Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Hata kama kombe la dunia lisingekuwepo modric angechukua tuzo.
Kwasababu kiungo bora ulaya alichukua yeye,mchezaji bora uefa alichukua yeye.
Ronaldo alipewa tuzo ya mfungaji bora tu.
Aya we unadhani nan angepewa ballon d or.
Frank Ribery alibeba ubora wa ulaya halafu d'or akakosa.. umekariri wewe
Modric WC ndio ilimpa nafasi acha ubishi hv we ni mchawi?
 
Nimeamini ww hauna akili.
Unataka kusema wachezaji wa ajax wa sasa wana uzoefu kushinda wa juventus ?!
Embu kuwa mtu mZIMA WW acha utoto.
Uzoefu unaoangaliwa ni wa wachezaji.
Wale walioipatia Ajac uefa nne hawapo wapo wapya sasa.
Ingekuwa hvyo intermilan asingekuwa akitolewa group stage.
unajua maana ya uzoefu?... Timu inacheza uefa kila mwaka unasema haina uzoefu na ndio wana academy bora duniani..
Hv messi ni kiungo namba ngapi?
Mwambie abebe Coppa america acha kunisumbua
 
Tatizo anacheza na watu wa. Aina gani team ya taifa?!
Huyo messi mnaemzungumzia ndie aliyefanya juhudi mpk Argentins ikapenya kufuzu world cup 2018.
Na 99% ya magoli yake ndio yaliyoivusha Argentins kwenda fainal za copa America asa sijui mnampondea wapi.
Watu wanahesabia mafanikio pale unapobeba kitu an sio unapoishia kuifikisha timu sehemu ambazo hata timu nyingine imefika..kufika Kila wakat fainali na hauchukui ndio sababu hata ewew umetoka kuitukana juve huko post za nyuma.mess anatakiwa awe na Cha kujivunia kwenye national team sio magoli ambayo hata wakina Kane wanayo.
 
Kwahiyo waliompa modric uchezaji bora wa uefa hawana akili?!
Modric play maker Ronaldo ni finisher.
Jitihada alizokuwa anafanya modric na Marcelo ndizo zilizompaisha Ronaldo kushinda yale magoli.
Wenzie wanatengeneza yeye anavizia kushinda.
Hata ukiniuliza nikiwa natoka usingizi hakuna mwingine zaidi ya Ronaldo...kazi aliofanya dhid ya psg plus Juventus..modric alipewa tu sababu ya mafanikio ya taifa huo ndio ukweli.
 
Kwahiyo waliompa modric uchezaji bora wa uefa hawana akili?!
Modric play maker Ronaldo ni finisher.
Jitihada alizokuwa anafanya modric na Marcelo ndizo zilizompaisha Ronaldo kushinda yale magoli.
Wenzie wanatengeneza yeye anavizia kushinda.
Mbona lewandoski hajawai pewa ballon d or na Ni mviziaji mzuri tu.au chichiarito au inzaghi.
 
Frank Ribery alibeba ubora wa ulaya halafu d'or akakosa.. umekariri wewe
Modric WC ndio ilimpa nafasi acha ubishi hv we ni mchawi?
Unajua kwanini alikosa waweza nambia?!
Hujui unabwabwaja maswali yangu hujibu.
Nijibu kwann alikosa kupewa yeye hiyo tuzo.
Unaposema kuhusu tuzo ya mwaka jana Ronaldo angekosa ht bila ya modric kucheza world cup.
Nafikiri ww jamaa huangaliagi uchambuzi wa mpira unakurupuka tu.
Ronaldo mpk huko wenyewe walishaanza kumshuku mpaka wanamuita he is "just" a goal machine.
Embu itazame hiyo kauli.
Yani "just " goal machine.
 
Kaka hata Tanzania tuna taifa stars lakin ni wachezeaji mpira sio wachezaji mpira stahiki.
Unapomzungumzia "meza" kiungo ambae badala ya kupenyeza mpira kati ameshafika ktk goli la timu pinzani eti anaubutua kwa beki otamendi mpk akasababisha goli la pili kwa Argentins dhid ya Croatia.
Wewe huyo unaweza kumpa quality za mchezaji stahiki ?!
Acha utani bhana
Angekuwa sio mchezaji asingeitwa nation team bob.
 
