3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hasidi ni wewe unaemsema cr7 anavizia ? bora avizie abebe ndoo kuliko huyo anaestaafu na kurudi tena uwanjani.Acha uhasidi wewe na wenzio mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasidi ni wewe unaemsema cr7 anavizia ? bora avizie abebe ndoo kuliko huyo anaestaafu na kurudi tena uwanjani.Acha uhasidi wewe na wenzio mkuu.
Angalia situation aliyonayo messi na team yake ya taifa then angalia na Portugal ambayo inaweza kusimama yenyewe usibwabwaje tu.
Yeye kuipeleka Argentins quarter final ameshawa prove wrong mlosema anatoka ktk tournament
We are not talking about personal accolades, we are talking about teams achievements.Kuna mambo messi kafanya ronaldo hawez kutokana na uviziaji wake.
Messi kachukua Golden ball na kuongoza man of the match 4 times 2014 world cup akimpiku pele mwenye 3 times asee mviziaji anaweza hilo
Mviziaji ana EURO.. ana EPL, LA LIGA NA SIRIE AKuna mambo messi kafanya ronaldo hawez kutokana na uviziaji wake.
Messi kachukua Golden ball na kuongoza man of the match 4 times 2014 world cup akimpiku pele mwenye 3 times asee mviziaji anaweza hilo
Mkuu sio kwamba hajui tunachojadili.. anajua ila hana la lolote ubishi wa kijinga tuWe are not talking about personal accolades, we are talking about teams achievements.
Anasemwa sana kwa kuwa hana lolote argentina... ana kombe gani?Haijawahi tokea mchezaji anaesemwa sana na haters kama Messi, hapo ndio ujuwe "Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Hasidi ni wewe unaemsema cr7 anavizia ? bora avizie abebe ndoo kuliko huyo anaestaafu na kurudi tena uwanjani.
Hasidi ni wewe
Messi anaejipasia mwenyewe na kubeba ndoo pale barca argentina anashindwa nn?
Wengine akina Fellaini au PORTUGAL?Kombe wabebe wengine, sifa mnamuagia ronaldo
Ni point tu ilikukosa mkuu ukatumia neno hilo... mi sina ubaya nalo (usijali)Naomba unisamehe kiongozi.
Anaejipasia hana kitu Argentina zero kabisa.Anajipasia sawa je huyo ronaldo anaepasiwa?!
Kat ya anaejilisha na kulishwa nan bora
We unakunywa gongo eeh?!Mviziaji ana EURO.. ana EPL, LA LIGA NA SIRIE A
we unaleta man of the match hapa .. acha ujinga
Anaejipasia hana kitu Argentina zero kabisa.
Anaepasiwa ana EURO + UEFA NATIONAL LEAGUE
Bora utampata hapo kama zinakutosha
Wengine akina Fellaini au PORTUGAL?
Unaongea pumba tupu,,maandishi yako yananuka kinyesi tu.Ronaldo amepitwa hadi na modric.
Modric mwaka jana kaweka world cup records ronaldo hana.
Messi kaweka kwa kuvunja hadi za kina pele ronaldo hana we unasemaje ww
Andunje midevu mbona jana amepwaya sana mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yule mviziaji ana mchango wa kawaida sanaaaa km wa Bernardo tyuu.
Ila messi amechoka kuwabeba WaArgentins maana kila wakibebwa hawabebeki
Unaongea pumba tupu,,maandishi yako yananuka kinyesi tu.
Records gani hizo messi kamzidi pele?
Anaejipasia hana kitu Argentina zero kabisa.
Anaepasiwa ana EURO + UEFA NATIONAL LEAGUE
Bora utampata hapo kama zinakutosha