Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Hakuna kiongozi unajua inazungumzia nini hapo?!
NADHANI ULIMSIKIA TAGLIAFICO KUWA WATU HAWAONESHI USHIRIKIANO KILA MMOJA HUJIFANYA ANAJUA.
NDIO MAANA MESSI HAKUTAKA MAKUU AKACHEZA KM WACHEZAJI WATAKAVYO.
KAMSOME VEMA TAGLIAFICO
Soma hio namba moja
1.Hakuna kiongozi uwanjani(bali kuna mpamba tattoo za showoff na kulialia bila sababu)

2.ukiwa na ugomvi na messi,mkewe,au rafiki yake hupati namba batca wala argentina eg icard

3. Messi ni tatizo kubwa
 
Messi did not play well the whole tournament. He admitted it himself, they are only trying to shift the blame. why did they not play Dybala throughout the tournament, He was the man of the match in their last match when he played. so you see, Argentina should blame themselves for poor team selection and not playing well.
 
Post moja umequote mara mbili,duh kumbe nakutetemesha balaa. Messi ndie kila kitu barca akisema sajili huyu wanasajili akikataa ndo basi tena. Halafu kabaguzi ka rangi balaa poor ndebele sijui matembele
 
Hivi vizungu noma Sana..
 
Kuvaa kitambaa cha unahodha na uongozi tosha ila Messi hana kipaji cha kuongoza wenzie. Kapewa kitambaa kishkaji tu na kuogopwa kisa staa. Bora higuan alijiondokea mapema maana lawama zote aliangushiwa yeye huku kaandunje kakibaki salama
Hakuna kiongozi unajua inazungumzia nini hapo?!
NADHANI ULIMSIKIA TAGLIAFICO KUWA WATU HAWAONESHI USHIRIKIANO KILA MMOJA HUJIFANYA ANAJUA.
NDIO MAANA MESSI HAKUTAKA MAKUU AKACHEZA KM WACHEZAJI WATAKAVYO.
KAMSOME VEMA TAGLIAFICO
 
Oh my God asee umeongea pumba.
Kashinda mangapi Dybala?!
Hujui kitu ww.
Hata kama Dybala angekuwa captain asingefanya kitu kwasababu wachezaji hawana nidhamu stahiki ya mpira acha ubishi we jamaa.
Martinez yule pale baada ya kucheza mpira wa malengo unacheza chenga show off kibaaaao.
Najua unataka kusema kuwa selection mbaya ni messi.asee baba la baba Dimaria aliingia Aguero aliingia hao watu ni mara elfu ya Dybala na wakafungwa mbili na Colombia.
Tatizo ni uchezaji wala sio team selection elewa.
 
Messi anajua kila mtu anafahamu tatizo lake anapenda kunyenyekewa na kuabudiwa sana.
[emoji28][emoji28]

Team nyundo hawa huwa wananfurahisha sana na kapimbi kao kale

Messi sijakata anajua ila anazingua kwa kiasi chake

#Team cr7
 
Post moja umequote mara mbili,duh kumbe nakutetemesha balaa. Messi ndie kila kitu barca akisema sajili huyu wanasajili akikataa ndo basi tena. Halafu kabaguzi ka rangi balaa poor ndebele sijui matembele
Basi kama haujui messi hasikilizwi kila kitu barca.
Mfano alisema Dennis Suarez na Paco alcacer wasiuzwe management ikawauza utasema anasikilizwa kila kitu ?!
Kam haujui messi hadi leo anasisitiza Dembele abaki km wa kuuzwa ni Coutinho ila management haitaki kumsikiliza inataka kutimua wote.
 
Nanukuu Messi akiwa nje hakumchagulia kocha kikosi wakashinda mechi akiwa nje

anyway je baada ya Messi kufunguliwa walibeba kombe lolote?maana aliwaonyeshea yeye ni yeye eeenheee alinyanyua kwapa u hakunyanyua?

Raha ya mpira makombe porojo peleka kwenye mgogoro wa simba na mo dewji

Messi did not play well the whole tournament. He admitted it himself, they are only trying to shift the blame. why did they not play Dybala throughout the tournament, He was the man of the match in their last match when he played. so you see, Argentina should blame themselves for poor team selection and not playing well.
 
Nimekujibu pale matokeo alioyaleta messi kabla
Ila unaleta ubishani wa kijinga.
Kama angekuwa hajui kuongoza wenzake basi asingeshinda bao tatu kuivusha team kombe la dunia mechi za kufuzu.
Ilhali Dybala wako mechi mbili nyuma mpaka wakala 2 na tatu bila messi akiwa kifungoni hakufanya kitu.
Usiwe unakurupuka tu usiku mwema
Kuvaa kitambaa cha unahodha na uongozi tosha ila Messi hana kipaji cha kuongoza wenzie. Kapewa kitambaa kishkaji tu na kuogopwa kisa staa. Bora higuan alijiondokea mapema maana lawama zote aliangushiwa yeye huku kaandunje kakibaki salama
 
Hivi vizungu noma Sana..
Itakuwa hujui kusoma hakuna kilichokosewa hapo.
Labda tu sikutumia alama nilitakiwa sehem flan niweke comma sikuitumia ila hakuna kilichokosewa.
Labda uwe hujui kusoma
 
Messi ndo barca barca ndo Messi hizo rafu ndogo ndogo hazina maana kwa mpanga kikosi na nahodha pekee duniani anayetoa amri kocha asifukuzwe na anasikilizwa
 
Sema na mapenati aliyokosa basi.. halafu kwenye football hupewi kombe Kwa kufika fainali ,ni lazima ushinde ndio upewe kombe .. little dwarf will never win anything outside Barcleona, na akimaliza career yake anabidi awe anajitolea hata kufanya usafi chooni pale Camp nou , he owes his life to Barcelona ,he could have been just another Di Maria Kama sio Barcelona ..
 
Dybala keshakua wa kwangu tena una bifu na wengi na bado hujaahamia kwa aquero jamaa nae anabaniwa sana na Messi wako. Kila kona Messi anabana wenzie asepe tu
 
That is just a lie.
Because Dimaria himself could not do what messi did even in National team.
Barcelona loved messi according to his talent.
May be because they treated him with his illness that's what he owe them.
Nothing else.That's why he doesn't want to go out of Barca.
 
when red card is given to other team to ease victory for messi no comment.....but now messi is red card it all fussy
 
Messi Messi Messi who is he after all? God? I hate selfish people. He is full of himself. He need to accept the defeat. He need to respect Football Officials. He deserved the red card and being among the best he need to lead by example to the young ones. Poor Messi
 
Dybala keshakua wa kwangu tena una bifu na wengi na bado hujaahamia kwa aquero jamaa nae anabaniwa sana na Messi wako. Kila kona Messi anabana wenzie asepe tu
Dah kaka naona unaleta ubishani wa kijinga.
Aguero kabaniwa nini na messi?!
USIKU MWEMA MAAANA AGUERO ANAPENDANA NA MESSI NA HAKUNA MCHEZAJI MWENZA WA NATIONAL TEAM MESSI ANAYEMPENDA KAMA AGUERO .
 
Kwani hajakosa penati zilizosababisha Argentina ikose ubingwa huyu Dwarf ? Mafajikio ya Messi yako 100% attached na Barcelona , bila Barcelona he is just another brilliant player Kama Di Maria au Suarez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…