Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Ona ulivyo hata kusoma hujui.
Nakusihi soma vizury.
Records za uchezaji bora kombe la dunia messi ndio anaeongoza kama hujui tena alivunja records za hawa wakuu 2014.
Kaangalie vzury net
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!

Messi ana tuzo moja kama pele tu,hiyo ya mchezaji bora! Sasa sijui unaongea pumba gani mzee!
 
Hakupwaya bali magoli ndio kashindwa kufunga ila ametoa mipira kacheza katoa pasi kakimbiza mpk waarabu wakamvuta shati ila kushinda goal ndio kumemkataa
Andunje midevu mbona jana amepwaya sana mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
The adidas Golden Ball is given to the outstanding player at the FIFA World Cup. The players who finish second and third are given the Silver Ball and Bronze Ball respectively. [3]
Golden Ball: Lionel Messi
Silver Ball: Thomas Müller
Bronze Ball: Arjen Robben

The Budweiser Man of the Match was given to the best player of each match. It was decided by popular voting online, through FIFA's website, Twitter , and FIFA's mobile.

Multiple winners
Player Awards Matches played
Lionel Messi 4 7
Keylor Navas 3 5
Arjen Robben 3 7
James Rodríguez 3 5
Karim Benzema 2 5
Mario Götze 2 6
Tim Howard 2 4
Thomas Müller 2 7
Neymar 2 5
Guillermo Ochoa 2 4
Xherdan Shaqiri 2 4
Islam Slimani 2 4

Pele ktk soccer lake kachukua mara tatu ila messi kapitiliza mara nne umeona mkuu usiongee tyu ilhali ronaldo na uviziaji wake wote hajathubutu hata mara moja
Unaongea pumba tupu,,maandishi yako yananuka kinyesi tu.

Records gani hizo messi kamzidi pele?
 
Asee unajua kuna records nyingi kama man of the match of the tournament whole tournament.
Anaeongoza messi acha uzwazwa.
Kasome vizury
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!

Messi ana tuzo moja kama pele tu,hiyo ya mchezaji bora! Sasa sijui unaongea pumba gani mzee!
 
Messi unaemsema kaipatia team yake ya Taifa 2014 prize money kama runner up team $25 millions je ronaldo aliwahi hilo
Duh! Aisee! Kweli wewe ni zwazwa kabisaaaa!

Messi ana tuzo moja kama pele tu,hiyo ya mchezaji bora! Sasa sijui unaongea pumba gani mzee!
 
COPA AMERICA.png
 
Legend ni yule anaechukua world cup bass.
Na huyo Ronaldo ana vijana wanaojua nn wafanye sio hawa mabishoo wa Kilatini.
Mo salah anajua lakin kashindwa kuibeba team yake mbovu ya misri.
Messi ingawa team mzigo kajitahidi kuilea mpk sasa.
Messi keshajiwekea World cup records vp mviziaji si anajua mbona hata golden boot kashindwa kuchukua?!
Cr7 alikua akiwika vema pindi yupo Real Madrid huku kiungo Modric akikutana na beki wa kupanda marcelo kaz imeisha yeye kupikiwa na kushinda.
Ona juventus ameelemewa mpk katolewa na kitim cha mtaani Ajax tena kwao.
Unazungumzia Mesi au ARGENTINA!
 
lakini yote haya hayaondoi ukweli kuwa Mesi na Ronaldo ni wachezaji bora ambao Dunia itawakumbuka! Hata kama timu zao za Taifa hazitambi kivile.George Weah alikuwa Bora ...huku Timu yake ya Taifa ikiwa na kiwango kama STARS YA MAKONDA!
 
Hawalijui hili hawa kaka.
Hawalijui kabbisa.
Hawajui kuwa Ronaldo Delima ni legendary lakini hakuwa kuchukua kombe la Uefa mpk kuacha kwake soccer ?!
Kwahiyo Delima naye hajui ball kisa hakuwahi chukua uefa?
lakini yote haya hayaondoi ukweli kuwa Mesi na Ronaldo ni wachezaji bora ambao Dunia itawakumbuka! Hata kama timu zao za Taifa hazitambi kivile.George Weah alikuwa Bora ...huku Timu yake ya Taifa ikiwa na kiwango kama STARS YA MAKONDA!
 
Ukiniambia hao nitakuelewa mkuu. Ila kwa ronaldo hapana. Mtu kacheza hata 20 minutes hakumaliza halaf useme na yeye ana kombe!! Kuweni serious
Unataka dakika alizocheza fainali au mechi zote?... hujui ndie captain, aanze au akae sub bado kabeba.
Bishana vitu vya msingi kama mtu mzima, huo utoto wako peleka chekechea huko.
 
Huna ulichokiongea cha maana.
Argentins nzima inatakiwa kulaumiwa sio messi tuu kwasababu wana kasumba ya kutokucheza ki team work na ku rely kwa messi km anacheza peke ake
Mbona hueleweki!.. huyo ronaldo nae hachezi peke yake..Wenzie wakimpasia akafunga unasema anavizia sasa unachotaka wewe ushindi wa timu au chenga za mtu mmoja?
Pumzisha akili yako utakuwa na kichwa kidogo kwa uelewa
 
Huelewi inaelekea ulivushwa darasa la saba.
Team ya Portugal ina chemistry nzury ndio maana wanapata nafasi ya kushirikiana na Cr7.
Argentins viungo uchwara ukimtoa messi.beki Tagliafico na otamendi tyu wengine ushuzi.
Forwards Dimaria,Aguero basi.
Hapo chemistry ya mpira iliyo madhubuti inatokea wapi?!
NDIO MAANA NIKAKWAMBIA INAFAA ILAUMIWE ARGENTINS NA SIO MESSI KWASABABU WACHEZAJI HAWA RESPOND ANACHOJARIBU KUKI GENERATE MESSI.
MFANO KAIANGALIE VZURI FINAL YA 2014.
MESSI ANATOA ASSIST KINA PALACIO WANAROCHA NA HIGUAIN.
 
Back
Top Bottom