Argentina ana wachezaj wazuri ila hawaendani uchezaji wao.
Yani hawawez kutengeneza ile chemistry inayotakiwa.Na kingine most of Argentinian players wna mpira wa show off km Brazil.
Unapozungumzia Portugal.
Portugal ina wachezaji ambao hawana majina ila wanatengeneza chemistry nzuri ya kuweza kufanya team kuwork.
Hapo ndipo unaona utofauti kwamba hata team ya club inaangalia mchezaji yupi ataendana na uchezaji wa team yetu.
Asa Argentina wachezaji wanao cope uchezaji na messi ni Aguero,Dimaria,Banega sidhani kama kuna mwengine alikua na Lavezzi basi.
Nadhani hapo umenielewa na sio tu kuongea eti nimeandika mavi matupu.
Portugal ni kama Belgium ama Japan wana wachezaji wenye discipline zinazoendana kimchezo sio kama Argentina majina makubwa ila hawana wachezaji wenye kujituma ktk team yao ya taifa na wala hawaendani ki discipline ya uchezaji ndio maana messi anafeli.
Mfano mechi ya Paraguay messi anatoa pasi huku chezaji linaenda kule.
Messi anafanya give and go chezaji linatoa pasi fyongo yani hawaana discipline ya uchezaji unaoendana na Little magician kabbisa.
Ila angalia team km Japan world cup ilivyofanya yake.
Hawana wachezaji wakubwa but discipline ya uchezaji zinaendana kagawa akitoa pasi hapa mtu anarespond maji yakimwagwa ndani watu wanakimbilia kufunga.
Nadhani ushaona utofauti.
Umeandika mavi matupu kabisaaa!
Ok kama ni hivyo 2017 kushuka chini, kikosi cha argentina na portugal kipi kilikuwa kizuri!
Sometimes tuwe tunaongea ukweli na kuacha mapenzi.