Angeipata team kama real then mngenieleza.
Halafu piga mfano Ronaldo angekuwa man United hadi sasa sijui ballon d,or angezipatia wapi.
Kinachofanya ulaya wanamweka messi kuwa ni bora kwasababu yeye ni mlishaji.
Ronaldo yeye husubilia vipikwe.
Kama naongopa embu chukulia mfano alivyokua Realmadrid.
Marcelo akitia jaro kaweeka kamba alikua akiitoa Bayern munich na Juventus atakavyo.
Kaja Juve sasaa!Hana viungo stahiki kama Realmadrid mpaka anatolewa na Ajax ambayo haina wachezaji current wazoefu wa UEFA.
Kwann hakupiga hatrik na kuivusha Juventus !?
Tatizo team combi aliokuwa nayo matatizo some how.
Mbona lewandoski hajawai pewa ballon d or na Ni mviziaji mzuri tu.au chichiarito au inzaghi.
 
Kaka hata Tanzania tuna taifa stars lakin ni wachezeaji mpira sio wachezaji mpira stahiki.
Unapomzungumzia "meza" kiungo ambae badala ya kupenyeza mpira kati ameshafika ktk goli la timu pinzani eti anaubutua kwa beki otamendi mpk akasababisha goli la pili kwa Argentins dhid ya Croatia.
Wewe huyo unaweza kumpa quality za mchezaji stahiki ?!
Acha utani bhana
Kwahiyo huyu ndio kikwazo Cha Messi na Argentina kutochukua ubingwa kwa muda wote huu!!?na je alikuwepo kwenye timu mwaka 2014!?
 
Angeipata team kama real then mngenieleza.
Halafu piga mfano Ronaldo angekuwa man United hadi sasa sijui ballon d,or angezipatia wapi.
Kinachofanya ulaya wanamweka messi kuwa ni bora kwasababu yeye ni mlishaji.
Ronaldo yeye husubilia vipikwe.
Kama naongopa embu chukulia mfano alivyokua Realmadrid.
Marcelo akitia jaro kaweeka kamba alikua akiitoa Bayern munich na Juventus atakavyo.
Kaja Juve sasaa!Hana viungo stahiki kama Realmadrid mpaka anatolewa na Ajax ambayo haina wachezaji current wazoefu wa UEFA.
Kwann hakupiga hatrik na kuivusha Juventus !?
Tatizo team combi aliokuwa nayo matatizo some how.
Kwani Ronaldo ballon d or ya kwanza kachukua akiwa timu gani mkuu!!?
 
Kaka unauliza maswali ambayo yanaonesha dhwahiri hujui mpira
Hivi unaifananisha man united ambayo Ronaldo alipata ballon d or 2008 na man united ya sasa?!
Piga picha cr7 angebakia man United ya Moyes au Vangaal halafu uone km angetamba na hzi ballon d,or kama sasa.

Sio Ronaldo tu hata huyo Messi kwa man untd unayoisema ewew hasingepata chochote,mm nimekujibu kadri ulivyouliza kwani kabla ya huyo Ronaldo hapo Manchester ya Ferguson imetoa wachezaji wangapi Bora duniani!?
 
Ulimsikia Aguero alichoongea kuhusu Argentina pamoja na Dimaria?!
Kama umesahau nakukumbusha"Hao wachezaji wawili walikaa na kutamka na kumshauri kocha aijenge team ya taifa ya Argentins icheze nje ya kasumba.Isicheze kikasumba kuwa ah tuna messi atafanya kitu hii inaikosti team.Na Argentins pia imekosa team work kam team zingine za taifa zilivyo na team work"
Ndio maana uliona kocha yule aliyefukuzwa bada ya kombe la dunia alikua akijaribu kuitengeneza Argentins icheze bila messi.
Argentins ina vitu viwili vikuu inayowaua.
1)Kucheza kiteam messi na kutokuwa na team work.
2)Kila mchezaji kujifanya anajua anaamua lake.MFANO MZURI muangalie dogo martinez,sawa alishinda ila angalia upupu mwingi aliokuwa akifanya uwanjani kipindi cha mpira.

