 golden shoe when 26, 29, 30 years old, respectively
Eusébio 25 January 1942 2 1967–68, 1972–73 31
Gerd Müller 3 November 1945 2 1969–70, 1971–72 26
Dudu Georgescu 1 September 1950 2 1974–75, 1976–77 26
Fernando Gomes 22 November 1956 2 1982–83, 1984–85 28
Ally McCoist 24 September 1962 2 1991–92, 1992–93 30

USIWE UNAROPOKA KM WANYWA MATAPTAP.
ANGALIA HAPO NAN ANAONGOXA KWA EUROPE GOLDEN SHOE.
 
Mtajinyonga mwaka huu.
Na kwa kalenda ya magoli ya mwaka messi anaongoza.
Usishangae wakampa tuzo ya ballon d,or maana ktk bookmark wakwanza dijk wapili messi.
Mtajinyonga mwaka huu huyo dijk aweza angushwa anytime
Pia alishiriki kuifanya ipoteze fainali zote tatu
U
 
Hujui kuandika statement.
Tunazungumzia current issue we unaleta ya zaman.
Zungumzia sasa kipind Iniesta hayupo wala Xavi.
Kuna Rakitic,bosquet na Arthur sijui kuku gani
Hujui kusoma.. rudia tena
 
Haina chemistry nzuri.
We tizama ni nan aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuipeleka Argentins fainal hzo tatu km sio messi
Messi wa sayari nyingine anacheza 3 fainal anakosa zote.. kama anaweza kuipeleka timu fainal nini kinamzuia kubeba ndoo?
 
Kashajiwekea record.
Mbona unatapatapa mzee?!
Messi ni little magician mtake msitake.
Kuongoza g.boot aongoze.. sema Messi ana ndoo ngapi timu ya taifa?
Kama hana tuliza mshono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…