Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Halafu katika hiyo List yake aliyoiweka sijui De Lima anakosekanaje. Hata kama hampendi? Sijui anakosekana vipi?
 
Messi mdebwedo. Poor him
Team Goals First scorer Penalties Missed penalties
1 Fabio Quagliarella Sampdoria 26 7 9 1
2 Duvan Zapata Atalanta 23 4 1 1
3 Krzysztof Piatek Genoa 22 12 2 0
4 Cristiano Ronaldo Juventus 21 7 5 1
5 Arkadiusz Milik SSC Napoli 17 4 0 0
6 Dries Mertens SSC Napoli 16 4 1 0
6 Francesco Caputo Empoli 16 6 3 3
6 Leonardo Pavoletti Cagliari 16 6 0 0
6 Andrea Petagna SPAL 2013 16 8 6 0
10 Ciro Immobile Lazio 15 6 4 0
10 Andrea Belotti Torino 15 6 5 1
12 Josip Ilicic Atalanta 12 2 0 1
13 Gervinho Parma Calcio 1913 11 5 0 0
13 Stephan El Shaarawy Roma 11 6 0 0
13 Gregoire Defrel Sampdoria 1

Huyo ndio goal machine.
Hata kuwa watatu ameshindwa aisee.
YANI HATA KUCHUKUA SERIE A TOP SCORER AMESHINDWA ANA TUZO BINAFSI MOJA TU.
DAH POLE YAKE
 
Halafu katika hiyo List yake aliyoiweka sijui De Lima anakosekanaje. Hata kama hampendi? Sijui anakosekana vipi?
Kaka Delima anajua na namkubali kinyama.
Lakin huyu jamaa mshabiki wa mviziaji anafaa kujua kuwa DELIMA HAKUWAHI KUPATA KOMBE LA UEFA KTK MAISHA YAKE LAKIN PIA NI MCHEZAJI BORA KULIKO HATA MESSI NA MVIZIAJI RONALDO
 
Messi mdebwedo
 
FIFA created a group. FIFA added Ronaldo FIFA added Messi FIFA added Moh Salah FIFA added Mbappe. FIFA changed the name of the group to international trophy. Lionel Messi left Moh Salah left FIFA made Cristiano Ronaldo admin.
Unayemsema mdebwedo ndani ya msimu huu;
1)Amechukua Europe golden boot.
2)Mchezaji bora laliga.
3)Uefa top scorer this season.
4)Second one in bookmarks on contenders of ballon d,or.
WHERE IS CR 7
 
Huyo mviziaji kapata UEFA za kumwaga na ballon tele
Kaka Delima anajua na namkubali kinyama.
Lakin huyu jamaa mshabiki wa mviziaji anafaham kujua kuwa DELIMA HAKUWAHI KUPATA KOMBE LA UEFA KTK MAISHA YAKE LAKIN PIA NI MCHEZAJI BORA KULIKO HATA MESSI NA MVIZIAJI RONALDO
 
FIFA created a group. FIFA added Ronaldo FIFA added Messi FIFA added Moh Salah FIFA added Mbappe. FIFA changed the name of the group to international trophy. Lionel Messi left Moh Salah left FIFA made Cristiano Ronaldo admin.
Asa ww unazungumzia maswala ya group ?
We sio mzima umekunywa ulanzi.
Niletee tuzo binafsi alizopata mviziaji wako.
Ilo group la FIFA ndio litamfanya awe top contender wa ballon d,or.?
 
Messi mdebwedo
Ahahahahha asee aya nadhan umeona nafasi aliyopo mviziaji hapo Serie A yan ameshindwa kuwa hata top scorer kwasababu waliokuwa wanampikia magoli hawapo huko anasafa alone
 
FIFA created a group. FIFA added Ronaldo FIFA added Messi FIFA added Moh Salah FIFA added Mbappe. FIFA changed the name of the group to international trophy. Lionel Messi left Moh Salah left FIFA made Cristiano Ronaldo admin.
Halaa kumbe ni group limekuwa created !?
I thought the management wamemweka mviziaji kuwa top ballon d,or contender!
 
From the beginning of Copa Competition.. Messi always complain and excuses all Referee, Pitch, VAR, Teammates and, enemy until the end of competition..
Ahahahahha asee aya nadhan umeona nafasi aliyopo mviziaji hapo Serie A yan ameshindwa kuwa hata top scorer kwasababu waliokuwa wanampikia magoli hawapo huko anasafa alone
 
Greatest of all time. Dominated every league he went to Won the euros with Portugal team in 2016 etc 5 ballon d oros 5 champions league
5 sio za kumwaga.
Ballon d,or tano siyo tele.
Na messi anapata ya sita soon.
Ili tuwanyamazishe mabakuli
 
The real G.O.A.T, he has conquered everything .
Halaa kumbe ni group limekuwa created !?
I thought the management wamemweka mviziaji kuwa top ballon d,or contender!
 
Ahahahahha asee aya nadhan umeona nafasi aliyopo mviziaji hapo Copa America yan ameshindwa kuwa hata top scorer kwasababu waliokuwa wanampikia magoli(kule barca hawapo huko argentina anasafa alone
Ahahahahha asee aya nadhan umeona nafasi aliyopo mviziaji hapo Serie A yan ameshindwa kuwa hata top scorer kwasababu waliokuwa wanampikia magoli hawapo huko anasafa alone
 
Nikushushue basi ndugu wewe.
Messi ni play maker Barcelona na Argentins.
Na yeye ndiye anatengeneza magoli Argentins na Barcelona.
Kamuulize suarez asilimia 90 ya magoli ya pale barca kayapika nani.
Yeye anashindaga kwa pasi za give and go wala sio kupikiwa.
Ni mtu wa kuondoka na kijiji yule.
Kule Argentins ameshindwa kumpata striker atakayemalizia assist azitoazo.
Maana yeye kiungo sio striker.
UMEBUGI MEN
Ahahahahha asee aya nadhan umeona nafasi aliyopo mviziaji hapo Copa America yan ameshindwa kuwa hata top scorer kwasababu waliokuwa wanampikia magoli(kule barca hawapo huko argentina anasafa alone
 
From the beginning of Copa Competition.. Messi always complain and excuses all Referee, Pitch, VAR, Teammates and, enemy until the end of competition..
Even the Argentinian national players such as Dimaria and Tagliafico admitted that they are the problem to messi that they do not show cooperation.
Now who are you to argue while the players admitted it?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…