MUACHE AFUNGIWE.
MAANA HATA WAKIMPA BAN ASICHEZE ARGENTINA.
ITAKUWA BORA ILI ARGENTINS ABEBE LAWAMA PEKE AKE.
ARGENTINA KUSIMAMA ITACHUKUA MUDA SANA.
MANAGEMENT NZIMA INATAKIWA IPIGWE MSASA.
WALIMFUNGIA MECHI TATU WAKAMKATIA RUFAA VILE VILE.
USIDHAN KM ANAWEZA FUNGIWA.
KUNA NAMNA ITAFANYIKA KUKATIWA RUFAA HUYO
1)Uefa top scorer this season (messi ).He(ur tagiliko)says "The copa America is over, 6 games 1 assist 1 penalt, Give him balon d or
Soma na ELEWA nilichozungumzia.Hujielewi aiseee. Unakurupuka tu. Google atafungiwa na chama gani
Nadhani fact umeielewa.Kamtu kafupi View attachment 1149474
Soma na ELEWA nilichozungumzia.
Huyo mtoto wa FIFA KAKA ANGU.
yani akifanya makosa haadhibiwi km wengine.
Ila afanye kosa Ronaldo uone.
1)Uefa top scorer this season (messi ).
2)Europe top goal scorer with European golden boot (messi).
3)Best player Laliga(messi ).
4)Laliga top scorer this season (messi )
NOW WHO DESERVES IT?!
VVD, Alisson
Heheheheee eti mtoto wa FIFA labda wa nje. Wa halali huyu hapaView attachment 1149527
Maskini,unaforce kujibu kila post lakini kuna nyingi unapwaya sana mkuu!Aya tuone mwaka huu nan zaidi katika kinyang,anyiro cha ballon
Aya tuone mwaka huu nan zaidi katika kinyang,anyiro cha ballon
Allison ht ktk tano bora ya contenders hayupo.
VVD hawezi kupata kwasababu anazidiwa bookmarks daily.
Maskini,unaforce kujibu kila post lakini kuna nyingi unapwaya sana mkuu!
Ukweli mchungu ambao unabaki ni kuwa messi ameshindwa kusimama kama ronaldo kwenye timu ya taifa.
Usije na ishue ya De lima,njoo messi kwa ronaldo kwenye timu ya taifa,maana vyote alivyonavyo messi club ronaldo anavyo pia!
Sasa njoo interms of timu za taifa,ndipo utagundua kua andunje messi hana kitu,zaidi ya viliio tu na kuwatukana marefa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama wewe ndio mkurugenzi wa FIFA tuone naondoka nimechoka kubishanaHizo bookmarks unazijua mwenyewe ila captains ndio waamuzi wa mwisho. Still allison deserves ballon
Kama wewe ndio mkurugenzi wa FIFA tuone naondoka nimechoka kubishana
Mkuu narudia mechi ya argentina hapa copa america wasizingue tena Messi lazima achukue ndoo this timeSio kila kitu cha klabu Ronaldo anacho laaa.
Ronaldo hajawahi kupata trible ya makombe sita ktk msimu mmoja toka azaliwe na hatopata
Hahaha FIFA ni kama kile chama cha LumumbaBallon d'Or for vvd
Hahaha[emoji3][emoji3] Wafuasi wa andunje kumbe ni wengi sana. Huu uzi wanaupita tu.
Ongeza sauti wengine hawasikii hukuWakati huohuo mnyama Cr7 yeye anabeba makombe kila uchwao na timu yake ya Taifa.
View attachment 1132511
Kwani messi kapewa ballon d'OrHahaha FIFA ni kama kile chama cha Lumumba
Kwani messi kapewa ballon d'Or