Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Huyo ronaldo ndio maana alinyimwa ballon d,or 2018 kwasababu hatoi mchango madhubuti kazi yake ni kulishwa magoli tu.Ndio maana watu kama modric waliokua wakimpikia magoli ronaldo wakapata tuzo yao.
We juhudi waoneshe wengine yeye acheze nyonde nyonde achukue ujiko?!Yani atleast messi team ikiwa inaelemewa kuna kitu atafanya mfano mechi dhidi ya mahasimu wenyewe realmadrid na Barcelona.ila ona Realmadrid ikikamatwa kironaldo chako kinafumbata makalio kipindi kipo real.
Ndio unataka kumfananisha mviziaji na playmaker.
MIMI NITAMKUBALI RONALDO KAMA MCHEZAJI BORA PALE ATAKAPOMZIDI MESSI KWA ASSIST MAANA YEYE SI ANAJUA KUTOA MCHANGO.
NA CHA MWISHO ATAKAPOWEZA KUSHINDA MAGOLI 91 KTK KALENDA YA MWAKA KAMA ALIVYOFANYA MESSI AMBAYE ALIKUA NAFASI YA KIUNGO.FULL STOP WEW RONALDO KAANZA KUCHEZA MIAKA MIWILI KABLA YA MESSI LAKINI JUMLA YA MAGOLI RANK ZIKO SAWA.ASA JE WANGEANZA PAMOJA?!
2018 Modric alibeba d'or ..je messi msimu huo hakucheza?
 
Kuna mechi ambazo Real inachakazwa Ronaldo yupo ndani na hajafanya kitu kama Barca ilivyoifunga real 4 bila kipind cha Neymar Ronaldo wako alitulia km hanithi.
Aya JUVENTuS anatolewa na Ajax uwanja wake Ronaldo yupo wanachezeshwa pasi tu.
Nilitegemea ronaldo akienda juve atashinda hatrick km real.loo asalalee astara Vista nothing he is doing mpk Juve inatolewa ni vitoto hata experience ya Uefa hawana.
Bora Liverpool walitinga final na real madrid kumtoa barca ambayo inacheza kiteam messi sishangai.
Ila hiyo ajax inayotokaga hatua ya makundi wa kumtoa juve kweli mweye experience kubwa ya uefa Ronaldo akiwa ndani?!
Kweli Ronaldo hajui
De jong ni mtoto?... Blind ni mtoto?
Hivi unajua AJAX ana uefa ngapi hadi useme hawana uzoefu?
Mbona husemi ronaldo kabeba uefa 3 mfululizo...
mbona husemi ronaldo kila anapokanyaga anabeba ndoo.
Ronaldo hajui sawa lakini analisaidia taifa lake mbona husemi.
Chicharito anavizia ana d'or ngapi?
Siendelei huna akili
 
Hujui kusoma kuku mweupe wewe.
Nilichondika nadhani utakuwa umekielewa.
Labda nikueleweshe.
Kuna tema km sio intermilan ama Ac milan kuna moja ina uefa saba.
Je hao hawana uzoefu!?Mbona wanatoka hatua ya makundi daily.?!
Halafu we huna akili Dejong unamfananisha na Dybala eti ama Douglas costa?!
Blind ana nn sasa utamfananisha na Chellini aliyewahi kuwa ktk list ya mabeki bora dunian?!
Hujui mpira ww.
Tuzungumzie experience ya wachezaji wa sasa usichukue historia kuku ww.
Walioshinda uefa nne za ajax hawapo tena sasa.
Hiyo juventus 2015 kapokonywa kombe na Barcelona,2016 katoka nusu kama sikosei.2017 kapokonywa kombe na Realmadrid,2018 katolewa nusu fainal na Realmadrid.
Huyo De jong katoka juzi ktk academy na Blind anambwelambwela tu man United.
Miaka hiyo niliyokutajia Ajax inatolewa group stage uzoefu watautoa wapi kuizidi Juventus ?!
Hata mpira hujui kumbe.
Kama una akili timamu ile ballon d,or 2018 alobeba modric pamoja na Fifa best man na mchezaji bora uefa alistahili vyote kuchukua modric.
Kwasababu modric yeye ndiye aliyekua mkandarasi na mchango wake ni mkubwa kuliko.
Huyo Ronaldo walimpa tu mfungaji bora kwasababu walishaona mviziaji tu ndio maana kaambulia kiatu tu.
Tumia akili angalia anachokifanya messi ku assist kutaftia watu chance za magoli Halafu wao strikers wanakosa kufunga.
Ni tofauti na anachokifanya Ronaldo yeye hajui kutengeneza nafasi anajua kuviZIA Golini tu.
De jong ni mtoto?... Blind ni mtoto?
Hivi unajua AJAX ana uefa ngapi hadi useme hawana uzoefu?
Mbona husemi ronaldo kabeba uefa 3 mfululizo...
mbona husemi ronaldo kila anapokanyaga anabeba ndoo.
Ronaldo hajui sawa lakini analisaidia taifa lake mbona husemi.
Chicharito anavizia ana d'or ngapi?
Siendelei huna akili
 
