Navigator21
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 298
- 324
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!Ona ulivyo hata kusoma hujui.
Nakusihi soma vizury.
Records za uchezaji bora kombe la dunia messi ndio anaeongoza kama hujui tena alivunja records za hawa wakuu 2014.
Kaangalie vzury net
Messi ana tuzo moja kama pele tu,hiyo ya mchezaji bora! Sasa sijui unaongea pumba gani mzee!