Hivi ndivyo vitu vikuu vinavyoiua Argentins.
Yani mpk Tagliafico alitamka wazi kuwa tatizo sio messi tatizo sisi hatuchezi kwa team work na hatumtumii kama inavyotakikana messi kutumiwa.
Wachezaji wa Argentins wengi wanataka mpira kuonekana messi anataka mpira kazi,hapo ndipo wanapopishana.
Kwahiyo huyu ndio kikwazo Cha Messi na Argentina kutochukua ubingwa kwa muda wote huu!!?na je alikuwepo kwenye timu mwaka 2014!?
 
Nitajie wanaoshika chat ktk ballon d,or wanatoka team gani hasa km sio most za italy na spain.Tena hasahasa Realmadrid,Barcelona.
Wengine wanafuata
Sio Ronaldo tu hata huyo Messi kwa man untd unayoisema ewew hasingepata chochote,mm nimekujibu kadri ulivyouliza kwani kabla ya huyo Ronaldo hapo Manchester ya Ferguson imetoa wachezaji wangapi Bora duniani!?
 
Nitajie wanaoshika chat ktk ballon d,or wanatoka team gani hasa km sio most za italy na spain.Tena hasahasa Realmadrid,Barcelona.
Wengine wanafuata
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.
 
Asa conclusion yangu mimi ni kwamba mchezaji anapocheza iwe ni professional ama normal player anahitaji team chemistry nzuri.
Kama umekubali hata messi angekuwa man United ya moyes asingetamba,basi wafaa kukubali kuwa tatizo lililomfanya messi kutokupata kitu tema ya Taifa ni Argentins kiujumla sio yeye.
Vuta picha messi angekubali kuwa na utaifa wa Spain,halafu akakaa no 10 anakutana na iniesta,alcantara,team zisingepona kirahisi.
Ila ww unacheza ni michezaji unaingiza mpira kat washinde hata kujiposition hawajui.
Mfano mzury itizame mechi ya Argentins na Spain mpk wakachabangwa sita Argentins,ile mechi km uliiangalia Argentins hawana team work kabbisa yani na bora hata messi hakuingia.
Ndio maana mm kwa team za Taifa nazisifia Ulaya kwasababu ulaya hao hawaangalii tuna messi sijui Ronaldo.Wao wanaangalia tutachezaje kwa team work na tutamtumiaje mchezaji nguli kwa kuonesha ushrikiano ili tushinde
Sio walatin hawa wanakalia mpira wa kuonekana.
Mfano mzuri wewe Brazil 2018 sio ya kutolewa na Belgium hata kidogo.
Sio Ronaldo tu hata huyo Messi kwa man untd unayoisema ewew hasingepata chochote,mm nimekujibu kadri ulivyouliza kwani kabla ya huyo Ronaldo hapo Manchester ya Ferguson imetoa wachezaji wangapi Bora duniani!?
 
Sibishani tena na ww katazame records alizoweka messi then utajua kwann messi wazungu wanamheshimu kuwa mchezaji bora.
Na ww pia usiku mwema na ndoto njema.
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.
 
Nakusisitiza tena.
Angalia kilichoigarimu Argentins ndio utapata jibu.
Maana huelewi na unabisha then ata uchambuzi wa mpira huangaliagi.
Sasa huoni kuwa huyu alietoka huku kwingine Tena ambapo hakukuwa na hiyo kasumba akabeba ballon d or na akaja huko kwenye kasumba kabeba mara nying tu kuwa ni Bora!!?Kuna wakat huwa tunabisha ili tuonekane tunajua kuongea na kuandika bla bla bla ila kiuhalisia rekodi za Ronaldo zipo juu kiujumla kuanzia clubs/national team na ukitaka vigezo kwa hoja za kimsingi unapigwa chini mapema Sana ukimfananisha na messi...ila ushabiki na mafanikio ya kwenye club ndio kitu pekee kinambeba mess kwenye kuwafanya mashabiki wake wapate Cha kuongea.usiku mwema.
 
Kwahiyo waliompa modric uchezaji bora wa uefa hawana akili?!
Modric play maker Ronaldo ni finisher.
Jitihada alizokuwa anafanya modric na Marcelo ndizo zilizompaisha Ronaldo kushinda yale magoli.
Wenzie wanatengeneza yeye anavizia kushinda.

Vipi kwa nini Messi na yeye asivizie hasa akiwa Argentina kama kuvizia ni rahisi
 
Back
Top Bottom