Lewandowski mviziaji mwenzake kaweka record ya kushinda magoli matano ndani ya dakika tisa.
Ni kitu ambacho Ronaldo kashindwa kifanya.
Unapozungumzia uviziaji wapo wa kumpatia mbadala huyo mviziaji wako km Lewandowski.
Lakini tembea dunian kwa sasa huwez kumpata kiungo fundi ama namba kumi fundi kama messi hakuna.
Kwasababu hakuna aliyewahi fanya maajabu kama yeye hakuna.
Ni kiungo lakini kaweka record ambazo viungo wengine hawawez zivunja.
YANI ULIVYO HUNA AKILI UNAMFANANISHA DEJONG NA DYBALA AMA DOUGLAS COSTA WALIOTIMBA FAINAL MBILI UEFA WE HUNA AKILI TIMAMU.
NA HUJUI MPIRA.
UNAPOANGALIA EXPERIENCE YA TIMU TIZAMA WACHEZAJI WAKE WA SASA HIVI.
SIO WALE WALIOPITA.

Nijibu swali langu naona unalikwepa
Huna swali wewe... point huna umebaki kupenga tu
NIELEZEE KILICHOMFANYA RONALDO ASHINDWE KUIFUNGA AJAX HATRIK KM ALIVYOKUWA AKIIFUNGA BAYERN PIND YUPO REALMADRID.
AU HUKO NA YEYE AMEKOSA KUTUMIA UWEZO BINAFSI MPAKA AKATOLEWA NA AJAX?
 
2018 Modric alibeba d'or ..je messi msimu huo hakucheza?
Unaangaliaga uchambuzi wa mpira ww.?!
Messi kipindi anatolewa na Roma alikuwa ana rate kubwa uefa kuliko wote.
Na kama angeweza kubeba uefa angelichukua ballon d,or.
Lakini kutolewa uefa kukamfanya abakie na big rates zake zisizoongezeka wenzake wakapita na kuongeza rates kisha kuchukua ballon d,or.
Tumzungumzie Ronaldo ambaye uefa kachukua na tuzo hawajampa kaambulia tu kiatu cha mshindaji bora.Kipi kimempata mpk modric akabeba tuzo kumzidi kwa mwaka 2018?
Hapo ndipo unatakiwa utofautishe anayefanya play making ktk team na mmaliziaji.
 
Hujiulizi kwann Perez alimgomea Ronaldo kumuongeza mshahara.?!
Maana ni mviziaji tu nothing else.Ila unapomzungumzia messi team km Manchester city wanamtaka kwasababu wanajua jamaa ni play maker mzuri pale katikati.
De jong ni mtoto?... Blind ni mtoto?
Hivi unajua AJAX ana uefa ngapi hadi useme hawana uzoefu?
Mbona husemi ronaldo kabeba uefa 3 mfululizo...
mbona husemi ronaldo kila anapokanyaga anabeba ndoo.
Ronaldo hajui sawa lakini analisaidia taifa lake mbona husemi.
Chicharito anavizia ana d'or ngapi?
Siendelei huna akili
 
Nijibu swali langu naona unalikwepaNIELEZEE KILICHOMFANYA RONALDO ASHINDWE KUIFUNGA AJAX HATRIK KM ALIVYOKUWA AKIIFUNGA BAYERN PIND YUPO REALMADRID.
AU HUKO NA YEYE AMEKOSA KUTUMIA UWEZO BINAFSI MPAKA AKATOLEWA NA AJAX?
Kilichomshinda muulize messi wanaongoza 3 wanaenda kula 4.
 
Lewandowski mviziaji mwenzake kaweka record ya kushinda magoli matano ndani ya dakika tisa.
Ni kitu ambacho Ronaldo kashindwa kifanya.
Unapozungumzia uviziaji wapo wa kumpatia mbadala huyo mviziaji wako km Lewandowski.
Lakini tembea dunian kwa sasa huwez kumpata kiungo fundi ama namba kumi fundi kama messi hakuna.
Kwasababu hakuna aliyewahi fanya maajabu kama yeye hakuna.
Ni kiungo lakini kaweka record ambazo viungo wengine hawawez zivunja.
YANI ULIVYO HUNA AKILI UNAMFANANISHA DEJONG NA DYBALA AMA DOUGLAS COSTA WALIOTIMBA FAINAL MBILI UEFA WE HUNA AKILI TIMAMU.
NA HUJUI MPIRA.
UNAPOANGALIA EXPERIENCE YA TIMU TIZAMA WACHEZAJI WAKE WA SASA HIVI.
SIO WALE WALIOPITA.
unajua maana ya uzoefu?... Timu inacheza uefa kila mwaka unasema haina uzoefu na ndio wana academy bora duniani..
Hv messi ni kiungo namba ngapi?
Mwambie abebe Coppa america acha kunisumbua
 
Hujiulizi kwann Perez alimgomea Ronaldo kumuongeza mshahara.?!
Maana ni mviziaji tu nothing else.Ila unapomzungumzia messi team km Manchester city wanamtaka kwasababu wanajua jamaa ni play maker mzuri pale katikati.
Ronaldo ametoka utd 2009 kwenda madrid.. we ulitaka aozee madrid.?
Messi anaenda city lini?..
Ronaldo timu gani hapati namba?
 
Nijibu swali langu naona unalikwepaNIELEZEE KILICHOMFANYA RONALDO ASHINDWE KUIFUNGA AJAX HATRIK KM ALIVYOKUWA AKIIFUNGA BAYERN PIND YUPO REALMADRID.
AU HUKO NA YEYE AMEKOSA KUTUMIA UWEZO BINAFSI MPAKA AKATOLEWA NA AJAX?
NIELEZE KINACHOMSHINDA MESSI ANAFIKA FAINAL 3 ANAKOSA ZOTE
 
Unaifahamu historia ya watu weusi argentina na nini kilipelekea mpaka watu weusi argentina kuwa 1% tu?
Hawezi jua vitu Kama hivyo labda a Google,anachojua Ni ushabiki tu na mapenz ya mpira yaliyopitiliza bila kujali uhalisia
 
Ona ulivyo mgumu kuelewa aisee!!
Messi hana watu wazury wa kushirikiana naye ndio maana kila anapojitahidi ku cope with team team inamuangusha.
Au huelewi kiswahili mzee.
Ingekuwa yupo spain inamaana angekutana na watu wazury wa ku cope nao km Ronaldo alivyo Portugal labda nikujuze hapo.
Mfano mzury ni ile baba anajitahidi kulea vema watoto ila mama haoneshi ushirikiano mpk ina results watoto hawaongokewi km inavyotakikana.
Lakin sio km hawez malez baba hapana ila mshirika wake haoneshi ushirikiano ndio sawa kinachomkuta messi.
TAFAKARI ANDIKO KABLA HUJAKURUPUKA
Ebu nitajie mchezaji mbaya unaemuona kwenye hiyo timu ya Argentina ambae kwa mtazamo wako ewew Ni mzigo halafu tuendelee.
 
Unaangaliaga uchambuzi wa mpira ww.?!
Messi kipindi anatolewa na Roma alikuwa ana rate kubwa uefa kuliko wote.
Na kama angeweza kubeba uefa angelichukua ballon d,or.
Lakini kutolewa uefa kukamfanya abakie na big rates zake zisizoongezeka wenzake wakapita na kuongeza rates kisha kuchukua ballon d,or.
Tumzungumzie Ronaldo ambaye uefa kachukua na tuzo hawajampa kaambulia tu kiatu cha mshindaji bora.Kipi kimempata mpk modric akabeba tuzo kumzidi kwa mwaka 2018?
Hapo ndipo unatakiwa utofautishe anayefanya play making ktk team na mmaliziaji.
Modric aliipeleka crotia fainali ya dunia...ndipo alipompitia Ronaldo vinginevyo ni Ronaldo tu angechukua kulikuwa hakuna ubishi.
 
Modric aliipeleka crotia fainali ya dunia...ndipo alipompitia Ronaldo vinginevyo ni Ronaldo tu angechukua kulikuwa hakuna ubishi.
Hata kama kombe la dunia lisingekuwepo modric angechukua tuzo.
Kwasababu kiungo bora ulaya alichukua yeye,mchezaji bora uefa alichukua yeye.
Ronaldo alipewa tuzo ya mfungaji bora tu.
Aya we unadhani nan angepewa ballon d or.
 
Messi Ni mchezaji mzuri hakuna anaebisha Hilo ila NJE YA BARCELONA HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUJISIFIA KAFANYA LA MAANA!!!NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU.
 
Tatizo anacheza na watu wa. Aina gani team ya taifa?!
Huyo messi mnaemzungumzia ndie aliyefanya juhudi mpk Argentins ikapenya kufuzu world cup 2018.
Na 99% ya magoli yake ndio yaliyoivusha Argentins kwenda fainal za copa America asa sijui mnampondea wapi.
Messi Ni mchezaji mzuri hakuna anaebisha Hilo ila NJE YA BARCELONA HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUJISIFIA KAFANYA LA MAANA!!!NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU.
 
Hata kama kombe la dunia lisingekuwepo modric angechukua tuzo.
Kwasababu kiungo bora ulaya alichukua yeye,mchezaji bora uefa alichukua yeye.
Ronaldo alipewa tuzo ya mfungaji bora tu.
Aya we unadhani nan angepewa ballon d or.
Hata ukiniuliza nikiwa natoka usingizi hakuna mwingine zaidi ya Ronaldo...kazi aliofanya dhid ya psg plus Juventus..modric alipewa tu sababu ya mafanikio ya taifa huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom